Makusudically
JF-Expert Member
- Feb 3, 2014
- 2,203
- 1,235
Una Maana Mbilinyi ni Panya Buku ? Au yule mtoto aliyegongwa na Mbilinyi ni Panya Buku ? Fafanua.Panya buku
Siku hizi madereva maeneo mbalimbali Tanzania Zebra crossing inaheshimika sana, tena hata taa mbili za indicator zote zinawashwa mita 3 kabla ya kuvuka. Ninahakika ingekuwa kipindi cha nyuma kidogo iko hivi, SUGU asingemgonga yule kijana Yatima na kumuua. Mbilinyi Sugu alimgonga mtoto Yatima na Kumuua Kabisa tena kwenye Punda milia na kumuachisha masomo. Lakini hili wanachadema hawaliongelei, wanakomaa na Tundu Lisu kupigwa Risasi bila kujari kuwa Sugu alimgonga Yatima na kumuua kwenye Zebra crossing.
Zote ni muhimu kwa Great thinkers tu. Lakini kwa slow learners ni mkosi. Kumbuka kuwa matokeo ya kudesa chuoni ndiyo haya. Hata kujadiri mambo mengi kwa wakati mmoja ni taabu kwao.Mbona umechanganya habari 3 tofauti......[emoji15] [emoji15] [emoji15]
1-Zebra ni Habari na hoja mchanganyiko
2-Chadema/Sugu ni Habari za Siasa
3-Mwanafunzi ku uwawa ni Tanzia
Siku hizi madereva maeneo mbalimbali Tanzania Zebra crossing inaheshimika sana, tena hata taa mbili za indicator zote zinawashwa mita 3 kabla ya kuvuka. Ninahakika ingekuwa kipindi cha nyuma kidogo iko hivi, SUGU asingemgonga yule kijana Yatima na kumuua. Mbilinyi Sugu alimgonga mtoto Yatima na Kumuua Kabisa tena kwenye Punda milia na kumuachisha masomo. Lakini hili wanachadema hawaliongelei, wanakomaa na Tundu Lisu kupigwa Risasi bila kujari kuwa Sugu alimgonga Yatima na kumuua kwenye Zebra crossing.
Chadema yeyote lazima aseme mada imechanganywa, na bado chezea awamu ya tano weye.Duh!!! Kichwa cha habari na "content" mbali mbali. Anyway umechanganya makande, wali, ugali wa jana bila kusahau ule mchicha uliobaki. Haya kanyaga twende. Hahahaha....
Kweli wewe ndie aina yama Great Thinkers tunao wategemea humu....[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Zote ni muhimu kwa Great thinkers tu. Lakini kwa slow learners ni mkosi. Kumbuka kuwa matokeo ya kudesa chuoni ndiyo haya. Hata kujadiri mambo mengi kwa wakati mmoja ni taabu kwao.
Maswali ni mengi sana mkuu, lakini majibu hakuna...kwanini kulikuwa hakuna ulinzi siku aliyoshambuliwa TL ?
..nani alitoa maelekezo walinzi wasiwepo siku ya shambulizi hilo?
..Je, aliyefanya uamuzi huo amehojiwa au kukamatwa na Polisi?
..Hivi tunavyozungumza anafanya shughuli gani?
..Je, hawezi kuwa anahusika ktk kupanga shambulizi dhidi ya Mh.Lissu?
Hivi hata picha husomi kwaakiri yako ilio lowa ulojo unadhani kila.mtu ana muwaza lisu huyo lisu ni kwa ajili yako na familia yako tena mkabidhi mke wako maana unam husudu yule jangiliNi dhahiri aliyetoa baraka juu ya shambulizi lililotaka kumuua Tundu Lisu alikuwa na nia ya kupunguza wimbi zito la ushindani katika safari yake ya kisiasa 2020.
Kwa tunaofuatilia nature of the world na spiritual ethics tunafahamu kuwa unapolazimisha kufunga mlango kwa hila na mlango ukagoma kufunguka basi mmiliki wa mlango lazima atapata faida kwa attempt yako.
Napenda kusema hivi, wewe uliyetaka kumuua Lisu kuwa ile sababu iliyokufanya utake utoe uhai wake ili upite kiulaini anguko kubwa linakujia.
Uzi huu nitaufufua November 2020 baada ya Daudi kukaa mahali alipopanajisi Sauli.
Shetani, si DUDE KUUUBWAAA LITISHALO! Ni baadhi yetu sisi BINADAMU, wenye sura nzuri, mfano wa Mwenyezi Mungu!Hivi hata picha husomi kwaakiri yako ilio lowa ulojo unadhani kila.mtu ana muwaza lisu huyo lisu ni kwa ajili yako na familia yako tena mkabidhi mke wako maana unam husudu yule jangili
HakikaJust Praise Me hata Yuda asingemuua Yesu Dunia isingekombolewa