--Kwahiyo Wazungu waliondoa CCTV Camera na Walinzi wote Getini?
--Wazungu wamekataa kuleta Scotland Yard kuja kuchunguza au siyo?
 

Kwa Mtu mwenye akili timamu kabla hajatupia uharo wake lazima ajiulize kauli hii Mdau.. maana kwa nini mtu wa serikali awe na gossip ambazo hazifanyiwi kazi na kwa nini wasizitumie kumkamata na kuwakamata wanaouza hizo nyaraka na hao wazungu ili wawajibishwe?? Na hiyo ndio tunaouita uhaini (Trison).. hawa viongozi wa CiCiM waache kutengeneza vijana wasiokuwa na ubongo kuwafanyia propoganda za mitandao maana zinazidi kuwaanika na wanavyuhusika kwa jaribio la kutaka kumuua Lisu. Poule poule awaambie wapost vitu vinavyoendana na uhalisia japo ni vya uongo waache cheap and awkward posts.
 
Tatizo ni kusikia Lissu alidhulumu wenzie?
 
Uvivu wa serikali na bunge kushughulikia hii ishu vmefanya iwe first suspect
Mkanganyiko wanaojichanya ndio unaotupa wananchi confidence ya kusema hayo
Hamna mwananchi hata mmoja anaeweza kuorganize mauaji yale
Ya Erasto Msuya Arusha!
 
Una point mkuu..
Haiwezekani eti mfanyakazi mmoja wa wizarani afahamu ukweli wote halafu polisi wawe wanahangaika kufanya upelelezi..
Hizi propaganda mtoa mada akawasimulie mke wake na watoto wake labda kidogo wanaendana akili
 
Kumbe ni kweli serikali inahusika
 
Kuna maandiko mengine ukiyasoma unashindwa kuelewa dhamira ya anayeleta andiko hilo. Hili andiko hata mwanafunzi wa darasa la saba hawezi jenga hoja ya aina hii
 
Mkuu tindo yote hayo yanatoka wapi?, Nilitegemea jibu fupi tu la kistarabu kwa hukubaliani na nilicho share
 
Bro kumbuka unachokiandika humu kuna watu wamekupita mara mia saba katika zoezi la kufikiria. So is better ukae kimya tu kuliko kujidharikisha na ujinga unaoleta. Tutakupiga
 
Wengine wanasema eee lisu kashutiwa na watu El kwa sababu alionesha dalili za kumreplace kwenye kinyang'anyiro cha uraisi na wengine wakasema kuwa ameshutiwa na watu wasiojulikana a.k.a TISS mbona tutasikia mengi huu mwaka mpya
 
Ingekuwa hivyo serikali ingekuwa mstari wa mbele kuchunguza na hata huo uchunguzi huru wa kimataifa ulioombwa ungeruhusiwa. Hoja ya kijinga sana hii ya mtu asiyejua kutengeneza uongo
Muda ni mwalimu
 
Hebu waambie hawa jamaa manaake wanachosha,
 
Usitufanye sisi ni mambumbumbu.
Sasa hivi hata kichanga kinamjua aliyetaka kumuua Tundu Lisu.
Nijibu maswali haya machache kwanza ili tuendeleze mjadala;
1.Polisi(FFU) waliolinda block D alipokuwa anaishi Lisu unajua sasa hivi wako wapi na nini hatma yao?
2.Tuambie CCTV camera za eneo lile la tukio ziko wapi, server zake ziko wapi?
ziliondolewa na nani?
3.Umewahi kupata mafunzo yoyote ya kijeshi?
Kwa mahali lilipotokea tukio plus muda ambao tukio lilitokea ungekuwa umepitia hata mafunzo ya Skauti ndipo ungejua kuwa wale wasiojulikana bila tukio kuwa organised na kamati ya ulinzi lazima wangeshikwa.
Tanzania ya leo si ile ya 77 , macho ya watanzania yanaona sana.
Nilipanga nikutukane ile nimeghairi.
 
Hoja sio Lissu kapigwa kwa sababu gani hoja ni wakinanani wamehusika kitendo alichofanyiwa Lisu ni kosa kisheria kwa hiyo hao watu lazima wajibu

Huu utaratibu mnaoleta wa kuleta hoja za kuhalalisha kosa ni upuuzi ambao unaweza kuungwa mkono na zelo blan tu sio mtu mwenye akiri timamu
 
Mkuu tindo yote hayo yanatoka wapi?, Nilitegemea jibu fupi tu la kistarabu kwa hukubaliani na nilicho share

Tunajua uwezo wako wa kujenga hoja, ukija na hoja ya kipuuzi tunakurudisha nayo kwa mateke na mangumi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…