Ni ujumbe wa kanisa Katoliki kwa Rais Samia na serikali yake?

Kipind yupo magufuli yalifanyika zaidi ya haya, hao wakina lisu na lema mpka wakakimbia nchi mikutano wakazuiwa, ila hao wote walikaa kimya kwasababu mfanyaji alikuwa mtu wa upande wa dini yao,
Sawa nionyeshe tamko la TEC baada ya lisu kupigwa risasi, nionyeshe tamko la TEC baada ya mbowe kupewa kesi ya ugaidi, nionyeshe tamko la TEC kupotea kwa ben saa 8 , nionyeshe tamko la TEC wafanya biashara kubambikiwa kesi za uhujumi uchumi kipind cha magufuli, nionyeshe tamko la TEC magufuli kuzuia mikutano ya kisiasa, nionyeshe tamko la TEC dhulma iliyofanyika uchaguzi mkuu wa 2020 ila wa 2024 kwavile kiongozi muislamu upo waraka, na bado tu hamuamin kuwa hao maaskofu wanaendeshwa na chuki za kidini?
 
Attachments

  • 20250502_224811.jpg
    20250502_224811.jpg
    12.8 KB · Views: 25
Kipind yupo magufuli yalifanyika zaidi ya haya, hao wakina lisu na lema mpka wakakimbia nchi mikutano wakazuiwa, ila hao wote walikaa kimya kwasababu mfanyaji alikuwa mtu wa upande wa dini yao.
Poleee sana kwa kujitoa ufaham. Kanisa katoliki lilitoa maonyo sana, ndio kisa cha magufuli kuanza kuhoji uraia wa askofu

Na kwa record catholic halikukaa kimya lilimuonya magufuli multiple times, labda kama huna kumbukumbu
 
Kwa hiyo tuko katika vita vya "kidini" Lema na Lisu ni dini Gani na walikimbia Kiongozi alikuwa wa Dini Gani. Na sasa wanaojeruhiwa n.k na matokeo ya sasa wahanga ni dini Gani na Kiongozi ni wa upande upi ??
 
Poleee sana kwa kujitoa ufaham. Kanisa katoliki lilitoa maonyo sana, ndio kisa cha magufuli kuanza kuhoji uraia wa askofu

Na kwa record catholic halikukaa kimya lilimuonya magufuli multiple times, labda kama huna kumbukumbu
Una onyo lolote la mwaka 2020? Hasa baada ya uchaguzi wa kishindo?
 
Kipind yupo magufuli yalifanyika zaidi ya haya, hao wakina lisu na lema mpka wakakimbia nchi mikutano wakazuiwa, ila hao wote walikaa kimya kwasababu mfanyaji alikuwa mtu wa upande wa dini yao.
Kweli kabisa...
 
Acha udini na toa ujinga wako hapa, Akiba bongoza walikua wanasema mpaka wanatishiwa urai wao
 
Kipind yupo magufuli yalifanyika zaidi ya haya, hao wakina lisu na lema mpka wakakimbia nchi mikutano wakazuiwa, ila hao wote walikaa kimya kwasababu mfanyaji alikuwa mtu wa upande wa dini yao.
Kwani wewe ni mgeni na hawa watu!
Mbona wamezoeleka ndo maana watu hata hawana muda wa kuhangaika nao.
Wee ukiingia kwenye 18 za kuvuruga amani ya nchi yoyote duaniani utakula mkong'onto tu..
Ndo maana kuna vita duniani sehemu mbali mbali yote ni matokeo ya kuvuruga amani au mipango ya watu ndo vita huzaliwa.
 
Kipind yupo magufuli yalifanyika zaidi ya haya, hao wakina lisu na lema mpka wakakimbia nchi mikutano wakazuiwa, ila hao wote walikaa kimya kwasababu mfanyaji alikuwa mtu wa upande wa dini yao.
Ulikuwa kwenye kwenye mimba bado enzi za magufuli kwamba hukusikia wala kuona mgogoro uliozuka baada maaskofu kimkemea huyo dicteta uchwara! Unafikiri wakristo ni wapumbavu kama mlivuo waislamu na wapagani kumuunga mtu mwovu kisa dini yenu. Tuliza speaker hizo
 
Back
Top Bottom