Wrevta
JF-Expert Member
- Jan 18, 2023
- 1,442
- 1,731
[emoji28]Hahaaa. Nimecheka sana mkuu.
Baba inafaa aonekane kama hajazaliwa vile, yani yeye siku zote alikuwa baba tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji28]Hahaaa. Nimecheka sana mkuu.
Baba inafaa aonekane kama hajazaliwa vile, yani yeye siku zote alikuwa baba tu.
Hata mimi naona haihusian kabisaa...mtoto kuwa na heshima ni tofauti kabisa na hoja za mleta mada[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mbona hata haihusiani na suala la heshima??
Wewe ni mama siyo babaHakuna tatizo akiona hata ile ya siku niliyozaliwa hamna shida hio ni past sasa hv sio mtoto n baba yake.
Umeona ya mzee wako nini?😂😂Unakuta mtoto ana miaka 15 na kuendelea kisha anakutana na picha ya utotoni ya baba yake. Baadae jioni anamuona baba anarudi nyumbani.
Hivi mnadhani huyu mtoto anaweza kuweka au kudumisha heshima kwa mzazi aliyokuwa nayo awali?
Aise pole Sana
😅😅 HapanaUmeona ya mzee wako nini?😂😂
Kuna wengine wazee wao wamezaliwa kabla camera hazijafika [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Umeona ya mzee wako nini?[emoji23][emoji23]
Pole sana kijanaDah, nimeona -ve reaction ya watu humu na sijui ishu ni nini. Unajua kuna umri ukifika kuna ishu fulani zinazokuhusu ziwe na mipaka kwa kizazi kifuatacho. Mfano katika hali ya kawaida tu mwanaume mwenye miaka 70 hivi nakuendelea inabidi yeye ndiye awe mzazi aliyebakia, kwa maana ya kutoa maamuzi ya mwisho kwenye himaya yake. Sijajua kama nimeeleweka vyema
Pia natamani sana awepo mchangiaji mmoja kudadavua mada hii na kuonyesha upungufu uliojitokeza kuliko hizo duh, dah, aisee... na mengine
Hujaeleweka kabisa. Unaweza tena kutuma version nyingine ya hoja yako, mkuuPole sana kijana
Mimi nilifikiri umejiamini na hii mada yako kumbe umeianzisha ukitegemea positive reactions tu, najua hapo ulitegemea comments nyingi za uungwaji mkono kama "kweli kabisa" au "tena wamama ndio wanaongoza kwa kutunzatunza hayo mapicha, matokeo yake wanakuja kuwaonesha watoto wanawaharibu, sisi wababa hatunaga hayo mambo" nk, toka kwa wanaume wenzio ili uonekane mwamba
Lakini kwa bahati mbaya umekutana na negative reactions ikabidi uanze kujiquestion mwenyewe kwamba umekosea wapi, sikiliza unapoleta mada hapa jf kama kweli hiyo mada ina mantiki hautakuwa na mashaka na ulichokiandika, ila tukiona tu unaanza kujitilia mashaka mwenyewe, basi wengine tunaona huna tofauti na wale wanaoanzisha mada za kipuuzi za "kimasihara" sijui "wanawake ni viumbe hatari sana", ili tu wapate validation hasa toka kwa wanaume wenzao