Ni ujumbe wa kanisa Katoliki kwa Rais Samia na serikali yake?

Ni ujumbe wa kanisa Katoliki kwa Rais Samia na serikali yake?

Fika mahala usitake kila mtu akujue una akili mbofu halafu usimlinganishe Magufuli na mambo ya kijinga ishu ya dini haihusiani hapa kamwe huwezi kumlinganisha magufuli na lolote katika historia ya Nchi hii
Sawa haya leta waraka wa TEC kupigwa risasi lisu
 
Poleee sana kwa kujitoa ufaham. Kanisa katoliki lilitoa maonyo sana, ndio kisa cha magufuli kuanza kuhoji uraia wa askofu

Na kwa record catholic halikukaa kimya lilimuonya magufuli multiple times, labda kama huna kumbukumbu
Huyo bwege ni wa mnyazimung hawezi kuelewa
 
Wewe ulikuwa hufuatilii siasa umesahau hadi kuna mapadri waliitwa sio watanzania ? Kwenye ukatoliki hakuna unafiki ,unafiki na udini mbaki nao nyie wafuasi wa mtume marehemu
Leta waraka walioutoa wewe unaefuatilia siasa, shida nn?
 
Kipind yupo magufuli yalifanyika zaidi ya haya, hao wakina lisu na lema mpka wakakimbia nchi mikutano wakazuiwa, ila hao wote walikaa kimya kwasababu mfanyaji alikuwa mtu wa upande wa dini yao,
Sawa nionyeshe tamko la TEC baada ya lisu kupigwa risasi, nionyeshe tamko la TEC baada ya mbowe kupewa kesi ya ugaidi, nionyeshe tamko la TEC kupotea kwa ben saa 8 , nionyeshe tamko la TEC wafanya biashara kubambikiwa kesi za uhujumi uchumi kipind cha magufuli, nionyeshe tamko la TEC magufuli kuzuia mikutano ya kisiasa, bado tu hamuamin kuwa hao maaskofu wanaendeshwa na chuki za kidini?

Wewe ulikuwa nchi gani wakati TEC wakitoa matamko? Au ni usahaulifu?

Anyway, kwa hiyo unataka kusema kuwa uovu wa Magufuli unabariki wa sasa?
 
Wewe ni muongo, alopigwa spana kama Kawa na aakaanza kuwapa kesi za Uraia maadui zake, mfano Askofu wa rulenge ngara Severine niwemugizi alipata kashikashi ya kuambiwa aoneshe makaburi ya babu zake,alibambiliwa hiyo jambajamba, the same kwa kakobe, lakini nyongeza AIDAN EYAKUZE director wa TWAWEZA

Jamaa ana ubongo wa kuku. Kuku ukimfukuza baada ya dakika mbili kisha sahau anarudi palepale. Anaishi kwa mazoea.

Amesahau wakati akina Makonda wanatukana mpaka Kadinari Pengo....!!
 
Siku kikinuka kama mnavyotaka hilo dera lako la upadre utaliona zito
 
Back
Top Bottom