UmkhontoweSizwe
Platinum Member
- Dec 19, 2008
- 9,454
- 8,894
Nini kinawafanya mlalamike kuwa hakupewa ulinzi baada ya kusema (majukwaani) kuwa maisha yake yako hatarini. Mnataka polisi wa toe ulinzi kwa mtu anayebwabwaja tu kwenye press conference?Polisiccm ndiyo wanatumika kuwabambikia kesi chadema kila siku nani aombe Ulinzi wao?
Tatizo tunatumaini sana, tunafuatilia kidogo.
Mkuu upeo mdogo or not, jiridhishe zifuatazo, kwa mtu mwenye akili ataungana nami:Yaani wewe unaonekana upeo wako mdogo sana, ila ngoja tukusaidie kwa kutumia picha inayoonekana na kutafsiri kinachoonekana..
Ukiangalia zile tatu za kwenye kioo utagundua it was a silent killing mission, first bullet was the target, second and third bullet ilikuwa kujiridhisha na uimara wa kioo baada ya kuona utofauti kwenye risasi za mwanzo..
Zile zilizopigwa chini ya kioo kwa maana ya mlangoni it was a panic after the failure of the first attempt and the arranged target..
Kioo cha kawaida kikipigwa risasi huwa kinasambaa na risasi kupenya kirahisi, kile kioo kwenye gari ya Lissu ukiangalia zile risasi tatu hazikupenya vizuri na inaonekana intelejensia ya wapigaji haikuwa inajua aina ya vioo kwenye gari la mheshimiwa na walienda wakiamini ni vioo vya kawaida...
Mungu ni mwema ameepushia mbali na amenusuru uhai wa ndugu yetu LISSU..
Asante.Ni kama vile umeamua kujipofusha ila usione ukweli.Ata mwanangu wa chekechea anajua nani ni mtuhumiwa.
Ni kama vile Ronaldo apewe penati bila kipa golini alafu akaamua kupaisha.
Wahenga walisema "Common things occurs commonly".
Wwe lazima ni mtu usiyejulikana tu.Ushindwe na kulegea.Hata mkituuwa hamuwezi kutumaliza.Watoto wetu wataendelea kudai uhuruUna mifano ya kijinga sana na inaonyesha upeo wa akili yako......time will tell na I assure you utakuja hapa ukilia kuomba msamaha kuwa uliyekuwa unamdhania kumbe siye.
Wwe lazima ni mtu usiyejulikana tu.Ushindwe na kulegea.Hata mkituuwa hamuwezi kutumaliza.Watoto wetu wataendelea kudai uhuru
Kwahiyo jamaa anapendwa na wajinga sio?Nje ya mitandao ya kijamii na baadhi ya wasomi, Magufuli anakubalika na wengi nchini, hasa vijijini ambako kura nyingi ndiko zinakotoka. Waathirika wa sera za Magufuli ni elites pekee.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu upeo mdogo or not, jiridhishe zifuatazo, kwa mtu mwenye akili ataungana nami:
Kwa facts hizo tatu, pengine na nyingine , waweza kuhisi aina ya assassin aliyetaka kutekeleza uuaji huo.
- bunduki iliyotumiwa ni SMG, pengine na nyingine. SMG yaeweza kumaliza magazine ya 30 bullets within seconds. Kwa hiyo nadharia kuwa mpigaji bunduki alipiga kioo ili kukitest, hiyo ni nadharia ya kufikirika tu,
- Ni dhahiri hao wauaji, assasins, walikuwa na haraka na wasi wasi, hivyo basi waa hawakukaa kukagua matokeo ya kazi yao, the hallmarks of a novice.
- Choice ya kuifanya hiyo operation karibu na majumba ya kuishi watu ni hallmark nyingine ya novice. Mtu katika mazingira yale ni lazima ata panick akukimbia! Another amateurish move!
Mtu/watu hao si wataalam hata kama wana silaha kali!
Sawa Afande.Niko naelekea Zimbabwe.Kwani umenyimwa uhuru na nani? Mbona unakuja hapa na kuongea utumbo haujakamtwa mpaka sasa? Ukiona vipi kakimbilie Somalia kwenye Amani zaidi ya hapa Bongo.
Dah wahalifu walikuwa na guts za kutosha kweli! Yani waingie Area D Dodoma, washambulie gari kwa risasi za kutosha kabisa halafu waondoke bila kuchukua chochote kisha walinzi wa getini..(......)!???
Jr[emoji769]