Ni nani huyu anayevujisha habari za Serikali yetu kule Canada?!

Mkulima ni mkulima na hili jambo la kudai kafanya jambo jema kwa awamu hii vinginevyo hili deni lingedumu miaka na miaka na watu kujinufaisha kwa namna moja au nyingine..ni bora hili lijulikane mpaka mwisho kuliko kuchezewa mwenye haki stahili apate na mwenye njia ya ujanja janja nae aumbuke.
 
Ulidhania ni sawa na wakulima wa korosho?
Mkulima ni nani,
Nani aliopo nyuma ya mkulima,
Nani aliyempa taarifa kama ndege yetu ipo kanada na itatoka na tarehe hiyo.
Ni wakati mzuri wa kushughulika nao.
WAKIWEKA UGOKO WEKA CHUMA!
 
Mkulima ni nani,
Nani aliopo nyuma ya mkulima,
Nani aliyempa taarifa kama ndege yetu ipo kanada na itatoka na tarehe hiyo.
Ni wakati mzuri wa kushughulika nao.
WAKIWEKA UGOKO WEKA CHUMA!

Dunia haina siri
 
Punguza mahaba Pascaly raisi hajawahi kumiliki ndege
 
Mchawi ni sisi wenyewe mambo ya kupenda sifa na kujitangaza hovyohovyo ndiko kunatuponza, kwani kwenye majukwaa ya mapokezi ya ndege huwa hatusemi ndege ngapi tumepokea na ngapi zinakuja tena kwa tarehe?
Hapo sasa.
 
P.Mayalla acha polojo,onyesha uzalendo wako kwa kuanza kuchangia ili ndege yetu tuikomboe,dawa ya deni ni kulipa,wewe unachangia sh.ngapi?
 
Ataumbuka tu muda si mrefu atakwenda ubalozi wa marekani na ulaya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…