Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alipasuliwa pumbu kwa sababu gani mkuu🙌🙌nimeumwa jino, sikio, tumbo,.......nadiriki kusema bado maumivu yake hayafikii kwenye haya,....
1)-kupasuliwa korodani (nimeshuhudia kwa macho yangu , jamaa akipasuliwa)
2)-kuungua moto (from experience)
3)-kuvunjika mfupa....(nimeuguza mgonjwa)
nadiriki kusema hayo maumivu omba yakupitie mbali kabisa,....
Sad!Sina habari kwa kweli.
Ila kutokana na hali aliyokuwa amefikia kuna uwezekano mkubwa alifariki.
Maana saratani ilikuwa ishaanza kuingia kwa mapafu.
Sikupata taarifa.Vpi alipona mpendwa wetu au ndo alitutangulia...
Kuna shem wangu mmoja anapitia hapa baada ya kufanyiwa operation mbili ndo anauguza kidonda ili pasizibeMgonjwa cancer ya tezidume anaposhindwa kukojoa anapowekewa ule mpira wa mkojo. Aisee usiombe kuona, ule mrija(catheter) una urefu zaidi ya futi moja, unene kama kalamu ya speedo unapenyezwa kwenye tundu la mboo hadi ufike kwenye kibofu cha mkojo. Narudia kusema usiombe kushuhudia ama yakukute.
Mimi nilishindwa na kutembea mweeee ile sindano shkamooMiaka ya 2000 nilichoma sindano inaitwa cristapen cjui km ndo inavoandikwa... Yale maumivu ya ile sindano mpaka leo sijawahi kuelewa
Mungu amjalie uponyaji salama na mapema Mkuu. Kwanza maumivu ni anaposhindwa kukojoa baada ya tezi kuziba urethra na kuzuia mkojo usitoke nje. Mtu anabanwa na mkojo lkn hawez kukojoa, mkojo unaunguza kibofu ndani kwa ndani. Wanaume na wadau wa afya tunatakiwa kuelekeza jitihada za kukabiliana na changamoto ya tezi dume. Ana umri gani shem wako?Kuna shem wangu mmoja anapitia hapa baada ya kufanyiwa operation mbili ndo anauguza kidonda ili pasizibe
65 i think. Amina kwa duaMungu amjalie uponyaji salama na mapema Mkuu. Kwanza maumivu ni anaposhindwa kukojoa baada ya tezi kuziba urethra na kuzuia mkojo usitoke nje. Mtu anabanwa na mkojo lkn hawez kukojoa, mkojo unaunguza kibofu ndani kwa ndani. Wanaume na wadau wa afya tunatakiwa kuelekeza jitihada za kukabiliana na changamoto ya tezi dume. Ana umri gani shem wako?
Nilikua Niko shule ya msingi lakini mpaka leo nakumbuka Yale maumivu... Nililala kitandani mwili ulikufa ganziMimi nilishindwa na kutembea mweeee ile sindano shkamoo
JINOWakuu habari za humu ndani.
Hivi ni maumivu gani makali zaidi ya mwili wa binadamu ushawahi ku experience au uliona mtu anapitia ukaona kabisa ni maumivu makali kwa binadamu.
Kwangu mimi ni maumivu ya tumbo,kuna siku niliwahi changanya pilipili kichaa na vitunguu swaumu nikabrend then nikanywa aisee maumivu niliyoyapata sitakuja kusahau.Niliona Israel huyu hapa kaja kunisalimia.Tumbo linauma asikuambie mtu.
Je ni ni maumivu gani makali zaidi ya mwili?
Naelewa...mimi pia niliisomasomaNilikua Niko shule ya msingi lakini mpaka leo nakumbuka Yale maumivu... Nililala kitandani mwili ulikufa ganzi
Duuh polee sanaa mummy..Nilimshuhudia mume wangu akiumwa saratani ya ini maumivu aliyokuwa akiyapitia hayaelezeki ilifikia hatua hata dawa za maumivu hazifanyi kazi ni analia muda wote huu ugonjwa usikie tu usibishe hodi kwenye familia yako
Hv hizo sindano zipo kweli mbona sijawahi kuona mtu akizilalamikia? Au huwa wengine haziwaumi?Naelewa...mimi pia niliisomasoma
Zipo ila sikuhizi zunadungwa kwenye mishipa na hazitumiki oftenHv hizo sindano zipo kweli mbona sijawahi kuona mtu akizilalamikia? Au huwa wengine haziwaumi?
Hv zinadungwa kutibu ugonjwa gani maana maana sikumbuki mother kwa nini alinipeleka nikadungwa yale masindano ya yanga 🤣🤣Zipo ila sikuhizi zunadungwa kwenye mishipa na hazitumiki often