Ni sababu zipi zinazofanya kupotea kwa Ben Rabiu Saanane lionekane ni jambo dogo mbele ya vyombo vya dola?

Kubenea alimwagiwa tindikali na timu ya Mzee mammvi kutokana na alivyokuwa anamuandika hovyo EL kwenye magazeti yake. Baada ya maongezi EL alamlipia matibabu India na hajawahi hata kufungua mashtaka. Kubenea ni malaya wa siasa siyo wa kumuamini
 
Kama ndivyo kwanini MAKONDA hajapelekwa mbele ya sheria!?

Hii inaonesha wazi kwamba swali la mleta mada halitapata jibu kwa sababu muuaji (CCM)bado yuko kwenye hatamu.
Jinai haiozi wala haizeeki. Ni suala la muda tu, yaweza kuwa 2025 au 2030. Kitakachomuokoa Makonda kupanda kwa Pilato ni kifo tu
 
Tumuulize bwana JF maximo nusu wachezee kende ndio maana moderator wake maswala ya ccm na serikali wanaogopa
 
Bu= Buchweshwaija
Md= Mdoe
 

Huyu Ben alijichanganya, ndiyo maana hakuna mtu ambaye ana habari naye. Yeye badala la kufuatilia mambo yanayohusu ustawi wa moja kwa moja wa wananchi, yeye anaanza kupamba na mambo binafsi. Halafu mwenye mamlaka makubwa. Hilo liwe somo kwa vijana, never fight with your government and top leaders. Those are institutions. It's very likely to lose your everything.
Isitoshe kati ya Ben na JPM nani alikuwa smart upstairs. Huyo Ben wengine tulianza kumsikia baada ya kutoweka. Alikuwa hafahamiki.
 

Kwa kichwa kile kupata PhD ilikuwa ni kitu rahisi sana. The guy was so smart, mnyongenlkn haki yake mpeni. Alikuwa na analytical skills ya hali ya juu.
Huyu Ben alikosa utambuzi, alikubali kutumika na matokeo yakawa hivyo.
Pia ukiangalia hata uwezo wake wa kufikiri unatia mashaka, maana hata elimu yake ni ya kuunga unga kama ilivyo kwa wanahabari walio wengi.
 
Same here
Kiliniumiza sana sana, Kuna mtu ana ID Fulani sijui yohana sijui tumaini yupo humu alichowahi kumwambia na kikatokea

Angekuwa na utambuzi angeacha kumfuatilia mkuu wa nchi. Mkuu wa nchi ni taasisi siyo kama unavyomuona. Epuka siku zote kuingia mgogoro na taasisi hiyo. Itakuwa hatari sana kwako.
 

Wale wote walikuwa wana personalise vitu. Wanamnyookea moja kwa moja rais, kitu ambacho ni hatari.
 
Ungemfahamu vipi Ben wakati muda huo ulikuwa bado unatumwa na mama yako ukatwange karanga kwenye kinu cha jirani yenu.
 
Ngoja nikampekue yaani doh[emoji24][emoji24][emoji24]
Maumivu ni maumivu kwakweli

Mngemshauri Ben kuwa usipingane na taasisi naye angewasikia. Haya yote yasingetokea. Kwani waswahili husema mwenye hekima akiona hatari anajificha, mpumbavu anaendelea na kuumia. Huo ndiyo ukweli, hata wanao washauri hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…