Ni sahihi kuendelea kulea mtoto wa kusingiziwa?

Kinachonipa changamoto ya kuwaza sana n kuwa wife licha ya kupata ushahidi wote hadi wa maabara bado anakataa
Muache hafai huyo. Ila ingekuwa mie nimgefanya juu chini nimjue huyo jamaa aliemzalisha then ningejua cha kufanya ikiwemo na mie kutumia gharama yoyote mpaka nitembee na mke wake na ikiwezekana nimzalishe pia au na mengineyo.
 
Japo umetumia lugha kali lakini nimekuelewa kaka asante sana

Depression inanitesa kwa sasa
Pole kwa hiyo depression, ila so far mpaka sasa hiyo depression uliyonayo ni kama vile umejitengenezea mwenyewe. Unaanzaje kumuonea huruma mwanaume mwingine kwamba hana uwezo wa kutunza mtoto wake? Tena kibaya zaidi huyo mtoto amezaa na mkeo.

Hivi unajua alitumia nguvu kiasi gani hela kiasi gani kumuhonga mkeo ili amkubalie? Unajua walienda guest ya shiling ngapi? Vuta picha alivyokuwa kamkunja huyo unayemuita mke wako. Alaf Bado unamuonea huruma?

Depression yako ilifaa itokane na mawazo ya kugongewa mke, kulea damu isiyoyako, lakini sio kuongea huruma huyo playboy.

Piga chini huyo mwanamke mkuu. Kama ameweza kuibishia hadi DNA, unaexpect nini mbeleni?
 
Mtoto ananiwazisha sana

Nina hakika huyu mtoto anaingia kwenye maisha magumu sana

Baba mtoto mwenyewe ni Playerboy asiye na uelekeo wa kutunza mtoto
Wewe una akili timamu kweli? Anakuwazisha kwani ni mtoto wako? Unanitia hasira asee!
Na kuna swali unalikwepa hadi sasa hivi..... huyo mke una watoto nae wangapi?
 
Huyu ni kumuacha ateseke watu kama huyu mtoa mada ndo huwa wanajinyonga
 
Wewe una akili timamu kweli? Anakuwazisha kwani ni mtoto wako? Unanitia hasira asee!
Na kuna swali unalikwepa hadi sasa hivi..... huyo mke una watoto nae wangapi?
Atakuwa hanidhi hazalishi
 
Baba yake yupo Huko Kusini dereva wa Daladala kazalisha sana wanawake huko

Dogo day care nimelipia 2m ada ya mwezi sijui maisha yake yatakuwaje

Mama mtu naye n mzigo tu kila unachomwanziashia kufanya kinakufa
Kinakufa sababu inaonekana anahonga tu huyo mkeo, asee mkuu natamani ungekuwa karibu yangu nipige hata risasi mbili karibu na maskio yako labda ubongo wako utaamka.
 
Nimegundua wife alichepuka akabeba mimba na kujifungua mtoto hafanani na mm baba yake wala mama yake

Hapa nimekaa na mtoto hadi miaka miwili imefika

Nipo njia panda nimuache wife na mtoto au niendelee kuishi nao!?
Dunia bado inaendelea kushuhudia wanaume mabwege wa kiwango cha juu sana.
 
Mie kanitia hasira sanaa, tena akiendelea na ujinga wake atazidi kuzalishiwa mke wake na hata akioa mwingine anaweza kuzalishwa na wahuni.
 
Kwa mwanaume Rijali ni ngumu kuishi na mke aliyekubambikia mtoto ila kama mwaume huna uwezo wa kupata mtoto utaweza kuishi na huyo mtoto kama mtoto.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Kinachonipa changamoto ya kuwaza sana n kuwa wife licha ya kupata ushahidi wote hadi wa maabara bado anakataa
Mke wako amekujua wewe ni mpole siyo mtata wanawake wana akili sana wanajua kumsoma mwanaume roho yake na matendo naamini ungekuwa mkorofi siku ulivyo sema unataka kwenda kupina DNA ya mtoto naamini angeondoka kwenda kwao

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Baba mtoto boda boda je?

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Kuna ID niliisoma jana eti wanawake wanaongozwa kwa kupigwa matukioktk mahusiano,, aje akae hapa asome visa vya wanaume kupigwa matukio haipiti wiki humu pasipo wanaume 2-3 kuja na vilio vya maumivu,,

Ushauri wangu ni ule ule ishini nasi kwa akili kinyume na hapo mtaendelea kulia sana mpk wote tuwe wanawake😅
 
Mimi huyo mtoto ningemfanya ndondocha

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu kama ana muonea huruma mtoto si bora atafute single mother aoe

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Nimegundua wife alichepuka akabeba mimba na kujifungua mtoto hafanani na mimi baba yake wala mama yake

Hapa nimekaa na mtoto hadi miaka miwili imefika

Nipo njia panda nimuache wife na mtoto au niendelee kuishi nao!?
Duh mpaka two years bond ni kali/kubwa sana kati yako wewe na mtoto..... Kuna wanawake wanajua kuvuruga Raha na stability ya familia balaaa.

Kama Biological father hana taarifa ya kuwa ana mtoto hapo kwako basi Baki tu na mwanao ulee.
Lkn kama baba aliyemwaga mbegu anajua kuwa ana mtoto hapo- kuepusha migogoro mwachie tu huyo mke na huyo mtoto. Utapata tu mwingine huko mbeleni.

Pole sana Mkuu.
Mimi hawa wa kwangu naogopa hata kuchunguza maana Bond tuliyonayo ni very strong kiasi kwamba najua itatuvuruga kihisia na Kila kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…