Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chadema hakuna vita ya Urais 2020. Kwanza kati ya nani na nani??Kazi yenu kusingizia serikari wakati wenyewe chadema wanatoleana macho urais 2020 na watauwana wenyewe harafu wanasingizia serikari
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kufikiri Ki-Lumumba Lumumba wewe,Viongozi wa ccm wamekufa kibiti lakin hamkusema ni serikar imewauwa ila leo lisu basi serikar inahusika
Sent using Jamii Forums mobile app
Sidhani kama Lissu yupo kwenye ramani Za kugombea Urais sidhani Na sidhani kabisaNakushangaa kwamba hiyo dhana ya internal politics za cdm umeidharau na kuitupilia mbali, sielewi ni kwa malengo gani umefanya hivyo!
2020: Lissu vs Wenye chama. Amekiteka chama na kujijengea mazingira mazuri ya kuteuliwa 2020, wakati wenye chama nao wameshajipanga toka uchaguzi uliopita.
Anyway, umetimiza lengo lako na mwelekeo wako umejulikana.
Hii dhana niliitaja in passing kwenye bandiko langu la kwanza. Wakati ule sikudhani kama CDM wanaweza kuwa wanyama kiasi hicho. Lakini kadri tunavyoendelea ndivyo ninavyoona uwezekano wake kama nilivyoeleza kwenye bandiko [HASHTAG]#641[/HASHTAG] na jingine hapo nyuma.Nakushangaa kwamba hiyo dhana ya internal politics za cdm umeidharau na kuitupilia mbali, sielewi ni kwa malengo gani umefanya hivyo!
2020: Lissu vs Wenye chama. Amekiteka chama na kujijengea mazingira mazuri ya kuteuliwa 2020, wakati wenye chama nao wameshajipanga toka uchaguzi uliopita.
Anyway, umetimiza lengo lako na mwelekeo wako umejulikana.
Nadhani walitaka kumiminia hadharani ili kutoa kitisho kwa wengine wanaojaribu kuhoji mwenendo wa serikali.Amlight umenichekesha. jana rafiki yangu nusura apewe talaka kwa kusema haamini serikali imemmiminia risasi Tundu.. Mimi mwenyewe siamini kabisa na wala sifichi hisia zangu. Umiminiaji wa risasi wa aina ile ni mtindo wa Zamadani. Serikali kama inania ya kumwondoa Lissu si kwa kumfatilia na gari mchana kweupe na kummiminia risasi! hivi masikio hayasikii na macho hayaoni? Lissu anaweza kuwa na maadui wengi tu kama wakili wa kujitegengemea. Mara ngapi tunasikia watu wanaua kwa vile wamenyimwa haki mahakamani? wameshindwa kesi "on technicalities ground"? sasa anayenyimwa haki akiwa na roho ndogo na stress ya ajabu anaweza kufanya nini? kuna scenario nyingi. Lakini No! No! No! hiyo sio kazi ya Serikali. Tuache kuipaka matope serikali jamani; Tumelogwa?
Naona umebobea katika tamthilia mkuu. Anza kuandika vitabu. Unaweza kutumia titles hizi ukitaka:Nasikia aliomba atengenezewe mazingira ili amuue lissu kwa mikono yake mwenyewe wasaidizi wakamwambia huna mafunzo ya gun utakosa shabaha akang'ang'ania wakaona wamwache afanye anavyoweza siku ya tukio ona alichofanya mirisasi yote ile ishirini na ushee ni risasi chache tu zimefanya kazi baada ya tukio akawa na kiwewe akashuka kwenye gari akaanza kukimbia kwa mguu
Risasi za Damu Area DNaona umebobea katika tamthilia mkuu. Anza kuandika vitabu. Unaweza kutumia titles hizi ukitaka:
1. High Noon in Area D
2. Sloppy Assassins
3. Niachieni, Nitampata Tu
4. Nitafanya, Bali Hela Yangu Iwe Tayari
5. ...........
Sent using Jamii Forums mobile app