Ni nani wa kujibu hoja za Tundu Lissu?

Setina na Chama cha Mapinduzi, Tanganyika na Zanzibar, in wasomi wengi na wenye weledi wa kujibu hoja za msomi TAML lkn hawana hoja za kisheria au kikatiba ndiyo maana ni lazima tu wabwajaje ili mama aendelee kuwatunza ktk nafasi zao.
Tulia Akson labda anaweza kujibu,

Yaezakuwa anajipanga,

Maana tuliambiwa Yeye ni mwalimu wa Lissu katika Sheria.
 
Porojo tupu
 
Mkuu Tuweke Siasa pembeni Tuzungumze uhalisia Hebu nikumbushe Ziara ya Waziri Mkuu wa Tanzania aliyofanya Unguja au Pemba..

Hebu nikumbushe Nione ukaguzi wa MIRADI YOYOTE Ulioko Zanzibar Uliofanywa na Waziri Mkuu wa JMT
 
Mkuu vyeti umeweka kabatini !!Umechagua kuwa Malaya wa Kisiasa iliupate UKUU WA WAWILAYA.Hili tu la kwako ni jibu tosha kuwa katiba yetu haiko sawa.
Hukutafuta Ubunge ilikuwatumikia Wananchi.Uliingia kwenye kinyanganilo ili ujulikane upewe cheo.

Onaa sasa Leo hii hata ulivyosomea pale UDSM hukumbuki hata kimoja ,Umechagua kuwa CHAWA NA MALAYA WA KISIASA ILI UISHI .
 
Ungeanzishwa mdahalo kuhusu Katiba na Muungano,

Upande wa Serikali akawepo Tulia Akson na AG, upinzani akawepo Lissu, wananchi wakaalikwa kuuliza maswali na mdahalo ukawa live,

Nchi ingepumua na kustawi Kwa muda mfupi.
 
kwani hizi hoja amezitoa akiwa wapi?
kwao UBELGIJI au TANZANIA
 
Huyu tundu lisu ni raia wa wapi?
TANZANIA au BELGIUM
 
Ungeanzishwa mdahalo kuhusu Katiba na Muungano,

Upande wa Serikali akawepo Tulia Akson na AG, upinzani akawepo Lissu, wananchi wakaalikwa kuuliza maswali na mdahalo ukawa live,

Nchi ingepumua na kustawi Kwa muda mfupi.
Nani atathubutu? Huu sio Muungano wa Wananchi ni Muungano wa viongozi wa Nchi tu.
 
hakuna hata mmoja, kwasababu hawana hoja na hawatakuja kuwa nazo milele. kakobe aliwahi kusema ni suala la muda tu Tanganyika kuzaliwa. kuna siku hawa wanaotuita chogo watakuja hapa kwa VISA.
 
Nawe huna HOJA,

Ikiwa waliomshambulia Kwa risasi hawajulikani Bado,

Unaamini kiusalama ni sawa kukaa humu?

Jikite kwenye mada🙏
Sasa amekuja kufanya nini huku Tanzania kama anahofia usalama wake
 
Nimeona Nape mnatokwa na mapovu Kwa kutoa maneno hata ambayo kama waziri hakutakiwa kuyatoza bungeni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…