Uzi pumba.
Akili zako Kama mpira wa kiume unaovaliwa wakati wa kufanya zinaa,ulishajiuliza hata siku moja walinzi wa area D walikuwa wapi trh 7September 2017? Na aliyeamru wasiwepo lindoni siku hiyo kawajibishwa? Hujui kina madaktari na walimu wametumbuliwa kisa wametumia vyeti vya sekondari vya jamaa zao wakati Bashite anapeta TU nakunenepeana tu. Ulishawahi kuhoji haya?
 
Kupona kwa Lissu ilikuwa lazima maana ni yeye pekee alikuwa akiongea na kumpinga Jiwe hadharani, pamoja na kupelekwa mahakamani ila aliwashinds siku zote. Shetani alipotaka Lissu aondoke Mungu akasema hapana ngoja aishi ili wahusika wajue kuwa yupo Mungu
 
Nasikia waliohusika na shambulio hilo wanapukutika kweli, amebaki aliyetuma na kuwa escorts tu.
 

Mkuu, Hao ni watoto wa matunda ya mbio za mwenge , ni kuwaacha tu
 

Pascal amelewa makombo ya Lumumba bado dozi anayopewa haijamtoka
 
JF ni Jukwaa la kipekee Tz na lina watu wenye weledi mbalimbali.

Naomba mnisaidie kuelewa mambo yafuatayo:-
1. Picha ya gari lililopigwa risasi kumshambulia Tundu Lissu linaonesha risasi zimepigwa mlango wa kushoto.

2 Mguu ulioumia ni wa kulia..

3. Risasi zimepiga kioo, sasa ina maana Tundu Lissu aliinua mguu kwenye dirisha?

4. Yeye mwenyewe anasema alilaza kiti!! Hizi risasi zilipita wapi?

5. Dereva yupo wapi atusaidie hili.

Karibuni wataalamu tudadavue.

Queen Esther
 
Nafsi zinawasuta tu nyie!

Una uhakika risasi zilipiga kwenye kioo tu?

Huoni risasi nyingi zilipungua nguvu kwa kupiga mlango kwanza?

Ukilaza kiti na ukakilalia kifudifudi, mguu upi uatakuwa mlangoni we kilaza?

Mkatubu nyie watu!!

Kwanza hata kukujibu tunakosea,tunatakiwa tukuache na unafiki wako maana ukweli unaujua ili nafsi ndio inakutesa unaleta propaganda za kijinga na kipuuzi!!
 

Huu ni uchochezi...tuviachie vyombo vya dola
 
Wewe lazima utakuwa ni mchawi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…