Ni nani wa kujibu hoja za Tundu Lissu?

Ni nani wa kujibu hoja za Tundu Lissu?

Pinda aliwahi kuleta mjadala wa Zanzibar ni nchi au siyo nchi uliishia wapi?
 
Lissu hana hoja, ana porojo tu, eti anasema wamasai wameondolewa ngorongoro, kwani wanyaturu hawakuondolewa kupisha mgodi wa shanta mine, mbona hajawambia wagome dhahabu gao kuchotwa! Shenzi kabisa.

Eti katiba mpya ndo suluhu nani kamwambia hiyo ni jeans kuwa inakaribia kutatuka?
Yaani bora ungekaa kimya tu, nimekushangaa sana.
 
si busara kwa wenye mamlaka na kazi ya kutekeleza ilani ya uchaguzi kubabaika na mercenaries na puppets [emoji205]

the trap yourselves, but not the ruling government with duties and responsibilities of transforming the country to the next level of development [emoji205]

"The ruling government with duties and responsibilities of transforming the country to the next level of development"
Are you kidding dude?
 
Mkuu vyeti umeweka kabatini !!Umechagua kuwa Malaya wa Kisiasa iliupate UKUU WA WAWILAYA.Hili tu la kwako ni jibu tosha kuwa katiba yetu haiko sawa.
Hukutafuta Ubunge ilikuwatumikia Wananchi.Uliingia kwenye kinyanganilo ili ujulikane upewe cheo.

Onaa sasa Leo hii hata ulivyosomea pale UDSM hukumbuki hata kimoja ,Umechagua kuwa CHAWA NA MALAYA WA KISIASA ILI UISHI .
mihemko ni utumwa na ni mzigo mzito sana 🐒

katiba sio kitabu cha dini.
katiba inaweza kua na mapungufu, na hata kama yapo sio lazima wote tuyaone au tulazimishane kuibadili...

hata hivyo hata ukimwita mtu majina ya hovyo namna gani haibadili chochote popote, na ndio maana haiwezekani kufanya mdahalo na watu wa mihemko 🐒

Habari ya ukuu wa wilaya sijui ubunge sio issue sana, ile muhimu ni kusukuma ile kazi ya maana sana ya maendeleo kwa wanainchi 🐒
 
"The ruling government with duties and responsibilities of transforming the country to the next level of development"
Are you kidding dude?
and that is very serious activity of the govt in place 🐒
 
Salaam, Shalom.

Ni wiki sasa, Mwanasheria msomi Tundu Lissu ametoa HOJA nzito kuhusiana na Muungano wetu, bandari, na anatoa HOJA Kwa kutumia Katiba ya nchi iliyopo.

Cha kushangaza wanaibuka viongozi tena wenye hadhi ya juu kabisa na kumjibu TUNDU Lissu kiujumla jumla tu. Anauliza swali Kwa kunukuu Katiba ya nchi, lakini anajibiwa Kwa kauli nyepesi za kisiasa bila ushahidi wowote au nukuu yoyote kisheria, imekaaje hii?

Jamani, HOJA hujibiwa Kwa HOJA,

Angalau Serikali chini ya AG ingeitisha mdahalo wa wazi, Lissu akaalikwa na HOJA muhimu zikajadiliwa Kwa maslah ya Taifa Kwa uelewa wa umma wa wananchi.

Swali linabaki kuwa, huko serikalini hawapo watu wenye capacity ya kumjibu TUNDU Lissu Kwa HOJA?

Karibuni🙏
Kusikiliza speech na hoja za Tundu Lissu ni vizuri kwa afya ya akili yako..... Kaa mbali na matapeli ya CCM yanayojificha kwenye kichaka cha muungano fake.
 
Narudia tena!!Bila UCHAWA wewe hunauwezo wa kupata hela kwa kutumia akili na maarifa yako.Bila CCM na propaganda zake huwezi kuishi.Umechagua maisha ya KUWA MALAYA WA KISIASA kama namna ya kupata kipato.

Bila katiba mbovu ya nchi hii huwezi kuishi .Vyeti vyako kwasasa si kitu ,Elimu yako ya UDSM si kitu tena.
 
Kusikiliza speech na hoja za Tundu Lissu ni vizuri kwa afya ya akili yako..... Kaa mbali na matapeli ya CCM yanayojificha kwenye kichaka cha muungano fake.
Uitishwe mdahalo, Lisu na Team yake waje akiwemo Kabudi, Tulia na AG

Wananchi tumsikize na kuuliza maswali.
 
Lissu hana hoja, ana porojo tu, eti anasema wamasai wameondolewa ngorongoro, kwani wanyaturu hawakuondolewa kupisha mgodi wa shanta mine, mbona hajawambia wagome dhahabu gao kuchotwa! Shenzi kabisa.

Eti katiba mpya ndo suluhu nani kamwambia hiyo ni jeans kuwa inakaribia kutatuka?
Mkuu ungekuwa na akili japo kisoda tu ,ungejibu hoja za Muungano Kwa kuzingatia katiba tu .Tuna mtafuta CCM mwenye uwezo huo .Hatupo kwenye hoja za Ngorongoro, Hatupo kwenye hoja za Wanyaturu kwasasa.CHAWA WA MAMA JIBU HOJA .
 
🇹🇿 Huyo Hana hoja yoyote na ni mazuzu tuu wanamwona anaongea point kumbe kupayuka kote ni vapor tuu

🔹 Kwa makusudi anajua accord ya muungano wetu kuwa unique dunia nzima ei Neither federal nor unitary

🔹 Inajulikana kabisa na sababu zilitolewa kuwa hakuna kitu kinachoitwa Tanganyika kwa Sasa kwa sababu ili surrender all it's power kwenye muungano na ila dissolve lakini Zanzibar ili surrender some na ku retain some.
🔹 Ndio maana Zanzibar Wana sub katiba Yao, ndio maana Zanzibar Wana sub citizenship Yao. Lengo ilikuwa ni kutokana na udogo wake is dissolve Moja kwa Moja kwenye muungano

🔹 Hivyo vi hoja kuwa Kwa nini Wana vitbulisho vya ukaazi ni hoja dhaifu Sana kwani ni sawa sawa na ninyi mlivyo kwenye daftari la ukoo

🔹 Kitendo Cha baadhi ya mazuzu kuulazimisha au kuleta hoja kana kwamba hii ni purely unitary ni utaahira.

🔵 Haya ma federation na ma unitary mnayoyadoma duniani yalianzishwa na watu. Kwa nini msiwapongeze wazee wetu Nyerere na karume kwa kutunga muungano ambao ni unique na unauoumiza vichwa vya wasomali.duniani kote kuufanyia utafiti ? Kwa nini tusiwape u proffesa waasisi Hawa na kuwapa credit zao?

🔹 Wazazabari na wazanzibari na wazanzibari ni Watanzania. Watanzania bara ni Watanzania . Utake ni hivyo hivyo usitake ni hivyo hivyo
Astaghfirullah
 
hakuna swali wala hoja ya kujibiwa kutoka kwa kibaraka mropokaji 🐒

wenye kazi na majukumu mazito ya kuongoza na kutumikia wanainchi hakuna muda wa kubabaika na visivyo na maana 🐒
Kuongoza Taifa la makondoo nayo ni bonge la kazi?
 
"The ruling government with duties and responsibilities of transforming the country to the next level of development"
Are you kidding dude?
and that is very serious activity of the govt in place 🐒
 
Kuongoza Taifa la makondoo nayo ni bonge la kazi?
sio makomando tu hadi manyumbu na mihemko yao tuyaongoza, tunayakabili na kuyadhibiti vuzuri sana ili kusudi wanainchi wapate maendeleo endelevu 🐒
 
Narudia tena!!Bila UCHAWA wewe hunauwezo wa kupata hela kwa kutumia akili na maarifa yako.Bila CCM na propaganda zake huwezi kuishi.Umechagua maisha ya KUWA MALAYA WA KISIASA kama namna ya kupata kipato.

Bila katiba mbovu ya nchi hii huwezi kuishi .Vyeti vyako kwasasa si kitu ,Elimu yako ya UDSM si kitu tena.
wewe rudia ghadhabu zako kadiri uwezavyo, lakini ile muhimu zaid ni kwamba mercenaries na puppets wataendelea kukabiliwa na kudhibitiwa vilivyo, i ili wenye jukumu na wajibu wa kuwatumikia wanainchi wafanye kazi na majukumu yao kwa utulivu zaidi🐒
 
Salaam, Shalom.

Ni wiki sasa, Mwanasheria msomi Tundu Lissu ametoa HOJA nzito kuhusiana na Muungano wetu, bandari, na anatoa HOJA Kwa kutumia Katiba ya nchi iliyopo.

Cha kushangaza wanaibuka viongozi tena wenye hadhi ya juu kabisa na kumjibu TUNDU Lissu kiujumla jumla tu. Anauliza swali Kwa kunukuu Katiba ya nchi, lakini anajibiwa Kwa kauli nyepesi za kisiasa bila ushahidi wowote au nukuu yoyote kisheria, imekaaje hii?

Jamani, HOJA hujibiwa Kwa HOJA,

Angalau Serikali chini ya AG ingeitisha mdahalo wa wazi, Lissu akaalikwa na HOJA muhimu zikajadiliwa Kwa maslah ya Taifa Kwa uelewa wa umma wa wananchi.

Swali linabaki kuwa, huko serikalini hawapo watu wenye capacity ya kumjibu TUNDU Lissu Kwa HOJA?

Karibuni🙏
Waziri wa Habari nadhani ana majawabu kwani amenena hapo mjengoni! Nchi inaendeshwa kimkakati na sio kiKATIBA!!
 
Back
Top Bottom