Ni sawa kuweka nyimbo za injili kwenye mabasi ya mikoani?

🚮🚮🚮

🤣🤣, unavokatikiwa maungoni na wanaume unadhani ni tabia ya kila mtu sio, toa mtazamo wako utaheshimiwa🤣🤣🚮🚮🚮🚮🚮

"Free speech"
Acha mipasho wewe,hujashukiwa panga ili upande
 
Naamini ukiuliza kabla ya kukata tiketi utajibiwa.
Sasa imagine wenye nyumba karibu na makanisa na misikiti adha wanazopitia.
Kuna jamaa yangu back in the day aliwahi kumkodishia gari Msenegali sasa siku wamekutana akakuta yule Msenegali katoa rozali ilipokuwa inaning'inia na ameweka tasbihi, alivunja mkataba kisa gari eti gari lake linawekwa vitu visivyofaa.
Hizi imani za kuletewa kutoka Middle East(Abrahamic religions) zimefanya watu wamekuwa mazuzu sana na wanazichukulia serious kuliko hata hao waliozitunga na kuzileta.
 
Hizi dini zimetupa ustaarabu kidogo ila matatizo mengi zaidi🥹🥹, kama sio hizi dini Afrika tungekua mbali sana kimaendeleo
 
Kwanini uulize? ni jukumu lao kuweka hiyo taarifa wazi hadharani.

Mbona mlangoni bus zimeandikwa kama ni vip au business class. Nadhani ni takwa la kisheria ili ukiwa unaingia ujue unaenda kukutana na nini
 
Kwanini uulize? ni jukumu lao kuweka hiyo taarifa wazi hadharani.

Mbona mlangoni bus zimeandikwa kama ni vip au business class. Nadhani ni takwa la kisheria ili ukiwa unaingia ujue unaenda kukutana na nini
My property my terms, take it or leave it.
Je wale wanaopigiwa kelele na kwaya na hazana majumbani mwao wafanyeje?
 
Huku zenji pia wanakera kinoma daladala mingi muda wote mawaidha tu wanafikiri sisi wote ni waislam
 
Uislamu na ukristo ni ujinga wenu mliouanzisha wanadamu.

Kitakachokupeleka mbinguni ni matendo mema sio ukristu au uislamu wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…