Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Hata wewe unashangaa upupu wa Kada mwenzako,kweli kajiharishia.Mtumeee!
Kaaazi kweli kweli walahi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata wewe unashangaa upupu wa Kada mwenzako,kweli kajiharishia.Mtumeee!
Kaaazi kweli kweli walahi
Unastahili u DCTokea mnadhimu wa kambi rasmi ya upinzani bungeni T Lisu apigwe risasi mchana kweupe kuna nadharia kadhaa zimeibuka kujaribu kuelezea huo upigwaji risasi wa Lisu.
Lisu mwenyewe alipotembelewa na makamu wa rais akiwa Nairobi alikiri wazi kuwa hawajui waliompiga risasi na kuviachia vyombo vya dola vifanye uchunguzi wake.
Ingawa hivi majuzi akiwa ubeligiji ameibuka na kuihusisha serikali na upigwaji wake risasi.
Nadharia nyingine inatokea ndani ya chama cha chadema ,gazeti la Jamvi la habari wameelezea A to Z kuwa Lisu alipigwa risasi baada ya kutishia uenyekiti wa Mbowe. Wameeleza siku chache kabla ya kupigwa risasi kulikuwa na vikao kadhaa vya wanachadema wakimtaka Lisu agombee uenyekiti.
Pia aliyekuwa mbunge wa Ukonga na mjumbe wa kamati kuu ya chadema naye alinogesha nadharia hii baada ya kuelezea namna watu wanavyopata misukosuko wakitangaza kugombea uenyekiti ndani ya chadema.
Waitara alihusisha kufa kwa Chacha Wangwe ,kutaka kulishwa sumu kwa Zito Kabwe ,kupigwa risasi kwa Lisu na yeye mwenyewe kutishiwa kushughulikiwa iwapo atagusa kiti cha mwenyekiti ndani ya chama..
Kama kweli Mbowe anasingiziwa kwenye tuhuma hizi za kuuwa watu wanaotaka kugombea uenyekiti ndani ya chama basi aende mahakamani kutaka kusafishwa na tuhuma hizi.
Mbowe akiendelea kukaa kimya bila kuwaburuta mahakamani wanaomtuhumu basi , mamilioni ya watanzania watajua ni kweli View attachment 829281View attachment 829284
Wanawatumia Watu ambao uwezo wao wa Kufiri umefika Kikomo ''If yo dot know where you are going any road will take you there''Yaani MBOWE ana mambo ya "ajabu" kweli kweli, apange kumuua LISSU, halafu aondoe ulinzi wote wa kiserekali kwenye eneo husika na kama haitoshi akazipotezesha kamera za CCT (kwa waziri nani sijui) kutoka eneo husika. Halafu akaenda na LISSU Nairobi na huko akashindwa kum-maliza mlengwa wake. Kana kwamba haitoshi akalipiga ganzi jeshi la polisi lisijue la kufanya hata kupata taarifa za kilichotokea toka kwa LISSU na DEREVA wake. HII SINGLE YA CCM IMECHUJA WATAFUTE NYINGINE.
Comment yenye akili kwenye uzi huuKwanini nyinyi CCM na serekali yenu Chini ya Jiwe msimshtaki kwa kudhamiria kuua?
Tokea mnadhimu wa kambi rasmi ya upinzani bungeni T Lisu apigwe risasi mchana kweupe kuna nadharia kadhaa zimeibuka kujaribu kuelezea huo upigwaji risasi wa Lisu.
Lisu mwenyewe alipotembelewa na makamu wa rais akiwa Nairobi alikiri wazi kuwa hawajui waliompiga risasi na kuviachia vyombo vya dola vifanye uchunguzi wake.
Ingawa hivi majuzi akiwa ubeligiji ameibuka na kuihusisha serikali na upigwaji wake risasi.
Nadharia nyingine inatokea ndani ya chama cha chadema ,gazeti la Jamvi la habari wameelezea A to Z kuwa Lisu alipigwa risasi baada ya kutishia uenyekiti wa Mbowe. Wameeleza siku chache kabla ya kupigwa risasi kulikuwa na vikao kadhaa vya wanachadema wakimtaka Lisu agombee uenyekiti.
Pia aliyekuwa mbunge wa Ukonga na mjumbe wa kamati kuu ya chadema naye alinogesha nadharia hii baada ya kuelezea namna watu wanavyopata misukosuko wakitangaza kugombea uenyekiti ndani ya chadema.
Waitara alihusisha kufa kwa Chacha Wangwe ,kutaka kulishwa sumu kwa Zito Kabwe ,kupigwa risasi kwa Lisu na yeye mwenyewe kutishiwa kushughulikiwa iwapo atagusa kiti cha mwenyekiti ndani ya chama..
Kama kweli Mbowe anasingiziwa kwenye tuhuma hizi za kuuwa watu wanaotaka kugombea uenyekiti ndani ya chama basi aende mahakamani kutaka kusafishwa na tuhuma hizi.
Mbowe akiendelea kukaa kimya bila kuwaburuta mahakamani wanaomtuhumu basi , mamilioni ya watanzania watajua ni kweli View attachment 829281View attachment 829284
CCTV camera zipo polisi kwa ajili ya uchunguziYaani huu utoto mngeufanya sana kama Lissu angefariki ili mjisafishe,Lakini uzuri Mungu amemuokoa.Atawapa vidonge vyenu mpaka muache unafiki.Jibu hizi hoja
1.CCTV kwanini ilitolewa
2.Ulinzi ulikuepo wapi siku ile???
Hoja zipo nyingi mkuu ngoja niishie hapo mana hata ww mwenyew ukweli pengine unaujua ila unajaribu tu kuchangamsha genge.
Kweli kabisaAkiwa Nairobi kasema HAWAJUI waliompiga risasi, akiwa Ubelgiji kasema ANAWAJUA waliompiga risasi, huyu zimeanza KUDATA, haraka akifika AWAHISHWE MIREMBE !
Lakini vita ya dawa za kulevya ilipoanzishwa ulipinga sana na ukaanza kutetea wauza madawawewe mtoa hoja hii unamatatizo ya mtindio wa akili,mh.Mbowe aende mahakamani kwa swala gani?unajua taratibu za kisheria kuhusu mahakama?elewa unaishi kwenye nchi ya wasadikika ambao una so called police force hawana hata uwezo wa to secure a crime scene?wao ni wajuaji wa kukimbizana na wanasiasa wa upande wa upinzani tu,na petty crimes mitaani,elewa nchi yako ni lango kuu la human trafficking(wahamiaji wengi wamekufa ndani ya nchi yetu wakisafirishwa na sycdicates mbali mbali),nchi yetu ni lango kuu la madawa ya kulevya hasa heroiuns kutoka india na jirani zake,nchi yako ni moja ya vituo vikuu vya usafirishaji wa fedha haramu kwa magaidi walioko jijini Kabul,nilitegemea utatumia mada yako to put pressure on police kuwa why until now hawajatuambia nini went wrongs hadi Mh.Lisu akajeruhuwa na risasi,ubinafsi wetu watanzania ndio tumeuweka mbele wewe hujui kuwa familia ya Lisu kikatiba wana haki ya kuambia ukweli nini kilijiri hadi mpendwa wao akajeruhiwa kwa risasi,maiti nyingi zimeokotwa kwenye viroba hadi leo hakuna maelezo,Dr.anakufa pale kijijini kwao Tanga hakuna maelezo eti amejinyonga!!hakuna foresinc reports!!!,unaishi nchi ambayo may be haina hata forensic pathologist(matokeo yake GPs na MAs ndio wanatuandikia repoti za forensic)tuendelee kusubiri meli yetu ya noah pale KIA.
Hahahaha.uchunguzi mwaka mkuu???CCTV camera zipo polisi kwa ajili ya uchunguzi
This is non sense at the highest levelTokea mnadhimu wa kambi rasmi ya upinzani bungeni T Lisu apigwe risasi mchana kweupe kuna nadharia kadhaa zimeibuka kujaribu kuelezea huo upigwaji risasi wa Lisu.
Lisu mwenyewe alipotembelewa na makamu wa rais akiwa Nairobi alikiri wazi kuwa hawajui waliompiga risasi na kuviachia vyombo vya dola vifanye uchunguzi wake.
Ingawa hivi majuzi akiwa ubeligiji ameibuka na kuihusisha serikali na upigwaji wake risasi.
Nadharia nyingine inatokea ndani ya chama cha chadema ,gazeti la Jamvi la habari wameelezea A to Z kuwa Lisu alipigwa risasi baada ya kutishia uenyekiti wa Mbowe. Wameeleza siku chache kabla ya kupigwa risasi kulikuwa na vikao kadhaa vya wanachadema wakimtaka Lisu agombee uenyekiti.
Pia aliyekuwa mbunge wa Ukonga na mjumbe wa kamati kuu ya chadema naye alinogesha nadharia hii baada ya kuelezea namna watu wanavyopata misukosuko wakitangaza kugombea uenyekiti ndani ya chadema.
Waitara alihusisha kufa kwa Chacha Wangwe ,kutaka kulishwa sumu kwa Zito Kabwe ,kupigwa risasi kwa Lisu na yeye mwenyewe kutishiwa kushughulikiwa iwapo atagusa kiti cha mwenyekiti ndani ya chama..
Kama kweli Mbowe anasingiziwa kwenye tuhuma hizi za kuuwa watu wanaotaka kugombea uenyekiti ndani ya chama basi aende mahakamani kutaka kusafishwa na tuhuma hizi.
Mbowe akiendelea kukaa kimya bila kuwaburuta mahakamani wanaomtuhumu basi , mamilioni ya watanzania watajua ni kweli View attachment 829281View attachment 829284
Tokea mnadhimu wa kambi rasmi ya upinzani bungeni T Lisu apigwe risasi mchana kweupe kuna nadharia kadhaa zimeibuka kujaribu kuelezea huo upigwaji risasi wa Lisu.
Lisu mwenyewe alipotembelewa na makamu wa rais akiwa Nairobi alikiri wazi kuwa hawajui waliompiga risasi na kuviachia vyombo vya dola vifanye uchunguzi wake.
Ingawa hivi majuzi akiwa ubeligiji ameibuka na kuihusisha serikali na upigwaji wake risasi.
Nadharia nyingine inatokea ndani ya chama cha chadema ,gazeti la Jamvi la habari wameelezea A to Z kuwa Lisu alipigwa risasi baada ya kutishia uenyekiti wa Mbowe. Wameeleza siku chache kabla ya kupigwa risasi kulikuwa na vikao kadhaa vya wanachadema wakimtaka Lisu agombee uenyekiti.
Pia aliyekuwa mbunge wa Ukonga na mjumbe wa kamati kuu ya chadema naye alinogesha nadharia hii baada ya kuelezea namna watu wanavyopata misukosuko wakitangaza kugombea uenyekiti ndani ya chadema.
Waitara alihusisha kufa kwa Chacha Wangwe ,kutaka kulishwa sumu kwa Zito Kabwe ,kupigwa risasi kwa Lisu na yeye mwenyewe kutishiwa kushughulikiwa iwapo atagusa kiti cha mwenyekiti ndani ya chama..
Kama kweli Mbowe anasingiziwa kwenye tuhuma hizi za kuuwa watu wanaotaka kugombea uenyekiti ndani ya chama basi aende mahakamani kutaka kusafishwa na tuhuma hizi.
Mbowe akiendelea kukaa kimya bila kuwaburuta mahakamani wanaomtuhumu basi , mamilioni ya watanzania watajua ni kweli View attachment 829281View attachment 829284
Wewe mpumbavu kweli ,nyie ndiyo MNA polisi na mahakama kama kweli amefanya hivyo mnagwaya nini kumchukulia hatua? Damu ya Lissu itawatesa sana na 2020 hamfiki wapumbavu wa kubwa.Tokea mnadhimu wa kambi rasmi ya upinzani bungeni T Lisu apigwe risasi mchana kweupe kuna nadharia kadhaa zimeibuka kujaribu kuelezea huo upigwaji risasi wa Lisu.
Lisu mwenyewe alipotembelewa na makamu wa rais akiwa Nairobi alikiri wazi kuwa hawajui waliompiga risasi na kuviachia vyombo vya dola vifanye uchunguzi wake.
Ingawa hivi majuzi akiwa ubeligiji ameibuka na kuihusisha serikali na upigwaji wake risasi.
Nadharia nyingine inatokea ndani ya chama cha chadema ,gazeti la Jamvi la habari wameelezea A to Z kuwa Lisu alipigwa risasi baada ya kutishia uenyekiti wa Mbowe. Wameeleza siku chache kabla ya kupigwa risasi kulikuwa na vikao kadhaa vya wanachadema wakimtaka Lisu agombee uenyekiti.
Pia aliyekuwa mbunge wa Ukonga na mjumbe wa kamati kuu ya chadema naye alinogesha nadharia hii baada ya kuelezea namna watu wanavyopata misukosuko wakitangaza kugombea uenyekiti ndani ya chadema.
Waitara alihusisha kufa kwa Chacha Wangwe ,kutaka kulishwa sumu kwa Zito Kabwe ,kupigwa risasi kwa Lisu na yeye mwenyewe kutishiwa kushughulikiwa iwapo atagusa kiti cha mwenyekiti ndani ya chama..
Kama kweli Mbowe anasingiziwa kwenye tuhuma hizi za kuuwa watu wanaotaka kugombea uenyekiti ndani ya chama basi aende mahakamani kutaka kusafishwa na tuhuma hizi.
Mbowe akiendelea kukaa kimya bila kuwaburuta mahakamani wanaomtuhumu basi , mamilioni ya watanzania watajua ni kweli View attachment 829281View attachment 829284
Anayetakiwa kushitaki ni raia mwema aliyeona mipango ikipangwa.Tokea mnadhimu wa kambi rasmi ya upinzani bungeni T Lisu apigwe risasi mchana kweupe kuna nadharia kadhaa zimeibuka kujaribu kuelezea huo upigwaji risasi wa Lisu.
Lisu mwenyewe alipotembelewa na makamu wa rais akiwa Nairobi alikiri wazi kuwa hawajui waliompiga risasi na kuviachia vyombo vya dola vifanye uchunguzi wake.
Ingawa hivi majuzi akiwa ubeligiji ameibuka na kuihusisha serikali na upigwaji wake risasi.
Nadharia nyingine inatokea ndani ya chama cha chadema ,gazeti la Jamvi la habari wameelezea A to Z kuwa Lisu alipigwa risasi baada ya kutishia uenyekiti wa Mbowe. Wameeleza siku chache kabla ya kupigwa risasi kulikuwa na vikao kadhaa vya wanachadema wakimtaka Lisu agombee uenyekiti.
Pia aliyekuwa mbunge wa Ukonga na mjumbe wa kamati kuu ya chadema naye alinogesha nadharia hii baada ya kuelezea namna watu wanavyopata misukosuko wakitangaza kugombea uenyekiti ndani ya chadema.
Waitara alihusisha kufa kwa Chacha Wangwe ,kutaka kulishwa sumu kwa Zito Kabwe ,kupigwa risasi kwa Lisu na yeye mwenyewe kutishiwa kushughulikiwa iwapo atagusa kiti cha mwenyekiti ndani ya chama..
Kama kweli Mbowe anasingiziwa kwenye tuhuma hizi za kuuwa watu wanaotaka kugombea uenyekiti ndani ya chama basi aende mahakamani kutaka kusafishwa na tuhuma hizi.
Mbowe akiendelea kukaa kimya bila kuwaburuta mahakamani wanaomtuhumu basi , mamilioni ya watanzania watajua ni kweli View attachment 829281View attachment 829284
Ulishawahi kugombea uenyekiti wa chadema?Wewe mpumbavu kweli ,nyie ndiyo MNA polisi na mahakama kama kweli amefanya hivyo mnagwaya nini kumchukulia hatua? Damu ya Lissu itawatesa sana na 2020 hamfiki wapumbavu wa kubwa.