Ni njia ipi nzuri ya kufua Nguo ili zidumu na ubora wake kwa muda mrefu bila kufifia rangi/kuchuja?

Ni njia ipi nzuri ya kufua Nguo ili zidumu na ubora wake kwa muda mrefu bila kufifia rangi/kuchuja?

Mnashindwa vipi kuwa mnaaguza nguo online kama hujui vipimo nenda Kwa fundi akupime Kisha vipimo ingia Alibaba tafuta supplier mtumie vipimo vya suruali yako uone kama hupati Suruali yako Kali Kwa be cheeee.
 
Hamna kitu, ni midosho iliyochangamka, I know the place. Kama unataka nguo kali OG mitumba grade A, nenda Kinondoni kabla hujafika mataa ya Morocco ukiwa unatokea Biafra kuna jamaa anajiita White Collection. Yupo karibu na Safari Automotive. Achana na hayo maduka yao ya midosho. Or jipange uingie WoolWorths.
Shukran Sana ngoja nitaenda kucheck hapo huenda nikapata wifi dogo akipendeza😀😀😀
 
Kuvaa pia ni exposure na art. kama huna hivyo vitu hata upewe Milioni kumi ya shopping utaishia kununua midosho tu. 🤣
 
Mambo ya Jeans me sijui.

Nina T shirts nilichukua Kwa Vunja Bei ziko bado poa.
Nna Raba nilichukua kwake.. aisee sijajutia
How Old are you? Na umekuja mjini lini? Hakuna kitu OG kwa Vunja Bei. Ni fake zilizochamgamka.
 
Labda huko Kuna hii inaitwa kikuu nasikia ukiagiza night dress unaletewa shimizi🤣🤣🤣🤣@depal
Mnashindwa vipi kuwa mnaaguza nguo online kama hujui vipimo nenda Kwa fundi akupime Kisha vipimo ingia Alibaba tafuta supplier mtumie vipimo vya suruali yako uone kama hupati Suruali yako Kali Kwa be cheeee.
 
How Old are you? Na umekuja mjini lini? Hakuna kitu OG kwa Vunja Bei. Ni fake zilizochamgamka.
Nina Christmas 1.

Kwenye mazuri apewe. Mbona gauni za Frank hazikunibariki na nimesema? Why cha Vunja bei kilikuwa kizuri nisiseme?

Usiku Mwema.
 
Kiukweli sisi tusio na pesa bongo hii tunateseka sana 😂😂😂

Mtu unalazimika kuwa na minguo mingiiiiii kisa ni midosho, Wakati ukiwa na nguo og, chache tu zinatosha kabisa. Kwa sisi tusiopenda mivitu mingi, ila bongo kwetu unalazimika kuwa na matakataka kibao.

Angalau handbags, ninazo mbili tu.. za kazini gray na nyeusi, Mashallah ni nzuri, unique na zina ubora wa hali ya juu.

Nguo huwa nazitamani sana anazouza mbuko, ila pesa sasa! Gauni laki 2 weee!
 
😂😂 Miss Natafuta alileta uzi humu. Alichoagiza vs kilichokuja… ni msala
🤣🤣🤣Kunasehemu niliona wanajadili nilicheka had tumbo liliniuma 🤣Wana hatar sana
 
Kiukweli sisi tusio na pesa bongo hii tunateseka sana 😂😂😂

Mtu unalazimika kuwa na minguo mingiiiiii kisa ni midosho, Wakati ukiwa na nguo og, chache tu zinatosha kabisa. Kwa sisi tusiopenda mivitu mingi, ila bongo kwetu unalazimika kuwa na matakataka kibao.

Angalau handbags, ninazo mbili tu.. za kazini gray na nyeusi, Mashallah ni nzuri, unique na zina ubora wa hali ya juu.

Nguo huwa nazitamani sana anazouza mbuko, ila pesa sasa! Gauni laki 2 weee!
Ni kweli hatuwez kumudu nguo og unafikiria ununue nguo laki mbili aisee ni ghali Kwa maisha tunayoishi wengi
 
Labda huko Kuna hii inaitwa kikuu nasikia ukiagiza night dress unaletewa shimizi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]@depal
Watu hawajui kuagiza vitu online that's all. Hata Amazon kama hujui kuagiza utaletewa kitu sio.

Nimewahi kuona MTU kaona cover la simu akajua ni simu na akaagiza Kwasababu aliona ni Dola 1. Tujifunze vitu.

Kwa mfano hizi surual China ni Dola 1.4 Sawa na kama shilingi 3000. Ambapo bongo huuzwa si chini ya 40,000.

Kuna hizo bwanga za WAnawake china ni Dola 0.9 kama 1,500 tsh.

Watanzania tuko nyumA Sana badala bando mtumie kujikwamua Kwa mambo kama haya KAZI kushhinda Instagram kusoma umbea. Endeleeni kupigwa na wakina vunja bei.
1682280185795.jpg
1682280179899.jpg
1682280583700.jpg
1682280548716.jpg
1682280490610.jpg
 
Attachments

  • 20230423_222721.jpg
    20230423_222721.jpg
    94.4 KB · Views: 22
  • 1682280185795.jpg
    1682280185795.jpg
    45.2 KB · Views: 23
Hizi jeans sio za kukamua ukifua anika ivyo ivyo afu siku izi wana zirudia rangi mfano mlango mmoja mwanza ukienda na jeans yako ilio pauka wana iloweka kwenye rangi ina rudi Black .pia kama ni mpya ifulie maji ya chumvi first time ita kua aivuji rangi sana
 
Watu hawajui kuagiza vitu online that's all. Hata Amazon kama hujui kuagiza utaletewa kitu sio.

Nimewahi kuona MTU kaona cover la simu akajua ni simu na akaagiza Kwasababu aliona ni Dola 1. Tujifunze vitu.

Kwa mfano hizi surual China ni Dola 1.4 Sawa na kama shilingi 3000. Ambapo bongo huuzwa si chini ya 40,000.

Kuna hizo bwanga za WAnawake china ni Dola 0.9 kama 1,500 tsh.

Watanzania tuko nyumA Sana badala bando mtumie kujikwamua Kwa mambo kama haya KAZI kushhinda Instagram kusoma umbea. Endeleeni kupigwa na wakina vunja bei. View attachment 2597537View attachment 2597538View attachment 2597543View attachment 2597544View attachment 2597545
Tujadili hio gari kwanza achana na hizo jeans.
 
Hata Kama ndio utupostie kwenye jukwaa la siasa
 
Mambo ya Jeans me sijui.

Nina T shirts nilichukua Kwa Vunja Bei ziko bado poa.
Nna Raba nilichukua kwake.. aisee sijajutia
Kitu hata kikiwa Fake kama hukivai mara kwa mara hakiwezi pauka wala kuharibika.
Raba kwa Fred ni lonya, lakini huwezi gundua kama huiburuzi daily.
 
Back
Top Bottom