Zemanda
JF-Expert Member
- Jan 10, 2021
- 8,323
- 18,051
Je mwanaume analipwa na nani kufanya kazi na kugharamikia familia kwa 100%?🤔Nashangaa sana ujue hakuna kazi ngumu kama kazi za nyumbani nashangaa watu wanachukuliaga poa sana hii sekta.. kuwafanyia maandalizi watoto na baba wanaokwenda shule na wanaokwenda kazini waende wakiwa smart..na bado wengine ubaki nao na kazi za nyumbani upambane nazo warudi wakute mambo yako fresh si jambo rahisi na ukute hana hata msaidizi wa nyumbani so ni kila kitu anafanya mtu mmoja tena kwa ukamilifu na bado anachukuliwa poa mwanamke hiyu..wanahaki na kupata 50 50 acha mfumo uwabebe