eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 17,214
- 15,853
Ungemfahamu vipi Ben wakati muda huo ulikuwa bado unatumwa na mama yako ukatwange karanga kwenye kinu cha jirani yenu.
Hii ndiyo aina ya washauri wa Ben, kilichomkuta mwenye utambuzi yeyote hawezi kushangaa.