Unahangaia bure brother. Unachosemà ni kweli. Point ya False-flag attack kutumiwa na maadui wa serikali na point ya internal conflicts zina mashiko kuliko hoja ya serikali kutaka kumwua lissu. Lakini hata ukieleza vipi watu hawataki kujua ukweli na aliyefanya hivyo alijua watu wako hivyo (wepesi kuamini)