Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Mtoto ananiwazisha sana
Nina hakika huyu mtoto anaingia kwenye maisha magumu sana
Baba mtoto mwenyewe ni Playerboy asiye na uelekeo wa kutunza mtoto
Baba yake yupo Huko Kusini dereva wa Daladala kazalisha sana wanawake hukoKwenye Hii Dunia hautakiwi kuwa na huruma, hasa ukiwa Mwanaume.
Hasa huruma za kijingajinga.
Huyo mtoto anaweza asipitie hayo Maisha magumu unayoyasema,
Muache yeye na Baba yake
Ada ya mwaka sio.mweziBaba yake yupo Huko Kusini dereva wa Daladala kazalisha sana wanawake huko
Dogo day care nimelipia 2m ada ya mwezi sijui maisha yake yatakuwaje
Mama mtu naye n mzigo tu kila unachomwanziashia kufanya kinakufa
Daycare gani ADA 2Mil kwa mwezi?Baba yake yupo Huko Kusini dereva wa Daladala kazalisha sana wanawake huko
Dogo day care nimelipia 2m ada ya mwezi sijui maisha yake yatakuwaje
Mama mtu naye n mzigo tu kila unachomwanziashia kufanya kinakufa
Baba yake yupo Huko Kusini dereva wa Daladala kazalisha sana wanawake huko
Dogo day care nimelipia 2m ada ya mwezi sijui maisha yake yatakuwaje
Mama mtu naye n mzigo tu kila unachomwanziashia kufanya kinakufa
Pole sana ni heri umkute nwanamke ana mimba au ana mtoto tayali unajua moja kwa moja huyu sio wangu lkn hiyo kwako ni changamoto sana , mwanamke anaweza kuchepuka na asipate mimba, na anaweza pata mimba nje ya ndoa ila yeye asijue hii mimba nimepata nje ya ndoa,Nimegundua wife alichepuka akabeba mimba na kujifungua mtoto hafanani na mm baba yake wala mama yake
Hapa nimekaa na mtoto hadi miaka miwili imefika
Nipo njia panda nimuache wife na mtoto au niendelee kuishi nao!?
Sasa wewe ulitaka akubali umuacheKinachonipa changamoto ya kuwaza sana n kuwa wife licha ya kupata ushahidi wote hadi wa maabara bado anakataa
Una akili ndogo sana ndo mana huyo mkeo kachepukaHofu yangu
Mwenye mtoto akija kudai
Utafutaji tu Mkuu nalazimika Kumar japo siku moja au mbili kwa wiki nafkr fursa olipatikana hapoUna akili ndogo sana ndo mana huyo mkeo kachepuka
Na ukasameheLazma ushtuke maana mtoto wa kwanza nafanana nae iweje huyu hata mama ake hamfanani,pili nilimnunua smartphone nikamuweke callrecoder faili nikalificha,baada ya week mbili nikajua mpaka jamaa anaongea na kuhusu mtoto wake na mpaka mama mkwe alishaambiwa.
Sikuwa na mpango wa kucomment,ila baada ya ww kuandika huu utopolo, nimelazimika kucomment.Mtoto ananiwazisha sana
Nina hakika huyu mtoto anaingia kwenye maisha magumu sana
Baba mtoto mwenyewe ni Playerboy asiye na uelekeo wa kutunza mtoto
Kwani mwanamke ni huyo tuUtafutaji tu Mkuu nalazimika Kumar japo siku moja au mbili kwa wiki nafkr fursa olipatikana hapo
Japo umetumia lugha kali lakini nimekuelewa kaka asante sanaSikuwa na mpango wa kucomment,ila baada ya ww kuandika huu utopolo, nimelazimika kucomment.
Unalalamika mtoto sio wako, at the same time unamuonea huruma as if ni yatima wakati baba na mama yake wapo.
Kitu kingine cha kijinga ulichoandika, eti baba wa mtoto ni playboy hawezi mtunza mtoto, hivi akili yako inafikiria sawa sawa au ndio upo under depression? Kwavile baba wa mtoto hana uwezo wa kutunza mtoto, vipi akitaka mtoto wa pili, upo tayari aje azae tena na mkeo, ili ww mwenye uwezo wa kutunza umtunze?
Situation kama hizo, solution huwa ni mbili tu, either upige chini mama na mtoto, au ukubali kuendelea nao. Na ukishachagua moja, basi kula buyu, life lisonge, hakuna kugeuka nyuma.
Comments zako inafikia hatua badala ya kukuonea huruma, zinatukera.