inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Kwa uelewa wako shule ni nini!?Weka nyama.. nimeuliza kwenye uzi.. mtaje shule ambazo baada ya uhuru serikali ilizitaifisha kutoka kwa waarabu..
Mbona za wazungu nimezitaja Ilboru, mazengo, pugu, forodhani, oldu moshi.
Na wewe zitaje za waarabu majina?
Sekondari ni neno la kiingereza,kwa kiarabu inaitwaje!?Mwarabu ajenge shule ya sekondari kisha aipe jina la King george VI ?
Kwa elimu yako shule ni nini!?
Sekondari ni neno la kiingereza,kwa kiarabu inaitwaje!?
Nimekuuliza kwa uelewa wako shule ni nini!?..hizo shule za mzungu ndo zmekufunza ujinga hata kujibu swali huwezi!?Shule ya sekondari zilizotaifishwa baada ya uhuru ndizo zimetajwa kwenye kichwa cha habari cha uzi.
Shule ya sekondari ni kama hizo nilizotaja pugu, oldu moshi, ilboru, mazengo etc
Nitajie shule gani iliyokuwa inatoa elimu ya sekondari kama hizo pugu ambayo ilijengwa na mwarabu
Nimekuuliza kwa uelewa wako shule ni nini!?..hizo shule za mzungu ndo zmekufunza ujinga hata kujibu swali huwezi!?
Secondary ni neno la kiingereza, kiarabu linaitwaje ili tujue mwarabu alijenga sekondari au laa!?.. unalia nini!?Taja majina ya shule... huu uzi hautaki bla bla bali unataka ushahidi wa majina ya shule zilizojengwa na mwarabu
Secondary ni neno la kiingereza, kiarabu linaitwaje ili tujue mwarabu alijenga sekondari au laa!?.. unalia nini!?
We ni qoumah uliyejaza mazvvuzi tu ndani ya kichwaTaja majina ya shule... weka ushahidi wa majina ya shule zilizojengwa na mwarabu
We ni qoumah uliyejaza mazvvuzi tu ndani ya kichwa
Shule ni neno la kiarabu lenye maana ya mahali pa kujifunza,Sasa Kama mwarabu hakujenga mahali pa kujifunza huku Tanganyika na Zanzibar sawaAcha kutukana jibu hoja ya uzi huu Taja majina ya shule... weka ushahidi wa majina ya shule zilizojengwa na mwarabu
Shule ni neno la kiarabu lenye maana ya mahali pa kujifunza,Sasa Kama mwarabu hakujenga mahali pa kujifunza huku Tanganyika na Zanzibar sawa
Shule ni kijerumani wao huandika schuleShule ni neno la kiarabu lenye maana ya mahali pa kujifunza,Sasa Kama mwarabu hakujenga mahali pa kujifunza huku Tanganyika na Zanzibar sawa
Mbona mbapa yule, aliepelekwa leo, nimeambiwa alikua analipenda, Na nchi za ulaya na Amerika viongozi wake tumeona wakitoka hadharani kusimama na mashoga, akina David Cameroon, tunawakumbuka.Sema wanasifika kwa Jambo la kuingiliana kinyume na maaumbile cjui kwann na wao hiyo swala wanaipenda
Mnavyofundishwa madrasa mkishindwq hoja utoe matusi?We ni qoumah uliyejaza mazvvuzi tu ndani ya kichwa
Mkoa gani huko Muscat?Kuna sehemu moja huwa inaitwa "Maskati" sijui kama kuna shule kule ila hao jamaa wamekaa kule kinachonishangaza kule ni bushi kichizi ilikuaje miamba wakakaa huko
Yesu alianza Vaa kobazi kabla yanguMnavyofundishwa madrasa mkishindwq hoja utoe matusi?
Bure kabisa wewe mvaa kipedo na kobazi