Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 16,353
- 22,963
Hapa kwetu tatizo sera zinazotawala. U communist haujawahi kuiacha nchi yeyote duniani salama . Kama nadanganya nisutwe [emoji87][emoji120]Nature tu inakufanya unaisaliti nchi yako mkuu?mbona sababu zenu naona nyepesi sana?[emoji28]..kwan hapa Tz hakuna mikoa yeny nature?Lushoto?Arusha je?Iringa je?..Mbeya na Bukoba?
[emoji28][emoji28][emoji28]!
Tatizo watunga sera na sera zao za ki communistTanganyika the best
Duh!Binafsi ningependa Nchi ya Chato nikafanye tafiti kwanini watu wa nchi hiyo wana uwezo hafifu wa kufikiri.
Alafu kuna mtu aliniambia Uganda ni jiji la maraha mkuu .ni kweli?kuzidi dar?
Kama alisemea kampala sawa ila siijui dar ili niilinganishe nayo
Kutembelea dunia na kujua ilivyo siyo usaliti kwa nchi yako. Una mawazo ya kikale kabisa.
Ooh pole mpenzi nitakucheck yani plan haijawahi kutoka kichwani na nimepania sana nadhani ndio maana kunakuwa na obstacles,mambo yalipandiana lakini Nov Mungu jalia. Nitakupigia tuongee
Hiyo St Helen umepatia mnooooBrunei- fursa ni nyingi
Israel- sababu ya vita hawana time na mweusi unaweza fanya mambo yako vizuri
King dom of Lesotho- pametulia
New zealand-
El salvadol
st Helena island
Den mark
USA
Mayote- wanaongea kiswahili kuna fursa pia ni karbu na Mkoani kwetu, nachepuka tu nafika kijijini.
Kenya-Nairobi daah!
Eritrea- dah videmu bana
Botswana
Equqatorial guinea duuu!
Yemen- sababu ya vita
Habari wakuu
Mada hapo juu yahusika..Binafsi ukiacha Tanzania nchi zifuatazo napenda kuishi mazima
1.Canada,
Naipenda tuu kwa kuwa huwa sisikii matukio yoyote ya ubaguzi kuuana vurugu za kisiasa nk.Kiufupi napenda sana Canada hata uchumi uko stable
2.Australia
Hii nayo ina sifa kama za Canada lakini ina resources nyingi sana kuliko idadi ya watu na sijawahi sikia majanga yakiwemo Matetemeko
3.Malaysia
Hii naipenda tuu
4.Sweden
Hii ni nchi tulivu nzuri na tajiri,nikiishi huko na mimi ntakuwa tajiri
5.Ethiopia
Licha ya vurumai za ugumu wa maisha nchini Ethiopia naipenda kwa vile ina mademu wakali
6.Cape Verde
Hii nayo naipenda sababu ya watoto wakali yaani wale mulatoes au shombeshombe
Na wewe tupia nchi unazozipenda kuishi nje ya Tzn na sababu za kuzichagua.