Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi sina msimamo wa chama chochote..
Lakini natumia logic ya kawaida.
Kama huyo jamaa wa wizarani anafahamu mchongo wote je serikali yenye resources zote inashindwa nini kuwashika hao wahuni ili sheria ishike mkondo wake na mwisho wa siku waki tubu lisu naye atakuwa amedakwa kwa kununua nyara za serikali
Tatizo ni kusikia Lissu alidhulumu wenzie?Yawezekana ulitumwa ukiwa hujijui.
Vitu vingine usiwe kama mtoto.
Mtoto ukimpiga akalia,
Ukimuita ukampa pipi hafu ukamuuliza nani amekupiga hatokutaja.
Hii hoja kwa mazingira ya kuiepusha serikali dhidi ya hili kunahitajika hoja nzito mno hata kama haihusiki.
Waliotumwa kuiba nyaraka ndio waliowaondoa walinzi kule area c?
Kama inavyodaiwa, report za kamera ziko wapi??
Ilikuwaje eneo kama lile shambulozi litekelezwe tena kama vita ya msituni?
Aaaasaa wapi kuwashawishi wa tz kazi ni ngumu.
Muuaji ajurikane tuu vinginevyo hii skendo kuikimbia ni inshu mkuu
Ya Erasto Msuya Arusha!Uvivu wa serikali na bunge kushughulikia hii ishu vmefanya iwe first suspect
Mkanganyiko wanaojichanya ndio unaotupa wananchi confidence ya kusema hayo
Hamna mwananchi hata mmoja anaeweza kuorganize mauaji yale
Kwani umekuwa wa kwanza kuyasema haya??Tatizo ni kusikia Lissu alidhulumu wenzie?
Una point mkuu..Kwa Mtu mwenye akili timamu kabla hajatupia uharo wake lazima ajiulize kauli hii Mdau.. maana kwa nini mtu wa serikali awe na gossip ambazo hazifanyiwi kazi na kwa nini wasizitumie kumkamata na kuwakamata wanaouza hizo nyaraka na hao wazungu ili wawajibishwe?? Na hiyo ndio tunaouita uhaini (Trison).. hawa viongozi wa CiCiM waache kutengeneza vijana wasiokuwa na ubongo kuwafanyia propoganda za mitandao maana zinazidi kuwaanika na wanavyuhusika kwa jaribio la kutaka kumuua Lisu. Poule poule awaambie wapost vitu vinavyoendana na uhalisia japo ni vya uongo waache cheap and awkward posts.
Hakununua mkuu,aliipata kwa kuwahadaa,na wahadaiwa walijua wanafanya kosa Sasa kuwazika malipo wakaona Ni uhanithi huu,wakamkomesha.Alinunua document ili alisaliti taifa?, kama alifanya hivyo hafai
Ya Erasto Msuya Arusha!
Kumbe ni kweli serikali inahusikaLeo nimekutana na mdau flani toka wizara flani ya serikali ya Tanzania, tulikuwa tukipata chakula cha mchana sehemu flani hapa dar, sitaitaja jina kwa Sababu flani.akaniambia mdogo wangu shambulizi la Lissu serikali haihusiki hata kidogo, wanaionea bure kabisa, siasa inatupeleka vibaya. Kaniambia unajua shambulizi hili limetokana na kudhulumiana pesa, jamaa zangu walikua wananyofoa nyaraka wizarani wanampa kwa makubaliano ya ujira, tatizo la Lissu Kila alipopewa pesa na wazungu aliwaeleza wale jamaa kwamba bado malipo yanashughulikiwa Kumbe alikua analipwa kwa instalment , wakimsumbua Sana anakata kiwango kidogo Sana, akidai yeye ndo master plan wasiwe na Shaka , sasa jamaa wakaona huyu tunamtajirisha yeye huku Sisi Kazi zetu zipo hatarini, ndo maana wakaona dawa ni ku revenge, jamaa Kaniambia wazungu walimtegemea Sana Lissu , na yeye aliwaambia wasiwe na Shaka kwa kua ametengeneza mtandao mpana kuhakikisha serikali haifurukuti kwa Mikataba iliofungwa hapo nyuma.
Tuwe na subra, mengi tutayasikia, yatabadilisha mitizamo yetu kabisa
Mkuu tindo yote hayo yanatoka wapi?, Nilitegemea jibu fupi tu la kistarabu kwa hukubaliani na nilicho shareUmetumwa uje upime upepo kama bado watu ni wajinga? Kama ni kweli umeambiwa na mtu sijui wa serekali sijui nani, huyo lazima atakuwa ni wale tiss wazee wenye mbinu za wakati barua inachapwa kwa typewriter. Hizo mbinu za hivyo ni zile za wale tiss waliosoma nchi za ulaya mashariki ambako ilikuwa ni sheria kusikiliza habari za kiongozi wa nchi kila siku. Halafu thetallest unajiaibisha wewe kama kijana kuambiwa mambo na wazee wanausibiri kustaafu walipwe mafao yao halafu uje kutuletea huo upuuzi hapa jukwaani.
Wamezichukua ili kutunza ushahidi siku uchunguzi ukimalizika??Zile cctv
Muda ni mwalimuIngekuwa hivyo serikali ingekuwa mstari wa mbele kuchunguza na hata huo uchunguzi huru wa kimataifa ulioombwa ungeruhusiwa. Hoja ya kijinga sana hii ya mtu asiyejua kutengeneza uongo
Hebu waambie hawa jamaa manaake wanachosha,Leo nimekutana na mdau flani toka wizara flani ya serikali ya Tanzania, tulikuwa tukipata chakula cha mchana sehemu flani hapa dar, sitaitaja jina kwa Sababu flani.akaniambia mdogo wangu shambulizi la Lissu serikali haihusiki hata kidogo, wanaionea bure kabisa, siasa inatupeleka vibaya. Kaniambia unajua shambulizi hili limetokana na kudhulumiana pesa, jamaa zangu walikua wananyofoa nyaraka wizarani wanampa kwa makubaliano ya ujira, tatizo la Lissu Kila alipopewa pesa na wazungu aliwaeleza wale jamaa kwamba bado malipo yanashughulikiwa Kumbe alikua analipwa kwa instalment , wakimsumbua Sana anakata kiwango kidogo Sana, akidai yeye ndo master plan wasiwe na Shaka , sasa jamaa wakaona huyu tunamtajirisha yeye huku Sisi Kazi zetu zipo hatarini, ndo maana wakaona dawa ni ku revenge, jamaa Kaniambia wazungu walimtegemea Sana Lissu , na yeye aliwaambia wasiwe na Shaka kwa kua ametengeneza mtandao mpana kuhakikisha serikali haifurukuti kwa Mikataba iliofungwa hapo nyuma.
Tuwe na subra, mengi tutayasikia, yatabadilisha mitizamo yetu kabisa
Mkuu tindo yote hayo yanatoka wapi?, Nilitegemea jibu fupi tu la kistarabu kwa hukubaliani na nilicho share