Ni nani alitaka kumuua Tundu Lissu?
zilipiga kioo!!!, hiyo picha uliwezaje kuona zilipiga upande wa kulia?!? maana kioo lazima kivunjike na kusambaa kikiminiwa risasi hata 5tu, inawezekana kabisa alilaza kiti na akalalia ubavu. Acha polisi wafanye uchunguzi.
Uchunguz gani mzee
Tangu lini ngedere akamchunguza nyani??
 
JF ni Jukwaa la kipekee Tz na lina watu wenye weledi mbalimbali.

Naomba mnisaidie kuelewa mambo yafuatayo:-
1. Picha ya gari lililopigwa risasi kumshambulia Tundu Lissu linaonesha risasi zimepigwa mlango wa kushoto.

2 Mguu ulioumia ni wa kulia..

3. Risasi zimepiga kioo, sasa ina maana Tundu Lissu aliinua mguu kwenye dirisha?

4. Yeye mwenyewe anasema alilaza kiti!! Hizi risasi zilipita wapi?

5. Dereva yupo wapi atusaidie hili.

Karibuni wataalamu tudadavue.

Queen Esther
Nasikia alipigwa risasi zaidi ya 20. Hebu tuanzie hapo.
 
Tumuogope Mungu....tujifunze

Mungu alisema NO Lissu u wont die today no matter what they do to u

Sifa na Utukufu kwa Mwamuzi wa mwisho wa Maisha yetu...
 
Yule binti wa NIT askari alipiga risasi juu angani lakini risasi ilipinda kona kali na kwenda kumuua binti aliyekua kwenye daladala. Sasa unashangaa nini hapo wakati risasi zenu zina uwezo wa kupinda kona.
Dahh May your soul rest in peace Beautiful Aquilina
U didnt deserve that
 
Hoja zako ni kichekesho vilevile kama za Waitara wakati akishangilia kununuliwa, au sijui ndio wewe. Hivi humo ndani ya gari alikuwa hawezi hata kusogea au kugeuka alipoona kuna hatari ? Hata Policcm wameshindwa cha kubumba mtaweza nyie.
JF ni Jukwaa la kipekee Tz na lina watu wenye weledi mbalimbali.

Naomba mnisaidie kuelewa mambo yafuatayo:-
1. Picha ya gari lililopigwa risasi kumshambulia Tundu Lissu linaonesha risasi zimepigwa mlango wa kushoto.

2 Mguu ulioumia ni wa kulia..

3. Risasi zimepiga kioo, sasa ina maana Tundu Lissu aliinua mguu kwenye dirisha?

4. Yeye mwenyewe anasema alilaza kiti!! Hizi risasi zilipita wapi?

5. Dereva yupo wapi atusaidie hili.

Karibuni wataalamu tudadavue.

Queen Esther
 
JF ni Jukwaa la kipekee Tz na lina watu wenye weledi mbalimbali.

Naomba mnisaidie kuelewa mambo yafuatayo:-
1. Picha ya gari lililopigwa risasi kumshambulia Tundu Lissu linaonesha risasi zimepigwa mlango wa kushoto.

2 Mguu ulioumia ni wa kulia..

3. Risasi zimepiga kioo, sasa ina maana Tundu Lissu aliinua mguu kwenye dirisha?

4. Yeye mwenyewe anasema alilaza kiti!! Hizi risasi zilipita wapi?

5. Dereva yupo wapi atusaidie hili.

Karibuni wataalamu tudadavue.

Queen Esther
Mpiga propaganda mkuu wenu musiba yeye alisema Lissu alipigwa blankoo siyo risasi, sasa angepata ulemavu kwa blankoo.
 
JF ni Jukwaa la kipekee Tz na lina watu wenye weledi mbalimbali.

Naomba mnisaidie kuelewa mambo yafuatayo:-
1. Picha ya gari lililopigwa risasi kumshambulia Tundu Lissu linaonesha risasi zimepigwa mlango wa kushoto.

2 Mguu ulioumia ni wa kulia..

3. Risasi zimepiga kioo, sasa ina maana Tundu Lissu aliinua mguu kwenye dirisha?

4. Yeye mwenyewe anasema alilaza kiti!! Hizi risasi zilipita wapi?

5. Dereva yupo wapi atusaidie hili.

Karibuni wataalamu tudadavue.

Queen Esther
Hujapata Bwana tu
 
Kwanza nianze kumpa pole TL kwa mkasa uliompata, na kumpa hongera kw kupigania uhai wake na haki zake na za wananchi akiwa kitandani hospitalini. Pole kwa familia kwa kuuguza.

Pili na declare mimi si mwanasiasa wa chama chochote cha siasa duniani.

Tatu, nimesoma habari mbalimbali kuhusu tukio la kupigwa risasi kwa TL na kuchelewa au kusuasua uchunguzi wa tukio hilo kwa huo uchunguzi upo kwa kumtaka dereva.

Maswali zaidi ni

1. Je inawezekana dereva alihusika au anamjua mhusika wa tukio hilo? Kama la,

2. Je inawezekana aliyempiga TL risasi alikuwa alikuwa upande wa dereva, hususani kutoka dirishani dirisha kioo kikiwa wazi?

3. Je inawezekana mpiga risasi alikuwepo ndani ya gari?
 
Kwanza nianze kumpa pole TL kwa mkasa uliompata, na kumpa hongera kw kupigania uhai wake na haki zake na za wananchi akiwa kitandani hospitalini. Pole kwa familia kwa kuuguza.

Pili na declare mimi si mwanasiasa wa chama chochote cha siasa duniani.

Tatu, nimesoma habari mbalimbali kuhusu tukio la kupigwa risasi kwa TL na kuchelewa au kusuasua uchunguzi wa tukio hilo kwa huo uchunguzi upo kwa kumtaka dereva.

Swali ni je inawezekana dereva alihusika au anamjua mhusika wa tukio hilo? Kama la, je inawezekana aliyempiga TL risasi alikuwa alikuwa upande wa dereva, hususani kutoka dirishani dirisha kioo kikiwa wazi? Je inawezekana mpiga risasi alikuwepo ndani ya gari?

..katika matukio ya majaribio ya mauaji victim / mhanga ndiye shahidi anayeaminika kuliko wote.

..kwa hiyo ktk tukio hili mtu wa kumuamini kuliko wote ni mlengwa / mhanga Tundu Lissu.

..Na kuongezea mhanga au mlengwa huaminiwa zaidi kwasababu ktk mashahidi wote yeye ndiye mwenye maslahi makubwa zaidi ya ukweli kujulikana na haki kutendeka.

..Sasa ushahidi au kauli za Tundu Lissu mpaka sasa hivi ni hizi.

1. Jeshi la Polisi lifanye uchunguzi.

2. Wachunguzi toka nje ya nchi washirikishwe ili pasiwepo na mashaka ktk matokeo ya uchunguzi.

3. Ulinzi Area D uliondolewa siku ya tukio.

4. Jengo linaloangaliana na eneo aliposhambuliwa lilikuwa na cctv cameras.

5. Washambuliaji walikuwa vijana wawili na walitumia bunduki za kivita.

6. Risasi zilipigwa kutokea upande wa abiria alipokuwa amekaa Lissu.

7. Lissu pia ameeleza jinsi dereva wake alivyomuokoa.
 
Nakubaliana na wewe, cha kuongeza ni kuwa dereva ni alibi wa victim. Hivyo alichokiona au kujua kita corroborate na maelezo ya victim.

Katika maswali yako 7, ongeza hayo yangu 3, jumla yatakua kumi, yote yanahitaji majibu.

Nani mwenye uhakika kuokolewa kwake na dereva kunampa dereva haki ya kuwa hahusiki na au hajui zaidi ya ambavyo Lissu anajua dereva anajua?

Kikulacho kinaweza kuwa nguoni mwako hivyo ni muhimu kwa Lissu kuwa open minded, na sisi kama jamii pia tuwe open minded, tusimkingie dereva kifua.
 
JF ni Jukwaa la kipekee Tz na lina watu wenye weledi mbalimbali.

Naomba mnisaidie kuelewa mambo yafuatayo:-
1. Picha ya gari lililopigwa risasi kumshambulia Tundu Lissu linaonesha risasi zimepigwa mlango wa kushoto.

2 Mguu ulioumia ni wa kulia..

3. Risasi zimepiga kioo, sasa ina maana Tundu Lissu aliinua mguu kwenye dirisha?

4. Yeye mwenyewe anasema alilaza kiti!! Hizi risasi zilipita wapi?

5. Dereva yupo wapi atusaidie hili.

Karibuni wataalamu tudadavue.

Queen Esther
Unashindwa nini kuuliza haya kwa polisi wa Tanzania badala yake unauliza raia humu JF? Hovyo kabisa.
 
Mleta thread, kwani nyie wakati mnammiminia risasi mazingila yalikuwaje kabla na baada ya tukio, Anyway nyie lengo lenu mli target mguu gani uumie??.
 
JF ni Jukwaa la kipekee Tz na lina watu wenye weledi mbalimbali.

Naomba mnisaidie kuelewa mambo yafuatayo:-
1. Picha ya gari lililopigwa risasi kumshambulia Tundu Lissu linaonesha risasi zimepigwa mlango wa kushoto.

2 Mguu ulioumia ni wa kulia..

3. Risasi zimepiga kioo, sasa ina maana Tundu Lissu aliinua mguu kwenye dirisha?

4. Yeye mwenyewe anasema alilaza kiti!! Hizi risasi zilipita wapi?

5. Dereva yupo wapi atusaidie hili.

Karibuni wataalamu tudadavue.

Queen Esther
[/QUOTE
Ulidhani risasi hizo n kama zile unazopigwa weye kwenye kinyeleo na the so Cally mabeberu?
 
Alimlaza kwenye kiti chake??duuh.Mimi nafikiri kama alipata muda wa kumlaza kwenye kiti basi alitakiwa atoke naye mlangoni eidha kwa kumvuta kuelekea chini!!halafu alimlazaje??Hivi gari za wabunge zina viti vya Ku roll up and down??hahahaaa!!yani unamlaza mwenzio (sijui kwa tekniki IPI)bado we we hupati hata kajeraha hata kidogo??
Dereva alisha eleza kwamba alimlaza kwenye kiti chake ndiyo maana mguu ule ulipata damage kubwa. Angelaza kiti chake lazima angepoteza maisha.
 
Back
Top Bottom