Ni shule gani ya sekondari ilijengwa na wakoloni Waarabu halafu Serikali ikaitaifisha baada ya uhuru 1961?

Sijasema Wakristu ndio wasomi zaidi Tanzania hapana, dini zote Zina wasomi wabobezi kwenye nyinja mbalimbali. Lakini asilimia kubwa ya wasomi wote Tanzania, wamenufaika au kutumia kwa njia Moja au nyingine miundombinu ya elimu iliyotengenezwa na kanisa. Hivyo hata wakati tunawarushia madongo tukumbuke ukweli huo, tuwatambe na angalau tuwaheshimu kwa hilo.

Wamisionari wa Kikristu walikuwa wanajenga vitu mapacha vitatu. Kanisa, shule na hospitali. Ila waarabu wao walijua na mpaka Sasa hivi wanajenga kitu kimoja tuu
 
Mwarabu alitawala lini TANGANYIKA? Maana hata biashara ilikuwa karne ya 18 huko, Nchi yetu ilitawaliwa na WAJERUMANI NA WAINGEREZA (WALISHIKIA TU).
Hata hao wajerumani hawakujenga sana Shule zaidi ya Makanisa, na Ofisi zao kama ile IKULU yetu.

Watanzania kwann kila siku mnapenda kutumia matako kwenye kufikiria??

Swali lilipaswa kuuliza ni nchi gani iliwahi kutawaliwa na Waarabu? Then anzia hapo kuuliza kama walijenga shule au hapana.
 
Icho kijiji cha didia kama kuna jamaa amewahi kunitajia,kwahiyo mpaka saivi apo didia bado wapo
 
Taja shule zilizojengwa na waarabu. Haya uliyoaandika ndiyo ujinga wenyewe. Unauliza hivi unajibu vingine. Amesema waarabu ila tayari umeenda kwenye udini. Hapa hatuongelei udini. Kuna waarabu waislamu, wapagani na wakristo. Uliambiwa Wajerumani au wazungu ni wakristo tu? Kuna wapagani na waislam pia.
 
Watakwambia waliacha ustaarabu ukiuliza ni ustaarabu gani huo walioacha eti kutawaza yani kunawa matako baada ya kujisaidia ni kitu wanajivunia sana toka kwa waarabu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nachekaga sana hawa ndg zetu

Miaka 100 au 150 iliyopita jamii zetu nyingi tulikuwa tunachambia ‘Magunzi’ ya mahindi huko maporini au kwenda kwenye mito au kingo za bahari kujisaidia haja zetu na hii kuchambia maji au karatasi maalumu kwa sehemu kubwa tumepokea toka kwa wageni awe Mwarabu au Mzungu kutegemea na nani aliwahi kuifikia jamii hiyo husika, na hata kuhifadhi uchafu wetu sehemu maalum (vyoo) tumefundishwa na wao pia sie ilikuwa unaenda huko unachimba ka shimo unaachia vitu vyako hapo unachukua gunzi la mahindi au unajiburuza/jisugua chini au kwenye majani ndo usafi wetu huo kwa kipindi hicho
 
Tabora boys & girls zilishuka toka mbinguni
 
Mwaarabu ajenge shule andike Tabora boys & girls? Tufanye walijenga ilkuwa chini ya taasisi gani ya kiarabu?
Kwani lazima iwe chini ya taasisi!?..mbona muhimbili ilianzishwa na mwarabu mmoja tu Wala hakuwa taasisi!!
 
Zilijengwa na chifu wa unyanyembe 1920s

Kwa hiyo chifu wa unyanyembe ndie alikuwa anaziendesha hizo shule za sekondari na baada ya uhuru serikali ilizitaifisha kutoka kwa chifu wa unyanyembe?
 
Icho kijiji cha didia kama kuna jamaa amewahi kunitajia,kwahiyo mpaka saivi apo didia bado wapo

Warabu bado wapo sana hapo Tinde , Didia, Mwangoye, Bukene, Nata, Nzega (ndo kama kwao na chimbuko lao ) Igunga, Choma Cha Nkola, Nkinga, Isaka, Igusule ,Itobo . Hizi ni sehemu za Tabora na Shinyanga pande za usukumani achia mbali pande za Wanyamwezi huko kama Mabama, Usoke, Kaliua, Urambo napo Waarabu wamejazana
 
Zilijengwa na chifu wa unyanyembe 1920s

HII NI HISTORIA YA TABORA GIRLS MBONA MWARABU HAJATAJWA POPOTE KAMA AMEWAHI KUIJENGA AMA KUIENDESHA TABORA GIRLS

Ama british colonial rulers walioianzisha ni wa arabu?

Tabora Girls Secondary School (Popularly Girl School) is one the oldest school with great history.

The school was founded by British Colonial rulers in 1928 and it started as a primary school, by the name of the African Girls School. The schools was dedicated to daughter of the Chiefs before it made open for all girls. In 1957, the school was granted the status of secondary girls where in 1972 started to enroll students with special needs, including with albinism and students with visually impairment.

The school has produced best qualified professionals in the fields of Law, Medicine, Engineering, and Teaching and even in politics. Among the leaders attending a school that includes the former first lady of the IV Phase Government and a Chairman of the Global Equity for All (EOTF), Hon Mama Anna Mkapa, Hon Dr. Getrude Mongela (Former MP and President of the Pan African Parliament). Hon Mongela was Secretary General of the very historical (Beijing Conference, 1995) Fourth World Conference on Women: Action for Equality, Development and Peace was the name given for a conference convened by the United Nations during 4–15 September 1995 in Beijing, China.


Tabora boys na tabora girls zote zilianzishwa na british colonial rulers kwa ajili ya kufundisha watoto wa machifu.


Ilianza tabora boys 1925 kisha ikafata tabora girls 1928 ..

Mwarabu hakuanzisha hizo shule na wala hajawai kuziendesha.
 
Hizo shule tulijenga wanyamwezi wenyewe kupitia machifu wetu,yaani shule ajenge mzungu halafu imilikiwe(owned) na mwafrika,Kama wanyamwezi huwa tunajidaia hizo shule,na utawala wa unyanyembe(tabora mjini) ulichukuliwa na mwarabu baada ya kuoa kwa ntemi na kujiingiza kwenye local politics,miongoni mwa vitu vilivyomuudhi milambo Hadi kupigana nao Vita
 
Shule ijengwe na colonial rulers halafu iwe owned na African chief daughters!!?..inaingia akilini,boys imeanza 1922,miaka minne baada ya world war 1 chapu mwingereza ajenge shule ndani magharibi mwa east Africa asijenge pwani!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…