Leta picha zinazoonesha kulikua na cct na zipochomolewa.mbadanganyana tuJe ukizungumzia CCTV camera mlizochomoa pale kwenye nyumba ya waziri kalemani punde baada ya tukio??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leta picha zinazoonesha kulikua na cct na zipochomolewa.mbadanganyana tuJe ukizungumzia CCTV camera mlizochomoa pale kwenye nyumba ya waziri kalemani punde baada ya tukio??
Uchunguz gani mzeezilipiga kioo!!!, hiyo picha uliwezaje kuona zilipiga upande wa kulia?!? maana kioo lazima kivunjike na kusambaa kikiminiwa risasi hata 5tu, inawezekana kabisa alilaza kiti na akalalia ubavu. Acha polisi wafanye uchunguzi.
Nasikia alipigwa risasi zaidi ya 20. Hebu tuanzie hapo.JF ni Jukwaa la kipekee Tz na lina watu wenye weledi mbalimbali.
Naomba mnisaidie kuelewa mambo yafuatayo:-
1. Picha ya gari lililopigwa risasi kumshambulia Tundu Lissu linaonesha risasi zimepigwa mlango wa kushoto.
2 Mguu ulioumia ni wa kulia..
3. Risasi zimepiga kioo, sasa ina maana Tundu Lissu aliinua mguu kwenye dirisha?
4. Yeye mwenyewe anasema alilaza kiti!! Hizi risasi zilipita wapi?
5. Dereva yupo wapi atusaidie hili.
Karibuni wataalamu tudadavue.
Queen Esther
Dahh May your soul rest in peace Beautiful AquilinaYule binti wa NIT askari alipiga risasi juu angani lakini risasi ilipinda kona kali na kwenda kumuua binti aliyekua kwenye daladala. Sasa unashangaa nini hapo wakati risasi zenu zina uwezo wa kupinda kona.
JF ni Jukwaa la kipekee Tz na lina watu wenye weledi mbalimbali.
Naomba mnisaidie kuelewa mambo yafuatayo:-
1. Picha ya gari lililopigwa risasi kumshambulia Tundu Lissu linaonesha risasi zimepigwa mlango wa kushoto.
2 Mguu ulioumia ni wa kulia..
3. Risasi zimepiga kioo, sasa ina maana Tundu Lissu aliinua mguu kwenye dirisha?
4. Yeye mwenyewe anasema alilaza kiti!! Hizi risasi zilipita wapi?
5. Dereva yupo wapi atusaidie hili.
Karibuni wataalamu tudadavue.
Queen Esther
Mpiga propaganda mkuu wenu musiba yeye alisema Lissu alipigwa blankoo siyo risasi, sasa angepata ulemavu kwa blankoo.JF ni Jukwaa la kipekee Tz na lina watu wenye weledi mbalimbali.
Naomba mnisaidie kuelewa mambo yafuatayo:-
1. Picha ya gari lililopigwa risasi kumshambulia Tundu Lissu linaonesha risasi zimepigwa mlango wa kushoto.
2 Mguu ulioumia ni wa kulia..
3. Risasi zimepiga kioo, sasa ina maana Tundu Lissu aliinua mguu kwenye dirisha?
4. Yeye mwenyewe anasema alilaza kiti!! Hizi risasi zilipita wapi?
5. Dereva yupo wapi atusaidie hili.
Karibuni wataalamu tudadavue.
Queen Esther
Hujapata Bwana tuJF ni Jukwaa la kipekee Tz na lina watu wenye weledi mbalimbali.

Nazile za Dodoma hoteli raisi wa dsm anaonekana?ukizungumzia CCTV camera mlizochomoa pale kwenye nyumba ya waziri kalemani punde baada ya tukio??
Kwanza nianze kumpa pole TL kwa mkasa uliompata, na kumpa hongera kw kupigania uhai wake na haki zake na za wananchi akiwa kitandani hospitalini. Pole kwa familia kwa kuuguza.
Pili na declare mimi si mwanasiasa wa chama chochote cha siasa duniani.
Tatu, nimesoma habari mbalimbali kuhusu tukio la kupigwa risasi kwa TL na kuchelewa au kusuasua uchunguzi wa tukio hilo kwa huo uchunguzi upo kwa kumtaka dereva.
Swali ni je inawezekana dereva alihusika au anamjua mhusika wa tukio hilo? Kama la, je inawezekana aliyempiga TL risasi alikuwa alikuwa upande wa dereva, hususani kutoka dirishani dirisha kioo kikiwa wazi? Je inawezekana mpiga risasi alikuwepo ndani ya gari?
..katika matukio ya majaribio ya mauaji victim / mhanga ndiye shahidi anayeaminika kuliko wote.
..kwa hiyo ktk tukio hili mtu wa kumuamini kuliko wote ni mlengwa / mhanga Tundu Lissu.
..Na kuongezea mhanga au mlengwa huaminiwa zaidi kwasababu ktk mashahidi wote yeye ndiye mwenye maslahi makubwa zaidi ya ukweli kujulikana na haki kutendeka.
..Sasa ushahidi au kauli za Tundu Lissu mpaka sasa hivi ni hizi.
1. Jeshi la Polisi lifanye uchunguzi.
2. Wachunguzi toka nje ya nchi washirikishwe ili pasiwepo na mashaka ktk matokeo ya uchunguzi.
3. Ulinzi Area D uliondolewa siku ya tukio.
4. Jengo linaloangaliana na eneo aliposhambuliwa lilikuwa na cctv cameras.
5. Washambuliaji walikuwa vijana wawili na walitumia bunduki za kivita.
6. Risasi zilipigwa kutokea upande wa abiria alipokuwa amekaa Lissu.
7. Lissu pia ameeleza jinsi dereva wake alivyomuokoa.
Unashindwa nini kuuliza haya kwa polisi wa Tanzania badala yake unauliza raia humu JF? Hovyo kabisa.JF ni Jukwaa la kipekee Tz na lina watu wenye weledi mbalimbali.
Naomba mnisaidie kuelewa mambo yafuatayo:-
1. Picha ya gari lililopigwa risasi kumshambulia Tundu Lissu linaonesha risasi zimepigwa mlango wa kushoto.
2 Mguu ulioumia ni wa kulia..
3. Risasi zimepiga kioo, sasa ina maana Tundu Lissu aliinua mguu kwenye dirisha?
4. Yeye mwenyewe anasema alilaza kiti!! Hizi risasi zilipita wapi?
5. Dereva yupo wapi atusaidie hili.
Karibuni wataalamu tudadavue.
Queen Esther
JF ni Jukwaa la kipekee Tz na lina watu wenye weledi mbalimbali.
Naomba mnisaidie kuelewa mambo yafuatayo:-
1. Picha ya gari lililopigwa risasi kumshambulia Tundu Lissu linaonesha risasi zimepigwa mlango wa kushoto.
2 Mguu ulioumia ni wa kulia..
3. Risasi zimepiga kioo, sasa ina maana Tundu Lissu aliinua mguu kwenye dirisha?
4. Yeye mwenyewe anasema alilaza kiti!! Hizi risasi zilipita wapi?
5. Dereva yupo wapi atusaidie hili.
Karibuni wataalamu tudadavue.
Queen Esther
[/QUOTE
Ulidhani risasi hizo n kama zile unazopigwa weye kwenye kinyeleo na the so Cally mabeberu?
Dereva alisha eleza kwamba alimlaza kwenye kiti chake ndiyo maana mguu ule ulipata damage kubwa. Angelaza kiti chake lazima angepoteza maisha.