laki si pesa.
JF-Expert Member
- Jul 14, 2015
- 10,003
- 9,755
ACACIA watakuwa wamehusika hapo sio serikali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapo sana Kama ulivyo wewe!!Huu utumbo ni wa kuku au wa ng'ombe? Kumbe bado kuna watu wajinga kiasi hiki
Habari ya Lissu iachiwe wapelelezi...kubuni huku hakusaidiiADUI WA ADUI YAKO NI RAFIKI YAKO
RAFIKI WA ADUI YAKO NI ADUI YAKO.
WAR OPPORTUNIST:
mdhuru/mchokoze/mchonganishe adui wa adui yako ili pindi wanapigana wewe ubaki kama msaidizi ili kuepuka madhara ya moja kwa moja na kufanikisha hitaji lako.
Mifano halisi:
sadam hussein v/s U.S.A. , USA ili kulinda maslahi yao (si ya Iraq) walifanikisha hilo na mpaka sasa no stability in Iraq.
Gadafi v/s U.S.A, USA ili kulinda maslahi yao (si ya libya) walifanikisha hilo kupitia kigezo cha demokrasia kupitia watu wa libya na mpaka sasa no stability in libya.
Vision:
Tanzania resources V/S Mataifa fulani (chini ya kivuli cha kampuni fulani ya uchimbaji madini)
Ili kulinda maslahi yao ( rasilimali zetu) wanaweza fanya yafuatayo:
Tutafakari kwa kina na tuchambue kwa kina ili kukwepa kuangukia sehemu isiyo sahihi kifikra dhidi ya kilichomtokea ndugu yetu lissu.
- Kuhakikisha kwanza wanavuruga ushirikiano wa kitaifa ili kupitia hapo watapata adui wa adui yao katika maslahi yao hivyo kuanzia hapo watamtumia adui wa adui yao kukamilisha kusudio lao wakiwa pembeni.
- Watatumia kila hila (hata kumwaga damu) ili kuhakikisha wanatengeneza chuki baina pande mbili hizo, katika namna ya kificho kisha kumuuliza si unaona walivyowabaya?
- Kauli pekee watu hawa fulani iliyofanikisha mission zao almost zote duniani ni kaneno DEMOKRASIA.
Mungu Ibariki Tanzania, Mungu Mbariki Rais wetu, Mungu mponye Tundu Antiphas Lissu.
Ni mtazamo wangu.
Kwamba Lisu ndiye adui?ADUI WA ADUI YAKO NI RAFIKI YAKO

Kaka hao watu wasiojulikana wanatapatapa tu huku wanasahau juzi tu mtu wao alisema atawashulikia huku njee kule bungeni spika awafukuzeHuu utumbo ni wa kuku au wa ng'ombe? Kumbe bado kuna watu wajinga kiasi hiki
Waandishi hata usiwalaumu maana nao wanaogopa kukutana na watu wasio julikanaNdiyo shida ya uongo unasahau juzi ulisema nini.
Kila ukija unakuja na mapya na wahandishi sijui ni kwa sababu ya kuhongwa wanashindwa kuhoji
hii ni moja ya kazi mhimu katika mhura huuu. kama hutaki hama inchKazi ni kuuwa wapinzani?
Wewe ni muongo na mchawi serikali ifanye Wewe uihusishe chademaHabari za jumapili, nadhani unaelewa siku kadhaa zilizopita mheshimiwa, mwanaharakati Tundu Antipas Lissu alishambuliwa na watu wasiojulikana ,
Lakin kutokana Na watu hao kutojulikana imesababisha kila mtu kuhisi vinginevyo, tunajua kazi ya upelelezi ni ya polis Na vyombo vya dola, lakin hiyo haimuondolei mtu wa kawaida kujiuliza baadhi ya maswali juu ya kitendo Cha unyama alichofanyiwa Mr Tundu lissu,
Wengine wamehisi kuna mkono wa wakubwa, rejea swali la mtatiro kwamba kwanini serikali ihusishwe Na tukio ilo,
Lakin kwa upande wa apili wa shilling. Kuna wenye hisia tofauti Na za wale ambao wamepelekea mtatiro kuuliza swali,
Wengine wanahisi za kwamba mnyukano ndani ya chama hasa ukielekea uchaguzi ndani ya CHADEMA husababisha madhara makubwa ,
Ikumbukwe sisemi kwamba ndo sababu ya lissu kushambuliwa la hasha Ila nakuuliza kwanini dhana hiyo ijengeke miongoni mwa watanzania Na wana CHADEMA?
Pitia maoni ya mtu mmoja mchambuzi maarufu aliandika haya kwenye page yake
"Mwaka 2009 ulikuwa uchaguzi ndani ya Chadema,lakini mwaka mmoja kabla, yaani July 2008 Chacha Zakayo Wangwe alifariki ktk ajali ya gari iliyogubikwa na utata mwingi.
Mwaka 2014 ulikuwa uchaguzi ndani ya Chadema,mwaka 2013 habari zilisambaa kuwa mmoja wa vijana wa Chadema (jina linajulikana) alituhumiwa hadharani kuwa akitumwa kumuwekea Sumu Zitto Kabwe.
Mwaka 2018 ni uchaguzi mkuu ndani ya Chadema, Septemba 2017 Tundu Lissu amepatwa na tukio la kupigwa risasi na watu wasiojulikana.
Haya matukio hayahusiani, ila yote yametokea mwaka mmoja kabla ya mwaka wa uchaguzi ndani ya Chadema. Inavyoonekana mwaka mmoja kabla ya uchaguzi huwa siyo mwaka mzuri sana kwa viongozi wa juu wa Chadema
[HASHTAG]#GetWellSoonTunduLissu[/HASHTAG] [HASHTAG]#LetUsAllPray4Lissu[/HASHTAG] "
Hii inaleta picha kuwa pia hata mnyukano ndani ya chama unahisiwa,
Samuel
Naomba unikumbushe swali lako kuhusu huu msamiati.1. Vichaa fulani tu. (Random act)
NA ILE INGINE
Bora umeniwahi. Huyo skat na lithread lake lirefu kumbe limejaa pumba za eti unganisha! Alivyovieleza havina uhusiano hata kidogo na tukio lile. Ccm hamna wajanja humo bali kuna waganga njaa na vibaka watoa roho. Mlisema cdm wanahusika na sasa wageni kutoka nje!Wewe ni mwehu hizo propaganda zako ni za kijuha na kishamba sana ni wajinga pekee wanaweza kuamini ujinga wako huu