Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mbowe ni tapeli wa siasa
Mti wenye matunda njomba.Unataka wahangaike na CHAUSTA??Tanzania inaelekea wapi kwanini kila matatizo yanaikumba chadema kwanini sio vyama vingine
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu tamaa ikishika mimba huzaa dhambi, na dhambi ikiisha kukomaa huzaa mauti......... Huyo mtu aliyefanya tukio lile siku zake zinahesabika, mark my words!!Huyu mtu aliyekaa na halmashauri yake ya kichwa kiaamua kuwa Tundu Lissu lazima auawe tena mchana kweupe kwa kupigwa Risasi zisizo na idadi, tutambue kuwa ni hatari sana kuliko ambavyo baadhi mnamchukulia.
Tusidhani kwamba huyo mtu hampendi Lissu peke yake hapa nchini au duniani. Jana alikuwa Lissu nadhani baada ya Lissu kutoweka ni Mimi au wewe.
Narudia tena huyu mtu ni hatari sana si kwa mwanaccm, cuf, ACT wazalendo wala chadema. Hakuna aliye salama
Tunaochukulia mzaha tukio hili tuendelee, but Time will tell