Unatafuta kupindisha akili za watu kwa nguvu? Ulishaona wapi jambo kama hilo liktokea.

Hayo ya ubaya wa Magufuli yaache yalalae. Hayawezi kukumiza zaidi wewe kuliko aliyeguswa moja kwa moja na tukio la maamuzi hayo mabovu...
Ukweli unakuja taralibu, utafika tu
 
stupid mind! nani aliondoa CCTV camera, nani aliondoa walinzi? nani alimfukuza ubunge, nani alikataa kumlipia matibabu, nani alikataza kumwombea kwenye viwanja vya wazi, nani alikamata waliovaa T shirt za kumpa pole. Stupid mind! Chawa mbwa, kupe shetani
 
Ngumu kumesa!
 
KAMA narudia tena KAMA yasingekuwa màtendo ya kinyama aliyoyaamuru Magufuli baada ya tukio ikiwemo kuzuia watu kuendesha maombi Kwa ajili ya maisha ya Lissu, hata Mimi ningesmini maneno yako.
 
Upuuzi huu kamsimulie mmeo chumbani
 
Mbona Jiwe hakuruhusu hata chembe ya uchaguzi ifanyike?
 

Utter Non Sense....Labda ukawahadithie watoto waliozaliwa kuanzia tar 18 March 2021 watakuamini.
 
TumainiEl aliwahi andika kuwa operation za awamu ya tano zilikia ni maamuzi ya kitengo sio ya jpm moja kwa moja!

Kwamba kuna maamuzi ya jiwe na maamuzi ya kitengo hakuna kilichofanyika bila kitengo kujua au go ahead ya kitengo!!!

Tusubiri!!!

Mi ninachojiuliza kama kweli awamu ya tano ingedhamiria Lisu aende angeenda kwa vyovyote vile wasinge delay HADI apone tena na kurudi!!!

Kama kweli angekua adui wa Taifa HADI leo asingekuwepo!!!

Hivyo tu nadhani!!!
 
Acha uongo
 
He is Man of God Sent from Heaven with His Lips to teach the Truth and Righteousness
 
Wewe ni zaidi ya kalamu.
Umenena vizuri mnoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…