Ni ubabaifu mwanaume kulilia mali za mwanamke katika talaka. Kesi ya talaka ya Fatma Karume ina masomo muhimu sana

Je mwanaume analipwa na nani kufanya kazi na kugharamikia familia kwa 100%?🤔
 
Je mwanaume analipwa na nani kufanya kazi na kugharamikia familia kwa 100%?🤔
Sjui umesoma vizuri hii point imeanzia wapi mkuu...hii issue imeanzia pale mdau mmoja alipoonesha kumchulia poa mwanamke ambae ni home stayer kupata 50 50 pale inapotokea wamatalakiana..madai yake ni kwamba mwanamke haongezi wala hachangii chochote mimi nimejaribu kuonesha kwa mapana yake..mwanaume anafanya kazi anapata pesa anatimiza ndoto zake anahudumia familia yake na kwao anajitimizia mahitaji yake ...vipi huyu mwanamke anayefanya unpaid work analipwa pesa na nani kupata mahitaji yake(hapa nazungumzia wanaume wasiowapa pesa wake zao kwa ajili ya mahitaji binafsi)kwa nn basi hiyo pesa ambayo angelipwa dada usimpe mkeo na yeye apate mahitaji yake ya kike?

Alafu Kuolewa sio mafanikio.. wala kuolewa na mwanaume mwenye pesa hakufanyi mwanamke kuwa tajiri unaweza kutana na usichotarajia huko na ndoto zikafa kabisa ukawa busy na familia ambayo wala haithamini mchango wako..
 

Kwahiyo hii ngumi ya chembe amepigwa Dr. Omar? Au sisi wana nzengo?
 
Big point
 
Kuachana nako ni kuzuri jamani.
Gawaneni kwa Amani,peaneni nafasi,Ikibidi muulize mtalikiwa wako anataka kipi kuchukua na wewe akupe kipi.

Ukimpa mwanamke uhuru kuchagua wakati wa talaka inakaa poa sana,Ila inabdi uwe Smart.
 
Hapo naunga mkono hoja.Na ikitokea Mwanaume amechangia zaidi nae apewe hiyo hiyo 75% badala ya 50/50 inayotumika Sasa.

Mwisho yaani Kuna mtu alioa huyo Fatma? 🤪🤪🤪
 
wasenge tu, mwanamke hata akiwa anapika ugali na kuangalia tamthilia tu nyumbani mkiachana mahakama inataka apewe 50% ya mali zote.
Nimeona hili .... Huko Marekani... Donald Trump amelizungumzia kwa uchungu..... Nafikiri sheria za huko zitarekebishwa siku sio nyingi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…