Ni sahihi kwa mtoto kuona picha ya baba yake alipokuwa mtoto?

mleta mada akisoma comments ndani ya uzi wake
FtzuwmmX0AAh5Ni.jpg
 
Kuna ugumu gani kuweka mawazo yako hapa bila kuwa personal? Kuna kitu naendelea kugundua hapa kupitia comment za watu. Tuendelee kutoa mitizamo yetu
 
Dah, nimeona -ve reaction ya watu humu na sijui ishu ni nini. Unajua kuna umri ukifika kuna ishu fulani zinazokuhusu ziwe na mipaka kwa kizazi kifuatacho. Mfano katika hali ya kawaida tu mwanaume mwenye miaka 70 hivi nakuendelea inabidi yeye ndiye awe mzazi aliyebakia, kwa maana ya kutoa maamuzi ya mwisho kwenye himaya yake. Sijajua kama nimeeleweka vyema

Pia natamani sana awepo mchangiaji mmoja kudadavua mada hii na kuonyesha upungufu uliojitokeza kuliko hizo duh, dah, aisee... na mengine
Mkuu watoto wako kuona picha zako za utotoni siioni Kama ni shida hyo ni kwangu Mimi maana pengne watajifunza vingi zamani tulikuwa tunavaa suruari Pana inaburuza mpaka chini ingekuwa leo hii pengne wanangu wote watatu wangeshona suti na kitambaa kingetosha ni mojawapo ya maadili mkuu na tabia nyingi watoto hurithi kutoka Kwa wazazi wao

Kuna siku Moja tulikuwa likizo Mimi na wanangu watatu na Mama Yao Sasa kule kijijini tulimkuta shangazi yao, Baba Yao mkubwa.
Ambao Mimi wale ni kaka angu na Dada angu
Ikawa hivi mtoto wangu mkubwa yupo darasa la nne Kuna kitu alifanya nikiwa namuadhibu Dada angu na kaka wakasema unamwonea mtoto mbona wewe ulipokuwa mtoto hyo ndo ilikuwa tabia Yako aisee nilimaindi Hadi hawakuamini Kama ni Mimi kidogo niwavunjie heshima hata ni wakubwa zangu

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu thanks kw maelezo murua
 
Unakuta mtoto ana miaka 15 na kuendelea kisha anakutana na picha ya utotoni ya baba yake. Baadae jioni anamuona baba anarudi nyumbani.

Hivi mnadhani huyu mtoto anaweza kuweka au kudumisha heshima kwa mzazi aliyokuwa nayo awali?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa kuna shida gani mkuu? Wewe hujawai kuona picha za wazazi wako wakiwa watoto?
 
Unakuta mtoto ana miaka 15 na kuendelea kisha anakutana na picha ya utotoni ya baba yake. Baadae jioni anamuona baba anarudi nyumbani.

Hivi mnadhani huyu mtoto anaweza kuweka au kudumisha heshima kwa mzazi aliyokuwa nayo awali?
Kwetu kuna albam nzima.
 
kwani picha za utoto zin shida gani? kimsingi kama hutekelezi majukumu yako ipasavyo utasingizia vingi ooh mara wananikosea adabu mara sijui imepanda imeshuka, picha zako za utoto hazina shida yoyote hata kama ulikuwa unatembea peku hayo ndio maisha yaliyokuwepo wakati huo. tena kama background ilikuwa mbaya zaidi picha zinasaidia kuwaonyesha uhalisia ili kama umejaaliwa kidogo wajue kwamba maisha sio lelemama.
 
Unaweza ukasema ngoja niingie JF nisome tu nyuzi za kilimo na mambo ya dini mara ghafla unakutana na uzi kama huu...!! Inasikitisha sana
 
Unakuta mtoto ana miaka 15 na kuendelea kisha anakutana na picha ya utotoni ya baba yake. Baadae jioni anamuona baba anarudi nyumbani.

Hivi mnadhani huyu mtoto anaweza kuweka au kudumisha heshima kwa mzazi aliyokuwa nayo awali?
Mkuu kuna viranga au lifestyle usiyotaka mwabao asiijue?

Funzo kwa wazazi wa leo kujitunza na kujiheshimisha.

Pata picha mwijaku mwanae atakuwa anajivunia nini akishakua mzee?
Pesa? Vipi kuhusu maadili
 
Unakuta mtoto ana miaka 15 na kuendelea kisha anakutana na picha ya utotoni ya baba yake. Baadae jioni anamuona baba anarudi nyumbani.

Hivi mnadhani huyu mtoto anaweza kuweka au kudumisha heshima kwa mzazi aliyokuwa nayo awali?
Ujinga mwingi sana, sasa mwanao kuona picha yako utotoni tatizo liko wapi?
Sa ingine mkinywa kimpumu msije huku kutuandikia upuuzi.
 
Naona kuna watu wamepata pa kutolea stress zao. Fungukeni wandugu. Funguka
 
Ila kusema kweli hii tabia ya kuona picha za wazazi wakiwa watoto sio nzuri.

Nakumbuka kuna siku tupoo na bibi anatuonesha picha za baba akiwa mdogo, aseeh babu alikuja kutufurusha na kumpora bibi ile album, na alimkoromea mnooo.

Hata baba naye hapendi picha zake za utotoni sisi watoto kuzionaa, anasemaga ule ni ukumbusho wake binafsi na sio sisi, hata sisi picha zetu za utoto ni ukumbusho wetu binafsi sio kwa watoto wetu.

Toka hapo hatuna mda hata wa kuulizia kuona picha zake, japo tunajua ziko nyingii mnoo.
 
Bora na wewe umeliona hili
 
Unakuta mtoto ana miaka 15 na kuendelea kisha anakutana na picha ya utotoni ya baba yake. Baadae jioni anamuona baba anarudi nyumbani.

Hivi mnadhani huyu mtoto anaweza kuweka au kudumisha heshima kwa mzazi aliyokuwa nayo awali?
Watoto wa sasa wana access ya kufhamu vitu vingi kuliko wewe mzazi.
 
Ila kusema kweli hii tabia ya kuona picha za wazazi wakiwa watoto sio nzuri.

Nakumbuka kuna siku tupoo na bibi anatuonesha picha za baba akiwa mdogo, aseeh babu alikuja kutufurusha na kumpora bibi ile album, na alimkoromea mnooo.

Hata baba naye hapendi picha zake za utotoni sisi watoto kuzionaa, anasemaga ule ni ukumbusho wake binafsi na sio sisi, hata sisi picha zetu za utoto ni ukumbusho wetu binafsi sio kwa watoto wetu.

Toka hapo hatuna mda hata wa kuulizia kuona picha zake, japo tunajua ziko nyingii mnoo.
Sioni tatizo lolote hapo,picha zangu mi sasa hivi za utotoni nazitafuta sizipati maza alichoma moto kwa ajili ya mdingi tulipiga nae picha🥲.
Sasa hamna kumbukumbu wala lolote.
Zile picha ningejivunia leo kwamba niliishi maisha bora kabla kizungumkuti dingi alipokufa.
 
Back
Top Bottom