Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
Hakikisha internet ni unlimited, pitia hapaInternet ninayo na hiyo TCL
Ehee mkuu nielekeze vizuri hapa..
Nina Samsung LED nilinunua mwaka 2008 40 inches inapiga mzigo mpaka sasa, nadhani ni ya Korea.Nina Samsung LED ya South Africa tangu 2013 hadi Leo,
Haina shida yeyote..inapiga mzigo.
Kwangu Mimi Samsung ndy brand yangu
Kuanzia fridge, Home theatre,tv
Sent from my 2201117SG using JamiiForums mobile app
Kabisa mkuu,,Nina Samsung LED nilinunua mwaka 2008 40 inches inapiga mzigo mpaka sasa, nadhani ni ya Korea.
Nina Samsung Smart TV 50 inches nilinunua 2018 inapiga mzigo vizuri. Nimechukua ya inchi 65 mwaka huu. Hizi zote ni za Egypt.
Mimi ni mwendo wa bidhaa za Samsung kwenye TV, Fridge na Microwave.
Music System ni Sony, Sound Bar ni JBL, Air Conditiiner ni LG, .........
Magic remote ndio ipoje na pia inafanya kazi gan?Lg Tv with magic remote control,
Unaweza Zina store sema most ni app za kulipia kama Netflix, Amazon prime etc pia YouTube ipo.Kuna hizi Hisense ambazo OS yake sio android, ni vidaa unawezaje kuinstall apps?
Hulu inafanya kazi hapa Tanzania...!?Unaweza Zina store sema most ni app za kulipia kama Netflix, Amazon prime etc pia YouTube ipo.
Baadhi ya model unaweza bypass na kuweka 3rd party apps sema nyingi ni za kirusi.
Na vpn unaweza mkuu, Disney, hulu, Netflix ya Usa, Dazn etc.Hulu inafanya kazi hapa Tanzania...!?
Sasa kama ni hivyo, kulipia nako utalipia kwa namna ipi...!?Na vpn unaweza mkuu, Disney, hulu, Netflix ya Usa, Dazn etc.
Inch 65 how muchTCL hautojuta ni kama tamform
Na vpn unaweza mkuu, Disney, hulu, Netflix ya Usa, Dazn etc.
Hapo mkuu njia ya kwanza jaribu kutumia 3rd party launcher ikipotea, sometime hio launcher ya google inaficha hizo app. Mfano ATV launcher ipo store, kufanya permanent ni shughuli ila jaribu hata temporary kwa sasa.Mkuu smart tv yangu Android niki install App inaitwa Sportzfy nje ya playstore inakubali lakini baada ya muda App inapotea haionekani hata ukienda settings upande wa Apps huioni,nimezima Play protect lakina bado kwa hyo kila mara nikitaka kuitumia hyo App inabidi niende kwenye folder lenye APK yake nianze upya ku install japo wakati wa ku install inaniambia kabsa tayari hyo App ipo installed..shida itakuwa nn hapo Mkuu?
Hapo mkuu njia ya kwanza jaribu kutumia 3rd party launcher ikipotea, sometime hio launcher ya google inaficha hizo app. Mfano ATV launcher ipo store, kufanya permanent ni shughuli ila jaribu hata temporary kwa sasa.
Njia ya pili ni kubadili hio apk kwa kuweka manifest za Android tv ili kuidanganya launcher ya google kwamba ni app ya Android tv. Sio 100% compatible na apps zote ila watu wanatumia.
Jaribu hii
Tool
Hapo mkuu njia ya kwanza jaribu kutumia 3rd party launcher ikipotea, sometime hio launcher ya google inaficha hizo app. Mfano ATV launcher ipo store, kufanya permanent ni shughuli ila jaribu hata temporary kwa sasa.
Njia ya pili ni kubadili hio apk kwa kuweka manifest za Android tv ili kuidanganya launcher ya google kwamba ni app ya Android tv. Sio 100% compatible na apps zote ila watu wanatumia.
Jaribu hii
Tool