Unastahili u DC
 
Akiwa Nairobi kasema HAWAJUI waliompiga risasi, akiwa Ubelgiji kasema ANAWAJUA waliompiga risasi, huyu zimeanza KUDATA, haraka akifika AWAHISHWE MIREMBE !
 
Wanawatumia Watu ambao uwezo wao wa Kufiri umefika Kikomo ''If yo dot know where you are going any road will take you there''
 
Kuna nadharia zinajengwa kupotezea watu muda hasa magazeti hayo. Shida ni Chadema ivunjike au waweke vibaraka wao that is why very day Chasema. Njia mbona fupi sana Serikali iitishe bunge la dharura lifute ile sehemu kwenye katiba inayoruhusu uwepo wa vyama pinzani. CCM ibaki yenyewe watu tupumue sio lazima upinzani uwepo kabisa. hakuna haja ya kuwindana kama swala hapa.
 

Kwanini makonda na jpm wasiende mahakamani baada ya lisu kuwataja juzi.acha wehu
 
Yaani huu utoto mngeufanya sana kama Lissu angefariki ili mjisafishe,Lakini uzuri Mungu amemuokoa.Atawapa vidonge vyenu mpaka muache unafiki.Jibu hizi hoja
1.CCTV kwanini ilitolewa
2.Ulinzi ulikuepo wapi siku ile???
Hoja zipo nyingi mkuu ngoja niishie hapo mana hata ww mwenyew ukweli pengine unaujua ila unajaribu tu kuchangamsha genge.
 
CCTV camera zipo polisi kwa ajili ya uchunguzi
 
wewe mtoa hoja hii unamatatizo ya mtindio wa akili,mh.Mbowe aende mahakamani kwa swala gani?unajua taratibu za kisheria kuhusu mahakama?elewa unaishi kwenye nchi ya wasadikika ambao una so called police force hawana hata uwezo wa to secure a crime scene?wao ni wajuaji wa kukimbizana na wanasiasa wa upande wa upinzani tu,na petty crimes mitaani,elewa nchi yako ni lango kuu la human trafficking(wahamiaji wengi wamekufa ndani ya nchi yetu wakisafirishwa na sycdicates mbali mbali),nchi yetu ni lango kuu la madawa ya kulevya hasa heroiuns kutoka india na jirani zake,nchi yako ni moja ya vituo vikuu vya usafirishaji wa fedha haramu kwa magaidi walioko jijini Kabul,nilitegemea utatumia mada yako to put pressure on police kuwa why until now hawajatuambia nini went wrongs hadi Mh.Lisu akajeruhuwa na risasi,ubinafsi wetu watanzania ndio tumeuweka mbele wewe hujui kuwa familia ya Lisu kikatiba wana haki ya kuambia ukweli nini kilijiri hadi mpendwa wao akajeruhiwa kwa risasi,maiti nyingi zimeokotwa kwenye viroba hadi leo hakuna maelezo,Dr.anakufa pale kijijini kwao Tanga hakuna maelezo eti amejinyonga!!hakuna foresinc reports!!!,unaishi nchi ambayo may be haina hata forensic pathologist(matokeo yake GPs na MAs ndio wanatuandikia repoti za forensic)tuendelee kusubiri meli yetu ya noah pale KIA.
 
Lakini vita ya dawa za kulevya ilipoanzishwa ulipinga sana na ukaanza kutetea wauza madawa
 
This is non sense at the highest level
 
Kwa hili uliloliandika na kulishadia ukiitwa MPUMBAVU utakuwa umetendewa haki yako.
Hivi sheria za nchi zinamakengeza? Maana wewe ni mpumbavu kama wengine wanavyoshabikia hata ya kawaida ngoja nikupe mifano midogo tuu ya nani mwenye wajibu katika taifa letu panapotokea na sintofahamu yote.
Ulishawahi kusikia KESI NI YA JAMHURI? UNAMJUA HUYO JAMHURI? HUWA ANAJITOKEZA WAKATI GANI? Mfano Umezaa mtoto wako kwa raha zako then umjeruhi sana na pengine kumsababishia umauti, unajua kitakachotokea? Je, utachekewa na serikali? Hapo ndipo JAMHURI UTAKAPOMUONA ili upate haki yako kwa madhira uliyosababisha.
Sasa tuje kwa ishu ya LISU, kama kweli wanaotajwa tajwa ambao mara nyingi watajaji ni walewale wenye mlengo wa NDIYO MZEE bila kujifikia na kujitafakari kuwa wanapotea si wangehojiwa wakatoa maelezo sahihi nani alitenda ovu hilo na mara moja JAMHURI akasimamamia hilo ili haki itendeke. Sasa mbona ni zaidi ya Mwaka hakuna waliokamatwa?
Kuna nini na huyo Mbowe? Kwa jinsi anavyosakamwa kwa kuelekezwa kila ovu basi naona huyo ni mwema zaidi, la sivyo naye tungeshamsahau maana tulishaambiwa JAMHURI anamkono mrefu, sasa kwa Mbowe ndo unapinda au kuwa mfupi?
Jitafakarini kwa buku 7 zenu hizo na vigazeti uchwala ambavyo vinaibua mambo ya ajabu ila havikemewi ila Magazeti makini ya kiuchunguzi na yenye data sahihi yanatishiwa na kufungiwa.


 
Wewe mpumbavu kweli ,nyie ndiyo MNA polisi na mahakama kama kweli amefanya hivyo mnagwaya nini kumchukulia hatua? Damu ya Lissu itawatesa sana na 2020 hamfiki wapumbavu wa kubwa.
 
Anayetakiwa kushitaki ni raia mwema aliyeona mipango ikipangwa.
 
Wewe mpumbavu kweli ,nyie ndiyo MNA polisi na mahakama kama kweli amefanya hivyo mnagwaya nini kumchukulia hatua? Damu ya Lissu itawatesa sana na 2020 hamfiki wapumbavu wa kubwa.
Ulishawahi kugombea uenyekiti wa chadema?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…