Ni sahihi kwa Mwanaume aliyeoa kupika?

Mwanamke anakuwa ana test dawa zake kama zimeanza kufanya kazi kama bado arudi tena kwa babu yaani mwanamke ukimsaidia kazi siku moja tu basi anaona dezo kila siku atakutest ukiingia king tu umeisha.
mpaka kesho usijaribu kutest, unaisha mapema mno, kama anaumwa Bora ukanunue chakula
 
Mbaya ni pale mwanaume yupo jikoni na mke anapaka kucha rangi.
Kuna jamaa mmoja ni teacher. Utaratibu wake ni kufua nguo zote na kupika chakula cha wote kwa siku za jmosi na jpili. Kimsingi siku hizo mbili huwa ni za mke wake kwenda bar kupata bia tamu.
Mwamba mwenyewe huwa hanywi.

Hii kwenye betting sijui ndio NGUMU KUMEZA
 
kila la kher
 
Umejuaje kwamba unapendwa?
 
Itoshe tu kusema kwamba, mwanaume anayepika ni ng'ombe, na mwanamke anayepikiwa na mumewe ni ng'ombe vile vile
 
Hiyo ni handicap mtu katangulizwa na goli hapo
 

Tuko tofauti sana katika kufikiri

Mi siku moja moja huwa napika nikijisikia kwa sababu kabla sijaoa nilikuwa najipikia geto, nilipooa mke wangu anapika lakini kuna wakati namsaidia hata kusonga ugali, kutengeneza samaki, kukaanga mboga n.k

Sijaona kama ni jambo baya wala haliniathiri kivyovyote kwakua nafanya kwa hiari yangu na wakati ninapokuwa na muda wa kufanya ivo.

Kingine sitaki kusahau hizo kazi maana emergency zinakuwa nyingi kwenye maisha, mimi na mke wangu kuna wakati tunabaki wenyewe na watoto ni wadogo hawawezi kupika hivyo ikitokea amebanwa kiafya naweza kupika wakati tunatafuta suluhisho la kudumu.

Kupika hakujawahi kuniondolea uanaume wangu hata robo na mke katulia, nadhani tunawasiliana vema hapa[emoji3][emoji3]
 
Tumewasiliana vyema sana. Kuna wadau wanataka kujua vipi na Chapati huwa unamsaidia pia wife wako. Vipi kukuna nazi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…