Unahangaia bure brother. Unachosemà ni kweli. Point ya False-flag attack kutumiwa na maadui wa serikali na point ya internal conflicts zina mashiko kuliko hoja ya serikali kutaka kumwua lissu. Lakini hata ukieleza vipi watu hawataki kujua ukweli na aliyefanya hivyo alijua watu wako hivyo (wepesi kuamini)
 
Na ndio tatizo lilipo, watu wamekua ni wa kufata mkumbo tu.
Siamini km katika kipindi hiki serikali ingeweza kumshughulikia Lissu kwa muhemko namna hiyo huku wakielewa huyo Lissu karopokwa saana kwenye vyombo vya habari mpk huko nje.
Yah inawezekana walikua na lengo hilo, sio kufikia kumuua kwa risasi. Lissu ni wa hapo hapo mjini serikali ikitaka kumshughulikia haina haja ya kumuua,angeshughulikiwa kimya kimya mpk akaomba poo.
CDM nao wana figisu figisu huko.hasa inapoonekana huyu wakili anayejiita msomi anatishia maslahi ya m/kiti Na mgombea urais 2020
 
Mkuu walitaka kummaliza hadharani ili kuwatisha wabunge wa upinzani.
 
They are not that good my friend. What happened in Kibiti is a testimony-it took moons for them to crack down the killers. By the way, every gunman who intends to kill will fire many bullets to signify that he/she intends to kill. One of the fearsome Mafia boss of all time is Al Capone. He rained bullets on his adversaries on the 14th of February 1929. The incident is famously known as St. Valentine's day massacre. Was his gunmen amateurs to fire so many bullets (70 rounds of ammunition to 7 gangsters)?

Firing many bullets is just a message that you intended to kill. Am sure if the bullets had killed Lissu, we wouldn't be arguing whether they were pro's or amateurs.

Jifunzeni hapa nyie vijana wa leo:St. Valentine’s Day Massacre - Facts & Summary - HISTORY.com
 
Sniper anatumika pale ambapo inajulikana wazi anayetakiwa kuuawa atapita sehemu fulani. Je ni kweli wauaji wake walijua atakapoenda mchana ule? Sniper anahitaji jengo/sehemu atakapojificha ili aweze kudungua-hasa juu ya jengo. Kwa eneo la makazi kama Area D, angeweza kupata eneo hilo bila kuhatarisha operesheni nzima?

You skeptical maza fantaz and spin doctors should stop watching too much movies, what happened to Lissu is really while your theories are empty and fake.
 
As real as wale polisi 10, wenyeviti wa vijiji wa CCM 30 na raia 3, plus nyumba kibao zilizochomwa kibiti...

Unataka kuniaminisha kuwa mtu huyu ni wa thamani kuliko wale wote waliouawa kibiti?

Kama CDM inathamini sana maisha, mbna ckusikia vurugu kama hz wakati ule?

Is this about a tanzanian Lissu, or about a Chademanian Lissu?

Are our life's values different, depending on our political standpoints?

Is that where we are heading now?

<> semper fi <>
 

And, trust me, sniper doesn't need to be in building, he just needs unobstructed view of target, be it in water, or trees.

Na kama ingekuwa gov, icngejarb "kufanya jarbio", ingetekeleza mpango.

Too many gun rounds means not sure of one's doings... (that again means amateurism in a firing person)

Gov inajua kila mahali jamaa angekuwepo, wala icngekuwa na haja ya kufanya jarbio ambalo hawajui kama litafanikiwa au la....

And what about his driver? Yuko wapi mpaka leo?

He is nowhere to be seen... Je huyo mbna hamum accuse?

<> semper fi <>
 
Not only that but also that CUF Mp who passed away, the case wasnt serious to them, even those hu passed away with car accident, people didnt react , right now they ar trying to create the image of Lissu to be seen as a hero, while he z just a snitch hu support Acacia, people hu exploit the wealthy of our country,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kweli na wewe unaamini kuwa kuna uchunguzi wa vyombo vya dola

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kamanda siro ameshasema lissu akirudi aje atuambie ni lini na wapi alikuja polisi kuomba ulinzi akanyimwa[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama umeamua kujipendekeza mimi siwezi kukuzuia maana ni tatizo la kisaikolojia.
 
Hatakama sio wao watasema ni wao tu. Watanzania kila mtu ni mpiga ramli. Tunakokwenda kuna watu watakuja kuumbuka humu atakapokuja lisu kusema analojua kuhusu kupigwa risasi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kamanda siro ameshasema lissu akirudi aje atuambie ni lini na wapi alikuja polisi kuomba ulinzi akanyimwa[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
Ujinga wa Lissu ni kufanya mambo kama mwanakijiji sijui wa wapi tu!!! Anajua kabisa ukitishiwa au ukiona dalili hatari kwa usalama wako ni wapi pa kwenda kutoa taarifa! Aliishia kuita press conference akidhani ni siasa! Matokeo yake ndo hayo...

Sent from Moto G
 
Kamanda siro ameshasema lissu akirudi aje atuambie ni lini na wapi alikuja polisi kuomba ulinzi akanyimwa[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
Sidhani kama kuna ambaye wamemfuatilia na kumkamata na kumfungulia mashitaka kwa yale aliyoongea, ambaye waliomba ama walimsubiri aende mwenyewe. Ofcourse watadeal na hii issue politically.
 
Mengine yote anayoongea wanamchukulia serious hadi kumpima mkojo lakini alipozungumza la kutishiwa masikio yalikuwa na pamba?
Mmsichotwe akili na propaganda za kitoto. Kwa akili hizi ndo maana wanatamani kuendelea kutugandamiza.
 
Vipi kuhusu mabomu IMMMA advocate?Kuna uhusiano na hili la Lissu?Washambulizi wa IMMMA walivaa sare gani?

Vipi kuhusu yule aliyemtolea bastola Nape?Kuna uhusiano na hili la Lissu?

Tusubiri uchunguz
uchunguzi???...kabisaa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…