Ni ujumbe wa kanisa Katoliki kwa Rais Samia na serikali yake?

Kipind yupo magufuli yalifanyika zaidi ya haya, hao wakina lisu na lema mpka wakakimbia nchi mikutano wakazuiwa, ila hao wote walikaa kimya kwasababu mfanyaji alikuwa mtu wa upande wa dini yao.

Uwongo mkubwa sana huu.

Je, Hukuona kwamba Askofu Niwemugizi wa Kanisa Katoliki alitiwa misukosuko na kisha kunyang'anywa Passport yake ya kusafiria baada ya kumkosoa Rais Magufuli? Je, Hukuona au Kuwahi kusikia kuhusu mkasa huu?

Rais Magufuli pia alikuwa Mkristo Mkatoliki sawa sawa na Askofu Niwemugizi. Aidha, pia Rais Magufuli Kiongozi wake wa kiroho alikuwa ni huyo Askofu Niwemugizi ambaye Utawala wake ulimtia misukosuko.
 
Kipind yupo magufuli yalifanyika zaidi ya haya, hao wakina lisu na lema mpka wakakimbia nchi mikutano wakazuiwa, ila hao wote walikaa kimya kwasababu mfanyaji alikuwa mtu wa upande wa dini yao.
Wewe ni muongo, alopigwa spana kama Kawa na aakaanza kuwapa kesi za Uraia maadui zake, mfano Askofu wa rulenge ngara Severine niwemugizi alipata kashikashi ya kuambiwa aoneshe makaburi ya babu zake,alibambiliwa hiyo jambajamba, the same kwa kakobe, lakini nyongeza AIDAN EYAKUZE director wa TWAWEZA
 
Kipind yupo magufuli yalifanyika zaidi ya haya, hao wakina lisu na lema mpka wakakimbia nchi mikutano wakazuiwa, ila hao wote walikaa kimya kwasababu mfanyaji alikuwa mtu wa upande wa dini yao.
Ni kweli walikaa kimya!!?
 
Kipind yupo magufuli yalifanyika zaidi ya haya, hao wakina lisu na lema mpka wakakimbia nchi mikutano wakazuiwa, ila hao wote walikaa kimya kwasababu mfanyaji alikuwa mtu wa upande wa dini yao.
Acha ujinga na uwe na kumbukumbu Ili ujitofautishe na mabumunda.
Askofu Niwemugizi alinyang'anywa mpaka hati ya Kusafiria, padre Saba Katibu wa TEC alinyanyasika na kufukuzwa Tanzania kuwa sio raia mpaka akafariki Dunia Kwa stress.
Mungu alivyo fundi Niwemugizi akamzika Magufuli, na Magufuli naye akafa!
Jitahidi kuondoa mahaba na mapenzi ukukumbuka nyaraka zapasaka wakati wa Magufuli zilivyomtia wakati mgumu. Punguza upopoma
 
Una onyo lolote la mwaka 2020? Hasa baada ya uchaguzi wa kishindo?
Februari 2021, TEC ilitoa waraka uliosisitiza ukweli wa ugonjwa wa COVID-19 na kuwataka waamini na wananchi kuchukua tahadhari na kufuata ushauri wa wataalamu wa afya. Huu ulikuwa mwendelezo wa msimamo wao tofauti na ule wa serikali ya awamu ya tano iliyokuwa ikionekana kupuuza ukali wa janga hilo.
By then gov ilikuwa ikikazans na kujifukiza na kupotezea ugonjwa huo, hapa waliingia kwenye mgogoro na jpm

Na pia Katika kipindi cha baada ya 2020, TEC imekuwa ikitoa wito wa kuimarisha demokrasia, utawala wa sheria na kuheshimu haki za binadamu. Kumekuwa na maonyo kuhusu hali ya kisiasa, uhuru wa kukusanyika na kujieleza, na umuhimu wa uchaguzi huru na wa haki.
Hali hii ilipelekea askofu mmoja (namuhifadhi), kuanza kuhojiwa uraia wake, japo katika dakika za mwisho alimrudishia pasport na kuomba msamaha
 
Hizi ni Taka taka mkuu zinadhani watu hawana kumbukumbu zinajiandikia tu!
Ulikuwa kwenye kwenye mimba bado enzi za magufuli kwamba hukusikia wala kuona mgogoro uliozuka baada maaskofu kimkemea huyo dicteta uchwara! Unafikiri wakristo ni wapumbavu kama mlivuo waislamu na wapagani kumuunga mtu mwovu kisa dini yenu. Tuliza speaker hizo
 
Kipind yupo magufuli yalifanyika zaidi ya haya, hao wakina lisu na lema mpka wakakimbia nchi mikutano wakazuiwa, ila hao wote walikaa kimya kwasababu mfanyaji alikuwa mtu wa upande wa dini yao.
Acha uongo waliandika waraka kila wakati hawaja wahi kukaa kimya. Dr Shoo alisema kuwa kwa umri wao hatakufa wala hawaogopi. Acha upumbavu.
 
Kipind yupo magufuli yalifanyika zaidi ya haya, hao wakina lisu na lema mpka wakakimbia nchi mikutano wakazuiwa, ila hao wote walikaa kimya kwasababu mfanyaji alikuwa mtu wa upande wa dini yao.
Tutolee usilamule wako hapa , lazima akemewe kwani Magufuli hakukemewa au siasa umezianza leo ?
 
Kipind yupo magufuli yalifanyika zaidi ya haya, hao wakina lisu na lema mpka wakakimbia nchi mikutano wakazuiwa, ila hao wote walikaa kimya kwasababu mfanyaji alikuwa mtu wa upande wa dini yao.
Wewe ni mdini na mpumbavu.
 
Februari 2021, TEC ilitoa waraka uliosisitiza ukweli wa ugonjwa wa COVID-19 na kuwataka waamini na wananchi kuchukua tahadhari na kufuata ushauri wa wataalamu wa afya. Huu ulikuwa mwendelezo wa msimamo wao tofauti na ule wa serikali ya awamu ya tano iliyokuwa ikionekana kupuuza ukali wa janga hilo.
By then gov ilikuwa ikikazans na kujifukiza na kupotezea ugonjwa huo, hapa waliingia kwenye mgogoro na jpm

Na pia Katika kipindi cha baada ya 2020, TEC imekuwa ikitoa wito wa kuimarisha demokrasia, utawala wa sheria na kuheshimu haki za binadamu. Kumekuwa na maonyo kuhusu hali ya kisiasa, uhuru wa kukusanyika na kujieleza, na umuhimu wa uchaguzi huru na wa haki.
Hali hii ilipelekea askofu mmoja (namuhifadhi), kuanza kuhojiwa uraia wake, japo katika dakika za mwisho alimrudishia pasport na kuomba msamaha
Weka hapa hizo nyaraka

Alafu twende katika uhalisia wa hizo nyaraka za TEC katika utekelezaji wake

Asante
 
Upo serious?
Kipind yupo magufuli yalifanyika zaidi ya haya, hao wakina lisu na lema mpka wakakimbia nchi mikutano wakazuiwa, ila hao wote walikaa kimya kwasababu mfanyaji alikuwa mtu wa upande wa dini yao.
 
Kipind yupo magufuli yalifanyika zaidi ya haya, hao wakina lisu na lema mpka wakakimbia nchi mikutano wakazuiwa, ila hao wote walikaa kimya kwasababu mfanyaji alikuwa mtu wa upande wa dini yao.
Sio kweli acha mahaba wewe, hao unaosema walikaa kimya ndio waliokuwa wanamsema Magufuli mpaka wengini baadhi ya maaskofu walipewa kesi za uraia.
 
Poleee sana kwa kujitoa ufaham. Kanisa katoliki lilitoa maonyo sana, ndio kisa cha magufuli kuanza kuhoji uraia wa askofu

Na kwa record catholic halikukaa kimya lilimuonya magufuli multiple times, labda kama huna kumbukumbu
Anazo sana ila anajitoa ufahamu kwa sababu ya mahaba tu
 
Biblia inasema muwe wa kweli na wakutetea haki hadi Kufa
Basi kama kitabu kitakatifu hicho kinasema hivyo (ulivyo andika hapa); mimi nasema hakitofautiani kwa vyovyote na "vikaratasi" vyetu (Katiba) inayohimiza kuilinda Tanzania kwa gharama yoyote.
Kwa hiyo huyo asiyekubaliana na hicho kitabu ulicho kitaja wewe; asisingizie "udini", katiba yetu siyo ya dini yoyote.
 
Kipind yupo magufuli yalifanyika zaidi ya haya, hao wakina lisu na lema mpka wakakimbia nchi mikutano wakazuiwa, ila hao wote walikaa kimya kwasababu mfanyaji alikuwa mtu wa upande wa dini yao.
Acha porojo za kidini wewe. Viongozi watende kwa HAKI bila kujali dini zao
 
Back
Top Bottom