Kizazi changu KAMWE hakitapata laana maana unlike you sifurahii uovu. Kwa maneno na vitendo vyangu. Laana ni kwa watu aina yako wanaofanya na kushangilia uovu.
Na mara zote huwa hawajielewi kama wamepigwa laana.Huwa wanabaki kuweweseka na kughubikwa na hasira muda wote kama mfalme Saul enzi za Daudi.Upofu wa kiroho huwafumba mengi ingawa wana macho ya kimwili.
 
wale wachungaji wote na manabialiokuwa wamejazana Ikulu wamesemaje?
 
Wakati mwingine hakuna Ulazima wa kuamka tu asubuhi na kujifanya mchungaji. Pata angalau uji.

Hivi hadi leo wewe hujawajua walio panga kwa siri muua Lissu?
Hao ndo walio laanaia, na dalili za kulaaniwa ni kama makelele hayo, na aliye laaniwa kuliko wote siku hizi kimya, dalili zingine ni kushindwa kwa shughuli wazipangazo maana waliolaaniwa na kazi za mikono yao pia zimelaaniwa.
 
Ndiyo chief
 
Kama ni mshenzi apigwe tu sirini na hadharani, hakuna namna

Sent using Jamii Forums mobile app
Pia fahamu malipo ni hapahapa duniani, pengine Lissu nae kalipwa malipo yake, wewe huwezi jua

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mbona unatapatapa? Mtu hajatajwa ila unaweweseka na kupost mara mbili mbili hadi unaanza kubishana na maandiko! Baadaye mkiambiwa wahusika ni ninyi mnakataa wakati mnajionesha wazi.

***Abhasubhi twemanye***
 
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu uumbe huu uaisha ikiwa unakuhusu wewe, huwezi kuupenda. Lakini ndio kweli.
 
Na ameshalaaniwa kwelikweli..
Ona anavyotapatapa kaa kuku anaekata roho...
Kula analolianzisha halifanikiwi na halitofanikiwa..
Laana hiyo.
Kile Ulaya walipoachaana kuua hovyo na.kutambua umuhumu wa uhai na umuhimu wa haki za binadamu kule maendeleo ni nje nje, kila wanachofamya kinasonga mebeli, teknolojia inapaa, hawajafeli kitu. Hizi ni baraka.
 
Kabisa. Yaani walipoanza tu kuwaziana mema toka moyoni wamefunguka kwelikweli
Kile Ulaya walipoachaana kuua hovyo na.kutambua umuhumu wa uhai na umuhimu wa haki za binadamu kule maendeleo ni nje nje, kila wanachofamya kinasonga mebeli, teknolojia inapaa, hawajafeli kitu. Hizi ni baraka.
 
Kwa kitendo cha kumwokoa katika mazingira Yale ni dalili wazi kuwa Mungu anaenda kulipa kisasi yeye Mwenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeota huyo asiyejulikana hata akiombewa na manabii hatabarikiwa,atakosa amani siku zote za uhai wake,hatakua na furaha kama alivyo Sikh hizi,ataendelea kua na aibu.
 
Ndo basi tena, ingekuwa miaka ya zamani angejitokeza hadharani na kutubu ila siku hizi akifanya hivyo ataiponya nafsi tu ila mwili wake utazeekea jela.
Nimeota huyo asiyejulikana hata akiombewa na manabii hatabarikiwa,atakosa amani siku zote za uhai wake,hatakua na furaha kama alivyo Sikh hizi,ataendelea kua na aibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…