Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,074
- 20,608
Shukran Sana ngoja nitaenda kucheck hapo huenda nikapata wifi dogo akipendezaπππHamna kitu, ni midosho iliyochangamka, I know the place. Kama unataka nguo kali OG mitumba grade A, nenda Kinondoni kabla hujafika mataa ya Morocco ukiwa unatokea Biafra kuna jamaa anajiita White Collection. Yupo karibu na Safari Automotive. Achana na hayo maduka yao ya midosho. Or jipange uingie WoolWorths.
How Old are you? Na umekuja mjini lini? Hakuna kitu OG kwa Vunja Bei. Ni fake zilizochamgamka.Mambo ya Jeans me sijui.
Nina T shirts nilichukua Kwa Vunja Bei ziko bado poa.
Nna Raba nilichukua kwake.. aisee sijajutia
Mnashindwa vipi kuwa mnaaguza nguo online kama hujui vipimo nenda Kwa fundi akupime Kisha vipimo ingia Alibaba tafuta supplier mtumie vipimo vya suruali yako uone kama hupati Suruali yako Kali Kwa be cheeee.
Hili swala ni la kisiasa.....kwamba kufua nguo ni taalumaπ€£π€£Jukwaa la siasa?? Seriously??
Nina Christmas 1.How Old are you? Na umekuja mjini lini? Hakuna kitu OG kwa Vunja Bei. Ni fake zilizochamgamka.
ππ Miss Natafuta alileta uzi humu. Alichoagiza vs kilichokujaβ¦ ni msalaLabda huko Kuna hii inaitwa kikuu nasikia ukiagiza night dress unaletewa shimiziπ€£π€£π€£π€£@depal
Lala unono.Nina Christmas 1.
Kwenye mazuri apewe. Mbona gauni za Frank hazikunibariki na nimesema? Why cha Vunja bei kilikuwa kizuri nisiseme?
Usiku Mwema.
Nizoee tu ππAlooo sikuwahi ku imagine kama upo na masikhara kiasi hicho[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
π€£π€£π€£Kunasehemu niliona wanajadili nilicheka had tumbo liliniuma π€£Wana hatar sanaππ Miss Natafuta alileta uzi humu. Alichoagiza vs kilichokujaβ¦ ni msala
Ni kweli hatuwez kumudu nguo og unafikiria ununue nguo laki mbili aisee ni ghali Kwa maisha tunayoishi wengiKiukweli sisi tusio na pesa bongo hii tunateseka sana πππ
Mtu unalazimika kuwa na minguo mingiiiiii kisa ni midosho, Wakati ukiwa na nguo og, chache tu zinatosha kabisa. Kwa sisi tusiopenda mivitu mingi, ila bongo kwetu unalazimika kuwa na matakataka kibao.
Angalau handbags, ninazo mbili tu.. za kazini gray na nyeusi, Mashallah ni nzuri, unique na zina ubora wa hali ya juu.
Nguo huwa nazitamani sana anazouza mbuko, ila pesa sasa! Gauni laki 2 weee!
Watu hawajui kuagiza vitu online that's all. Hata Amazon kama hujui kuagiza utaletewa kitu sio.Labda huko Kuna hii inaitwa kikuu nasikia ukiagiza night dress unaletewa shimizi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]@depal
Tujadili hio gari kwanza achana na hizo jeans.Watu hawajui kuagiza vitu online that's all. Hata Amazon kama hujui kuagiza utaletewa kitu sio.
Nimewahi kuona MTU kaona cover la simu akajua ni simu na akaagiza Kwasababu aliona ni Dola 1. Tujifunze vitu.
Kwa mfano hizi surual China ni Dola 1.4 Sawa na kama shilingi 3000. Ambapo bongo huuzwa si chini ya 40,000.
Kuna hizo bwanga za WAnawake china ni Dola 0.9 kama 1,500 tsh.
Watanzania tuko nyumA Sana badala bando mtumie kujikwamua Kwa mambo kama haya KAZI kushhinda Instagram kusoma umbea. Endeleeni kupigwa na wakina vunja bei. View attachment 2597537View attachment 2597538View attachment 2597543View attachment 2597544View attachment 2597545
Kitu hata kikiwa Fake kama hukivai mara kwa mara hakiwezi pauka wala kuharibika.Mambo ya Jeans me sijui.
Nina T shirts nilichukua Kwa Vunja Bei ziko bado poa.
Nna Raba nilichukua kwake.. aisee sijajutia
Pale woolworth zipo mpaka za 500k, hata wakisema wana discount 50% kaa mbali, usiende.Jeans ya 54k bado ni mdosho hiy 100k kwenda juu angalau kwa Dukani utapata OG