Ni nani alitaka kumuua Tundu Lissu?
Uzi pumba.
Akili zako Kama mpira wa kiume unaovaliwa wakati wa kufanya zinaa,ulishajiuliza hata siku moja walinzi wa area D walikuwa wapi trh 7September 2017? Na aliyeamru wasiwepo lindoni siku hiyo kawajibishwa? Hujui kina madaktari na walimu wametumbuliwa kisa wametumia vyeti vya sekondari vya jamaa zao wakati Bashite anapeta TU nakunenepeana tu. Ulishawahi kuhoji haya?
 
Kupona kwa Lissu ilikuwa lazima maana ni yeye pekee alikuwa akiongea na kumpinga Jiwe hadharani, pamoja na kupelekwa mahakamani ila aliwashinds siku zote. Shetani alipotaka Lissu aondoke Mungu akasema hapana ngoja aishi ili wahusika wajue kuwa yupo Mungu
 
Nasikia waliohusika na shambulio hilo wanapukutika kweli, amebaki aliyetuma na kuwa escorts tu.
 
Uwezo wako ni mdogo kufikiri, pambana na hali yako usiniletee njaa zako mimi

Mimi si walevo yako nimeenda shule na nina kazi nzuri na wala sikuhitaji huduma ya HESLB kutimiza malengo yangu ok

But nilikuwa na pambana kuhakikisha watoto wa masikini kama wewe hapo mpate angalau udhamini wa HESLB ili mpate elimu mje mkomboe jamii yenu

Lakini kumbe ni ujinga tu mawazo yako hayana utofauti na mawazo ya mtoto aliye chini ya miaka 5 sasa kuna kupiga hatua Tanzania!!!??

Mkuu, Hao ni watoto wa matunda ya mbio za mwenge , ni kuwaacha tu
 
Paskal mayala najua una urafiki na wana CCM wengi washauri waajili vijana wenye Upeo kwa ajili ya kuwatetea CCM mitandaoni waachane na hao wavuta Bangi waliopo Gheto kwa Le mutuz na cyprian Musiba wanawatia Aibu kwa kuandika maneno ya ajabu ajabu yasiyo na maana.

Pascal amelewa makombo ya Lumumba bado dozi anayopewa haijamtoka
 
JF ni Jukwaa la kipekee Tz na lina watu wenye weledi mbalimbali.

Naomba mnisaidie kuelewa mambo yafuatayo:-
1. Picha ya gari lililopigwa risasi kumshambulia Tundu Lissu linaonesha risasi zimepigwa mlango wa kushoto.

2 Mguu ulioumia ni wa kulia..

3. Risasi zimepiga kioo, sasa ina maana Tundu Lissu aliinua mguu kwenye dirisha?

4. Yeye mwenyewe anasema alilaza kiti!! Hizi risasi zilipita wapi?

5. Dereva yupo wapi atusaidie hili.

Karibuni wataalamu tudadavue.

Queen Esther
 
Nafsi zinawasuta tu nyie!

Una uhakika risasi zilipiga kwenye kioo tu?

Huoni risasi nyingi zilipungua nguvu kwa kupiga mlango kwanza?

Ukilaza kiti na ukakilalia kifudifudi, mguu upi uatakuwa mlangoni we kilaza?

Mkatubu nyie watu!!

Kwanza hata kukujibu tunakosea,tunatakiwa tukuache na unafiki wako maana ukweli unaujua ili nafsi ndio inakutesa unaleta propaganda za kijinga na kipuuzi!!
 
JF ni Jukwaa la kipekee Tz na lina watu wenye weledi mbalimbali.

Naomba mnisaidie kuelewa mambo yafuatayo:-
1. Picha ya gari lililopigwa risasi kumshambulia Tundu Lissu linaonesha risasi zimepigwa mlango wa kushoto.

2 Mguu ulioumia ni wa kulia..

3. Risasi zimepiga kioo, sasa ina maana Tundu Lissu aliinua mguu kwenye dirisha?

4. Yeye mwenyewe anasema alilaza kiti!! Hizi risasi zilipita wapi?

5. Dereva yupo wapi atusaidie hili.

Karibuni wataalamu tudadavue.

Queen Esther

Huu ni uchochezi...tuviachie vyombo vya dola
 
Wewe lazima utakuwa ni mchawi!
 
Back
Top Bottom