Ni nani alitaka kumuua Tundu Lissu?
Polisiccm ndiyo wanatumika kuwabambikia kesi chadema kila siku nani aombe Ulinzi wao?
Nini kinawafanya mlalamike kuwa hakupewa ulinzi baada ya kusema (majukwaani) kuwa maisha yake yako hatarini. Mnataka polisi wa toe ulinzi kwa mtu anayebwabwaja tu kwenye press conference?
 
Yaani wewe unaonekana upeo wako mdogo sana, ila ngoja tukusaidie kwa kutumia picha inayoonekana na kutafsiri kinachoonekana..

Ukiangalia zile tatu za kwenye kioo utagundua it was a silent killing mission, first bullet was the target, second and third bullet ilikuwa kujiridhisha na uimara wa kioo baada ya kuona utofauti kwenye risasi za mwanzo..

Zile zilizopigwa chini ya kioo kwa maana ya mlangoni it was a panic after the failure of the first attempt and the arranged target..

Kioo cha kawaida kikipigwa risasi huwa kinasambaa na risasi kupenya kirahisi, kile kioo kwenye gari ya Lissu ukiangalia zile risasi tatu hazikupenya vizuri na inaonekana intelejensia ya wapigaji haikuwa inajua aina ya vioo kwenye gari la mheshimiwa na walienda wakiamini ni vioo vya kawaida...

Mungu ni mwema ameepushia mbali na amenusuru uhai wa ndugu yetu LISSU..
Mkuu upeo mdogo or not, jiridhishe zifuatazo, kwa mtu mwenye akili ataungana nami:
  • bunduki iliyotumiwa ni SMG, pengine na nyingine. SMG yaeweza kumaliza magazine ya 30 bullets within seconds. Kwa hiyo nadharia kuwa mpigaji bunduki alipiga kioo ili kukitest, hiyo ni nadharia ya kufikirika tu,
  • Ni dhahiri hao wauaji, assasins, walikuwa na haraka na wasi wasi, hivyo basi waa hawakukaa kukagua matokeo ya kazi yao, the hallmarks of a novice.
  • Choice ya kuifanya hiyo operation karibu na majumba ya kuishi watu ni hallmark nyingine ya novice. Mtu katika mazingira yale ni lazima ata panick akukimbia! Another amateurish move!
Kwa facts hizo tatu, pengine na nyingine , waweza kuhisi aina ya assassin aliyetaka kutekeleza uuaji huo.
Mtu/watu hao si wataalam hata kama wana silaha kali!
 
Asante.Ni kama vile umeamua kujipofusha ila usione ukweli.Ata mwanangu wa chekechea anajua nani ni mtuhumiwa.
Ni kama vile Ronaldo apewe penati bila kipa golini alafu akaamua kupaisha.
Wahenga walisema "Common things occurs commonly".

Una mifano ya kijinga sana na inaonyesha upeo wa akili yako......time will tell na I assure you utakuja hapa ukilia kuomba msamaha kuwa uliyekuwa unamdhania kumbe siye.
 
Una mifano ya kijinga sana na inaonyesha upeo wa akili yako......time will tell na I assure you utakuja hapa ukilia kuomba msamaha kuwa uliyekuwa unamdhania kumbe siye.
Wwe lazima ni mtu usiyejulikana tu.Ushindwe na kulegea.Hata mkituuwa hamuwezi kutumaliza.Watoto wetu wataendelea kudai uhuru
 
Wwe lazima ni mtu usiyejulikana tu.Ushindwe na kulegea.Hata mkituuwa hamuwezi kutumaliza.Watoto wetu wataendelea kudai uhuru

Kwani umenyimwa uhuru na nani? Mbona unakuja hapa na kuongea utumbo haujakamtwa mpaka sasa? Ukiona vipi kakimbilie Somalia kwenye Amani zaidi ya hapa Bongo.
 
Aliyetaka kumuua kila siku anatangaza hadharani.Mbona mna maswali ya kupimana akili.
 
Mkuu upeo mdogo or not, jiridhishe zifuatazo, kwa mtu mwenye akili ataungana nami:
  • bunduki iliyotumiwa ni SMG, pengine na nyingine. SMG yaeweza kumaliza magazine ya 30 bullets within seconds. Kwa hiyo nadharia kuwa mpigaji bunduki alipiga kioo ili kukitest, hiyo ni nadharia ya kufikirika tu,
  • Ni dhahiri hao wauaji, assasins, walikuwa na haraka na wasi wasi, hivyo basi waa hawakukaa kukagua matokeo ya kazi yao, the hallmarks of a novice.
  • Choice ya kuifanya hiyo operation karibu na majumba ya kuishi watu ni hallmark nyingine ya novice. Mtu katika mazingira yale ni lazima ata panick akukimbia! Another amateurish move!
Kwa facts hizo tatu, pengine na nyingine , waweza kuhisi aina ya assassin aliyetaka kutekeleza uuaji huo.
Mtu/watu hao si wataalam hata kama wana silaha kali!

Nimeongelea risasi ya kwanza as the set target na kwa mtazamo tu itakuwa ni ile iliyolenga usawa wa kichwa na inawezekana ikawa ni sniper bullet na ni tofauti na risasi zilizopiga kwenye bodi, Risasi ya pili na ya tatu ilitoka kwa mtu yule yule aliyepiga risasi ya kwanza baada ya kuwa na mashaka ya risasi yake ya kwanza, Mashaka yalikuja baada ya kuhisi penetration iliyo tofauti, hapo ndipo akaamua kupiga ya pili na tatu kujiridhisha either ni kizuizi au shida ni yeye...

Hizi nyingi zilizopigwa chini ya kioo, it was a panic baada ya ripoti mbaya kutoka kwa mpigaji wa kwanza, Mimi na wewe tungepata bahati ya kuona ripoti ya uchunguzi basi ungekubaliana na mimi, bunduki mbili tofauti zilitumika kupiga kioo na nyingine ikapiga kwenye bodi baada ya mpigaji wa kwanza kugundua kioo sio cha kawaida na kuwaambia wenzake..

Wafanya tukio kuwa wazoefu au sio ni ngumu kidogo kung'amua hilo, tukio lolote hufanywa baada ya taarifa za kiintelejensia kukamilika juu ya targeted personal, kama taarifa za kiitelejensia hazikuwa sawa obvious lazima mission ifeli, Mlengwa na yeye ukumbuke akishakuwa na mashaka huwa anajihami kwa namna yake ambayo huwa siri na hapo ndipo watekelezaji wa mission wanapong'amua utofauti kwa mlengwa hupanic na kuamua plan B ambayo pia itategemea uzoefu wa wahusika.
 
Kwani umenyimwa uhuru na nani? Mbona unakuja hapa na kuongea utumbo haujakamtwa mpaka sasa? Ukiona vipi kakimbilie Somalia kwenye Amani zaidi ya hapa Bongo.
Sawa Afande.Niko naelekea Zimbabwe.
 
Serikali haiwezi kuhusika na ujinga uliofanyika tarehe 7 September 2017 saa 7 mchana pale Dodoma area DD kwa kumshambulia Tundu Lissu kwa risasi akiwa ndani ya gari yake watanzania tuache ujinga wa kifikiri ujinga.

Tundu Lissu amekuwa na Serikali muda wote kikazi na kibinafsi amekamatwa mara kadhaa tena mara nyingine kimya kimya na kuletwa Dar es salaam si angeweza kuuwawa tu.

Tundu Lissu yuko free kutembea muda wowote usiku na na mchana si angeweza kuuwawa tu maeneo yoyote yale.

Tundu Lissu ameshiriki shughuli nyingi tu za umma si angeweza kuuwawa hata namna nyingine tu chakula n.k

Tundu Lissu amesafiri sana angeweza kutengenezewa ajali huyo na maisha yakakatizwa dakika tu.

Sasa toka lini Serikali ikaua mtu then inaanza uchunguzi wa kumtafuta mhalifu wakati unajua ni Serikali umefanya hayo.

Wahalifu ni wahalifu tu wana mbinu nyingi sana za kuwaaminisha umma kwa kujenga mazingira ya tukio ili tu Serikali ilaumiwe kama ambavyo kila mmoja analaumu Serikali.

Na kama Kuna SHAHIDI na USHAHIDI wowote kuwa Serikali imehusika huyo au hao watu wenye huo ushahidi wauweke wazi na kupeleka VIELELEZO Polisi.

Tofauti na hapo tuache vyombo vya ulinzi na usalama vifanye kazi yake uchunguzi na upepelezi.

Tanzania kisiwa cha AMANI asiyetaka na ahame nchi akaishi Kenya na kuchukua uraia wa huko.
 
Hizi chuki za kutisha hivi dhidi ya Wapinzani zinasababishwa na nini hasa!? Ni kipengele kipi cha katiba kinachoruhusu Wabunge upinzani wadhalilishwe ndani ya Bunge na kunyimwa haki zao za kikatiba za ndani na nje ya Bunge!?

Dah wahalifu walikuwa na guts za kutosha kweli! Yani waingie Area D Dodoma, washambulie gari kwa risasi za kutosha kabisa halafu waondoke bila kuchukua chochote kisha walinzi wa getini..(......)!???

Jr[emoji769]
 
Mnavyohangaika kujisafisha ndivyo mnavyotuaminisha kuwa mko nyuma ya tukio hili...
Kama hamhusiki mtakubali kuleta vyombo huru vya uchunguz vingnevyo tutaendelea kuamin tunachokiamin
 
Dah wahalifu walikuwa na guts za kutosha kweli! Yani waingie Area D Dodoma, washambulie gari kwa risasi za kutosha kabisa halafu waondoke bila kuchukua chochote kisha walinzi wa getini..(......)!???

Jr[emoji769]

Hata mimi bado Nina 35% za serikali kuhusika lakini...

Hii ya walinzi wa getini ndo naitafakari.
 
Miongoni mwa marafiki hawa yupo Le Mutuz pamoja Na Jerry Muro. Hawa viumbe kwa sasa hawalali. Kwenye kurasa zao za instagram na Facebook wamekazana kuupindisha ukweli na ni kama wao wameshafanya uchunguzi na kupata ukweli juu ya nani amehusika. Kwa uchunguzi wao Wa mapema kabisa ni kama wamebaini wahusika ni marafiki Wa Lissu na chama chake.

Kwa nini marafiki Wa Makonda Wa ndio wapo kifua mbele katika kuupindisha ukweli? Nini kipo nyuma ya pazia?
Itafahamika
 
Malipo ya yale wanayo yafanya sasa katika uzima wao mungu ata wajibu hapa hapa , mungu hadhihakiwi kamwe,muwaache tu waendelee kupindisha ukweli maana nafsi zao zinatoa ushahidi wa kweli kabisa wa kike wanacho kipindisha.
 
Back
Top Bottom