..aliyeondoa walinzi wa area D mahali aliposhambuliwa Tundu Lissu anawajua waliopanga jaribio lile la mauaji na kigaidi.
 
Si ni mungu wa Darisalama. Mbona lipo wazi?[emoji23][emoji1787]
 
PhD flani fake ndo alifanya hayo, na yule mgogo mjinga!
 
Dereva wake!
 
Tundu Lissu pamoja na Dreva wake waje wapeleke ushahidi polisi, vile vile Chadema wahojiwe? Je, kwa nini Tundu Lisu ameghairi kurudi kama alivopanga mwanzo? Je, huyo daktarin wake alipkuwa amepanga safari alikuwa hawana mawasiliano naye? Au kwa sababu Ndege yetu ya Dodoma iliachiwa? Au ni kwa sababu mbunge mpya aliapishwa? Tundu Lisu lazima afahamu kwamba ana kesi ya kujibu kwa kulichafua taifa alipokuwa kwenye matibabu.
 
Check out @theSICARIO_255’s Tweet:
 

🙉 Utakua umehusika au unawatambua wahusika bila shaka! Maana unaonekana kabisa hujafurahishwa na maendeleo ya afya ya huyo mhanga mliyemmiminia risasi za kutosha pasipo huruma wala utu. Na nyinyi siku yenu ya hukumu itafika tu.
 
Kesho ni kumbukumbu.


Wapenda AMANI kesho tukutane uwanja wa TAIFA SAA SAA 7'

ENDA
 
Ni CHADEMA ndo walimpiga risasi. Hao hao ndo walimwua Akwilina ndo sababu Mbowe & Co wana kesi mahakamani.
Hiki chama Cha chadema ni hatari sana Sana kwa jinsi walivyowatoa askari waliokuwa wanalinda area D trh 7/Sept/2017. Dhaaaa.
 
Serikali iliyoshindwa kuongoza huanza kugombana na wananchi wake.
 
Kesho wa dodoma tukutane nyerere square kwa kumbukumbu ya kupigwa kwa Lisu. Muroto nasikia yupo nje ya nchi kikazi
 
Tundu Lissu unaishi ili tushuhudie ukuu wa Mungu. Kwa wakati wake Mungu atatenda mapenzi yake.

Ahsante Mungu kwa maisha ya Tundu Lissu
Yule bosi wa wasiojulikana amevunjika miguu yote miwili, naona wamemficha kwa kuona aibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…