Ni nani alitaka kumuua Tundu Lissu?
Nakushangaa kwamba hiyo dhana ya internal politics za cdm umeidharau na kuitupilia mbali, sielewi ni kwa malengo gani umefanya hivyo!
2020: Lissu vs Wenye chama. Amekiteka chama na kujijengea mazingira mazuri ya kuteuliwa 2020, wakati wenye chama nao wameshajipanga toka uchaguzi uliopita.
Anyway, umetimiza lengo lako na mwelekeo wako umejulikana.
 
Kazi yenu kusingizia serikari wakati wenyewe chadema wanatoleana macho urais 2020 na watauwana wenyewe harafu wanasingizia serikari

Sent using Jamii Forums mobile app
Chadema hakuna vita ya Urais 2020. Kwanza kati ya nani na nani??
Mbowe ni Mwenyekiti wa Chadema lakini Chaguzi mbili hakugombea, alimuachia Slaa na EL sababu hata yeye aliona sio dili sana
 
Viongozi wa ccm wamekufa kibiti lakin hamkusema ni serikar imewauwa ila leo lisu basi serikar inahusika

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kufikiri Ki-Lumumba Lumumba wewe,
Lissu hafanani na hao unaowataja kutoka kibiti.
katika Siasa za Tanzania, Lissu yuko Opposition side against Government. Je na hao Viongozi wa kibiti nao wako Opposition side against Government??
 
Ilipofikia Tanzania kwa sasa c sehemu salama kuishi kama ukiwa mpinzani ukitata kujua ukweli wa maneno haya jiulize kwa nini ni kipindi chake tu mh Pombe ndio kuna matukio ya kushambuliwa kwa viongozi mara mtu ameshikiwa Bastola had hadharani mara watu wanatekwa mara Lissu amepigwa bunduki mm nibaki palepale kwa mh Mbowe Kuwa waliofanya unyama huu ni serikali tu coz Hissu hana maadui nje ya siasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakushangaa kwamba hiyo dhana ya internal politics za cdm umeidharau na kuitupilia mbali, sielewi ni kwa malengo gani umefanya hivyo!
2020: Lissu vs Wenye chama. Amekiteka chama na kujijengea mazingira mazuri ya kuteuliwa 2020, wakati wenye chama nao wameshajipanga toka uchaguzi uliopita.
Anyway, umetimiza lengo lako na mwelekeo wako umejulikana.
Sidhani kama Lissu yupo kwenye ramani Za kugombea Urais sidhani Na sidhani kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaruka kojo unakanyaga kimba tena bichi la Leo leo kama huna facts kaa kimya tu kama sisi ebo
 
Mnajitahidi sana kutetea vya kutetea, Lakini ukweli halisi ni kuwa kila aliyesikia taarifa za kushambuliwa kwa Lissu anajua kabisa mhusika ni nani.

Hata wewe mleta uzi unajua mhusika but kwa vile ulishakunywa maji ya bikini yake ndo hivyo tena huwezi kumtaja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uchambuzi wako hauna maana kwani umeegemea upande Fulani.
 
Nakushangaa kwamba hiyo dhana ya internal politics za cdm umeidharau na kuitupilia mbali, sielewi ni kwa malengo gani umefanya hivyo!
2020: Lissu vs Wenye chama. Amekiteka chama na kujijengea mazingira mazuri ya kuteuliwa 2020, wakati wenye chama nao wameshajipanga toka uchaguzi uliopita.
Anyway, umetimiza lengo lako na mwelekeo wako umejulikana.
Hii dhana niliitaja in passing kwenye bandiko langu la kwanza. Wakati ule sikudhani kama CDM wanaweza kuwa wanyama kiasi hicho. Lakini kadri tunavyoendelea ndivyo ninavyoona uwezekano wake kama nilivyoeleza kwenye bandiko [HASHTAG]#641[/HASHTAG] na jingine hapo nyuma.

Haya yalikuwa mawazo yangu tu. Mimi sio forensic expert na nilitegemea wengine kama wewe kunikosoa na kutoa muelekeo mwengine.

Asante kwa mchango wako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasikia aliomba atengenezewe mazingira ili amuue lissu kwa mikono yake mwenyewe wasaidizi wakamwambia huna mafunzo ya gun utakosa shabaha akang'ang'ania wakaona wamwache afanye anavyoweza siku ya tukio ona alichofanya mirisasi yote ile ishirini na ushee ni risasi chache tu zimefanya kazi baada ya tukio akawa na kiwewe akashuka kwenye gari akaanza kukimbia kwa mguu
 
Swali la kwanza, Ni kwanini wauwaji walijiamini sana mpaka kutumia gari badala ya pikipiki.inaeleweka waharifu wengi hupenda kutumia pikipiki,kwani ni rahisi kupita njia zisizo rasmi kama vile vichochoroni na kuwapoteza kabisa watu wanaowafuatilia tofauti na gari ambalo hupita barabara kubwa tu.
Swali la pili,ni kwanini waharifu hawakukamatwa, kama unaijua dodoma ni mkoa ambao haujatawanjika sana,umbali wa kutoka area D ambako tukio lilitokea na polisi ni mdogo sana,kiasi kwamba ilikuwa rahisi kusikia milio ya risasi,ikumbukwe, wananchi wengi walisikia milio ya hiyo bunduki ya kivita,ukichukulia pia risasi zilikuwa 32.
Dodoma ina njia kuu tatu ambazo zingepigwa pini kuhakikisha hamna gari yoyote inaruhusiwa kutoka,haijalishi ni nissani au vids,kwani jamaa wanaweza kuwa walibadilisha gari na kutokomea wakati polisi wametoa macho kwenye nissani,Barabara hizo tatu ni barabara ya Dodoma-Dar, dodoma-Iringa na barabara ya Dodoma-Singida,karibu tujadili
 
Screenshot_2017-09-09-21-04-53.png
 
Pikipiki ni kwa dsm

Na pia tujiulize kuwa kwann muuaji alipiga risasi nyingi zikampata tano2 ambazo zimempata mguuni
Ninachoona mpigaji hakuwa proffettional killer
Maana proffettional killer lazima ajue pa kulenga

Kingine mji wa dodoma ni mkubwa
Udogo ni kwa jinsi unavyofikiria
Risasi zikipigwa hazisikiki kila sehem ya mkoa
 
Amlight umenichekesha. jana rafiki yangu nusura apewe talaka kwa kusema haamini serikali imemmiminia risasi Tundu.. Mimi mwenyewe siamini kabisa na wala sifichi hisia zangu. Umiminiaji wa risasi wa aina ile ni mtindo wa Zamadani. Serikali kama inania ya kumwondoa Lissu si kwa kumfatilia na gari mchana kweupe na kummiminia risasi! hivi masikio hayasikii na macho hayaoni? Lissu anaweza kuwa na maadui wengi tu kama wakili wa kujitegengemea. Mara ngapi tunasikia watu wanaua kwa vile wamenyimwa haki mahakamani? wameshindwa kesi "on technicalities ground"? sasa anayenyimwa haki akiwa na roho ndogo na stress ya ajabu anaweza kufanya nini? kuna scenario nyingi. Lakini No! No! No! hiyo sio kazi ya Serikali. Tuache kuipaka matope serikali jamani; Tumelogwa?
Nadhani walitaka kumiminia hadharani ili kutoa kitisho kwa wengine wanaojaribu kuhoji mwenendo wa serikali.
 
Nasikia aliomba atengenezewe mazingira ili amuue lissu kwa mikono yake mwenyewe wasaidizi wakamwambia huna mafunzo ya gun utakosa shabaha akang'ang'ania wakaona wamwache afanye anavyoweza siku ya tukio ona alichofanya mirisasi yote ile ishirini na ushee ni risasi chache tu zimefanya kazi baada ya tukio akawa na kiwewe akashuka kwenye gari akaanza kukimbia kwa mguu
Naona umebobea katika tamthilia mkuu. Anza kuandika vitabu. Unaweza kutumia titles hizi ukitaka:

1. High Noon in Area D
2. Sloppy Assassins
3. Niachieni, Nitampata Tu
4. Nitafanya, Bali Hela Yangu Iwe Tayari
5. ...........

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ivi kweli serikali inataka kumtoa jamaa inaweza mtumia killer amateur kiasi apige risasi 32 na za kuhit target zisizidi tano? Yan chini ya 16% tu ya risasi zote?

Hebu tuaminishen bwana!

Inamana tz hakuna masniper kbs?

Na makomandoo wote hao?

Mwngne hapo kasema FFU, haki hii ni aibu, FFU ndo hawana shabaha kiasi hicho?

Labda angesema ni mgambo!!

<> semper fi <>
 
Back
Top Bottom