Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo pesa zake ni zake ama ni za wote?Ana mishe zake
Ni zakeKwa hiyo pesa zake ni zake ama ni za wote?
[emoji106]Ni zake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hela tafuta na chakula pika
Aisee [emoji23][emoji23][emoji23]Hela tafuta na chakula pika
Kudadadeki,utamroga kwa limbwata au??.Me huyo future husband wangu kupika atapika vzr tu kwakweli
mpaka kesho usijaribu kutest, unaisha mapema mno, kama anaumwa Bora ukanunue chakulaMwanamke anakuwa ana test dawa zake kama zimeanza kufanya kazi kama bado arudi tena kwa babu yaani mwanamke ukimsaidia kazi siku moja tu basi anaona dezo kila siku atakutest ukiingia king tu umeisha.
Kuna jamaa mmoja ni teacher. Utaratibu wake ni kufua nguo zote na kupika chakula cha wote kwa siku za jmosi na jpili. Kimsingi siku hizo mbili huwa ni za mke wake kwenda bar kupata bia tamu.Mbaya ni pale mwanaume yupo jikoni na mke anapaka kucha rangi.
kila la kherMkuu, mimi hua napika na wakati waifu anaangalia tamthilia sebleni kisha nampakulia kabisa na kabla hajaanza kula nahakikisha nimemnawisha kwa maji safi tena yalio chemshwa.
Na saizi ndio nimemaliza kuosha vyombo, nikimaliza ku comment hapa nataka nika deki nyumba...[emoji4]
Umejuaje kwamba unapendwa?Mkuu Sasa ukipika unaishiwa damu?, Mimi nadhani mwanamme aliyeoa sio tu napaswa kupika, Bali pia anapaswa kufua nguo, kuogesha watoto na kufanya shughuli zote za nyumbani ambazo zinafanywa na mwanamke.
Huu ni ukiritimba uliokithiri kwa baadhi ya wanaume wanaoamini kuwa wako juu kuwaliko wa wanawake, Mimi kwangu nafua nguo, naogesha watoto na kupika na pika Ila sijawahi kuona ikiwa nadharauliwa na mke wangu, zaidi ya yote, naagizwa kununua mboga, chumvi, nyanya na kadhalika .
Upendo wangu kwa mke wangu uko pale pale, yeye pia ananipenda na kuniheshimu.
Don't complicate life kijana!!
Hiyo ni handicap mtu katangulizwa na goli hapoKuna jamaa mmoja ni teacher. Utaratibu wake ni kufua nguo zote na kupika chakula cha wote kwa siku za jmosi na jpili. Kimsingi siku hizo mbili huwa ni za mke wake kwenda bar kupata bia tamu.
Mwamba mwenyewe huwa hanywi.
Hii kwenye betting sijui ndio NGUMU KUMEZA
Jamani tuacheni masihara. Kama kuitwa mshamba bora mimi niwe hivyo.
Hivi inakuwaje mwanaume unamkuta yuko jikoni anahangaika kupika au kufua au hata kupiga deki?
Si tulikubaliana Kazi ya Mwanaume ni kutafuta pesa, kulisha familia, kusomesha watoto na kutoa ulinzi kwa familia na jamii??
Tulikubaliana kazi ya mwanaume ni kuhakikisha unawaza kununua ndege, treni, kumiliki makampuni makubwa ya biashara, Kuiangusha Urusi.
Na mwisho kabisa kazi muhimu baada ya hayo ni kutoa kichapo kitakatifu kwa mama watoto mpaka anasema kweli hapa nina mwanaume.
Yangu ni hayo tu.
Umejuaje kwamba nachukiwa?Umejuaje kwamba unapendwa?
Tumewasiliana vyema sana. Kuna wadau wanataka kujua vipi na Chapati huwa unamsaidia pia wife wako. Vipi kukuna nazi?Tuko tofauti sana katika kufikiri
Mi siku moja moja huwa napika nikijisikia kwa sababu kabla sijaoa nilikuwa najipikia geto, nilipooa mke wangu anapika lakini kuna wakati namsaidia hata kusonga ugali, kutengeneza samaki, kukaanga mboga n.k
Sijaona kama ni jambo baya wala haliniathiri kivyovyote kwakua nafanya kwa hiari yangu na wakati ninapokuwa na muda wa kufanya ivo.
Kingine sitaki kusahau hizo kazi maana emergency zinakuwa nyingi kwenye maisha, mimi na mke wangu kuna wakati tunabaki wenyewe na watoto ni wadogo hawawezi kupika hivyo ikitokea amebanwa kiafya naweza kupika wakati tunatafuta suluhisho la kudumu.
Kupika hakujawahi kuniondolea uanaume wangu hata robo na mke katulia, nadhani tunawasiliana vema hapa[emoji3][emoji3]
🤣🤣🤣🤣we jamaa una utaniItoshe tu kusema kwamba, mwanaume anayepika ni ng'ombe, na mwanamke anayepikiwa na mumewe ni ng'ombe vile vile