Mkuu upeo mdogo or not, jiridhishe zifuatazo, kwa mtu mwenye akili ataungana nami:
- bunduki iliyotumiwa ni SMG, pengine na nyingine. SMG yaeweza kumaliza magazine ya 30 bullets within seconds. Kwa hiyo nadharia kuwa mpigaji bunduki alipiga kioo ili kukitest, hiyo ni nadharia ya kufikirika tu,
- Ni dhahiri hao wauaji, assasins, walikuwa na haraka na wasi wasi, hivyo basi waa hawakukaa kukagua matokeo ya kazi yao, the hallmarks of a novice.
- Choice ya kuifanya hiyo operation karibu na majumba ya kuishi watu ni hallmark nyingine ya novice. Mtu katika mazingira yale ni lazima ata panick akukimbia! Another amateurish move!
Kwa facts hizo tatu, pengine na nyingine , waweza kuhisi aina ya assassin aliyetaka kutekeleza uuaji huo.
Mtu/watu hao si wataalam hata kama wana silaha kali!