Ni sababu zipi zinazofanya kupotea kwa Ben Rabiu Saanane lionekane ni jambo dogo mbele ya vyombo vya dola?

Kama ipo hivyo Bas ni kufeli KWA system ya elimu nchini na sio jpm wala hao ma profesa!!

Kama system unaruhusu vipi eti kuhitimu elimu ya chuo kuwe chini ya mamlaka ya mtu au kikundi cha watu wachache!!
 

Ccm imeshatoka huko kwenye chama cha siasa kwa sasa ni genge la wahuni na mafisadi linalolinda maslahi yake.
 
Well said!
Mwisho wa siku JPM ndio mwenye mchango zaidi kwa Taifa, kuliko huyo kifaranga mnachokililia daily!

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Ufikie muda Sasa huu ugomvi tuwaachie wenyewe Ben na JPM huko waliko!

Ben Kama ana hasira aombe pambano wazichape hukohuko!
Na naamini Ben atapigwa KO round ya kwanza tu

Yule Bwana Ni jiwe kwelikweli!

Na alishasema yeye hachezewi!

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Ben saa nane,aulizwe mbowe yeye ndie anafahamu mahari alipo,kwa sababu siku ya mwisho kupotea kwa Ben,alikuwa ameitwa na mbowe.na walionana.
 
Shida nyie hamjui nn maana ya masrahi ya nchi,hata wewe ungefanya hivyo,tena kwa kombe walichelewa sana kulingana na kiapo chake imran kombe.
 
Kwa nn makonda umemtaja moja kwa moja,lkn kwa nn hawa wengine umeshindwa kuwataja?!, na kama wewe unajua Ben alikamatwa na nani na kwa kuongozwa na nani,na akapelekwa wapi ,kwa nn bado Ben mnamtafuta wakati kila kitu mnajua?!,
 
Jiwe alikuwa hana akili...
Kiongozi wa hovyo kutokea...
Anadanganya watu eti mzalendo na kuchukia ufisadi huku yeye akiwaibia wafanyabiashara...

Kama alikuwa jiwe kweli kweli mbona walimchezea akasepa?
 
Na huo ndio ukweli.lkn pia kuna majinga furani yalikosa vitu vingi kipindi cha utawala wa kpm,hivyo yana hasira mpk leo.hayo ndio yanatunga huzi stori za kusadikika.
 
Shida kubwa ni ile miwani iliyovaa,inakuzuia kuuona ukweli,lkn pia uwezo wako wa kuchambua hoja na kutafakari ni mdogo,ndio maana unakuja na hoja mfu, ni sawa na leo kusema chacha wangwe aliuwawa na mbowe bira ushahidi wowote,utakuwa ni upumbavu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…