henry kisheke
Member
- Nov 2, 2016
- 98
- 52
Lissu aliwataja 2 wanaowatuma vijana wao kumuua ambao wametumia risasi 32 lkn malaika wakawa wanazizuia na sasa yuko hai
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Who is the 'unknown' old man!Hao watu wasiofahamika wanamahusiano makubwa sana na presidential race 2020 ndani ya chadema....haina ubishi lisu ameanza kumoverwhelm mamvi politically.hawezi kuwa salama.....the oldman knows who and how to play dirty
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi wasiojulikana kwa kuingia sehemu yenye ulinzi na kupiga risasi za kutosha then haooo mpka moroHao watu wasiofahamika wanamahusiano makubwa sana na presidential race 2020 ndani ya chadema....haina ubishi lisu ameanza kumoverwhelm mamvi politically.hawezi kuwa salama.....the oldman knows who and how to play dirty
Sent using Jamii Forums mobile app
Umoja wa Wanawake Tanzania, leo Mange ametufafanulia vizuri michele inayoongoza mikoa Tanzania
Km Nape mwenyewe hawezi amini huu upuuzi, ni wazi utapata wajinga wachache sana watakaokuamini.Ila watakaokuamini ni watu wa hovyo sana kuwekeza nguvu nyingi hivi.Kwa vile hao hao watu, kwa siku wanakuamini na kutakuamini km wiper inavyotembea. Kwa hili wana CCM mitaani wanakiri kuwa sasa imefikia pabaya hakuna haja tena ya uvyama.Hao watu wasiofahamika wanamahusiano makubwa sana na presidential race 2020 ndani ya chadema....haina ubishi lisu ameanza kumoverwhelm mamvi politically.hawezi kuwa salama.....the oldman knows who and how to play dirty
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kwanza tunaongelea jaribio la mauaji ya mh Tundu Lissu.Na yule aliyemuoneshea Nape bastora nae bila shaka ata kuwa muhuni aliyelenga kuichafua serikali,hata yule alimwaga risasi km njugu mbele ya malima nae bila shaka,aliyempiga bom mwangosi hata nae muhuni tu alitaka kuichafua serikali,hata waliomteka Roma,wakamwagia nanii tindikali,na alowasema Bashe bungeni nao wahuni tu wanataka kuichafua serikali,
Sent using Jamii Forums mobile app