John Wicks Mulholland
JF-Expert Member
- Apr 13, 2023
- 7,945
- 17,286
Kipind yupo magufuli yalifanyika zaidi ya haya, hao wakina lisu na lema mpka wakakimbia nchi mikutano wakazuiwa, ila hao wote walikaa kimya kwasababu mfanyaji alikuwa mtu wa upande wa dini yao.
Wewe ni muongo, alopigwa spana kama Kawa na aakaanza kuwapa kesi za Uraia maadui zake, mfano Askofu wa rulenge ngara Severine niwemugizi alipata kashikashi ya kuambiwa aoneshe makaburi ya babu zake,alibambiliwa hiyo jambajamba, the same kwa kakobe, lakini nyongeza AIDAN EYAKUZE director wa TWAWEZAKipind yupo magufuli yalifanyika zaidi ya haya, hao wakina lisu na lema mpka wakakimbia nchi mikutano wakazuiwa, ila hao wote walikaa kimya kwasababu mfanyaji alikuwa mtu wa upande wa dini yao.
Ni kweli walikaa kimya!!?Kipind yupo magufuli yalifanyika zaidi ya haya, hao wakina lisu na lema mpka wakakimbia nchi mikutano wakazuiwa, ila hao wote walikaa kimya kwasababu mfanyaji alikuwa mtu wa upande wa dini yao.
Acha ujinga na uwe na kumbukumbu Ili ujitofautishe na mabumunda.Kipind yupo magufuli yalifanyika zaidi ya haya, hao wakina lisu na lema mpka wakakimbia nchi mikutano wakazuiwa, ila hao wote walikaa kimya kwasababu mfanyaji alikuwa mtu wa upande wa dini yao.
Februari 2021, TEC ilitoa waraka uliosisitiza ukweli wa ugonjwa wa COVID-19 na kuwataka waamini na wananchi kuchukua tahadhari na kufuata ushauri wa wataalamu wa afya. Huu ulikuwa mwendelezo wa msimamo wao tofauti na ule wa serikali ya awamu ya tano iliyokuwa ikionekana kupuuza ukali wa janga hilo.Una onyo lolote la mwaka 2020? Hasa baada ya uchaguzi wa kishindo?
Ulikuwa kwenye kwenye mimba bado enzi za magufuli kwamba hukusikia wala kuona mgogoro uliozuka baada maaskofu kimkemea huyo dicteta uchwara! Unafikiri wakristo ni wapumbavu kama mlivuo waislamu na wapagani kumuunga mtu mwovu kisa dini yenu. Tuliza speaker hizo
Yupo TayariAta "kolimbwa" huyo Padre
Hapo vijana wanafundishwa kusimama kwenye haki na kweli. Wale wengine wanafundishwa chuki tu ndiyo maana rais akikosolewa wanafikiri ni kwa sababu ya dini yake.Sijui watateka na.kuua wangapi maana watu ndio kwanza wanazidi kupaza sauti.
Acha uongo waliandika waraka kila wakati hawaja wahi kukaa kimya. Dr Shoo alisema kuwa kwa umri wao hatakufa wala hawaogopi. Acha upumbavu.Kipind yupo magufuli yalifanyika zaidi ya haya, hao wakina lisu na lema mpka wakakimbia nchi mikutano wakazuiwa, ila hao wote walikaa kimya kwasababu mfanyaji alikuwa mtu wa upande wa dini yao.
Tutolee usilamule wako hapa , lazima akemewe kwani Magufuli hakukemewa au siasa umezianza leo ?Kipind yupo magufuli yalifanyika zaidi ya haya, hao wakina lisu na lema mpka wakakimbia nchi mikutano wakazuiwa, ila hao wote walikaa kimya kwasababu mfanyaji alikuwa mtu wa upande wa dini yao.
Wewe ni mdini na mpumbavu.Kipind yupo magufuli yalifanyika zaidi ya haya, hao wakina lisu na lema mpka wakakimbia nchi mikutano wakazuiwa, ila hao wote walikaa kimya kwasababu mfanyaji alikuwa mtu wa upande wa dini yao.
Weka hapa hizo nyarakaFebruari 2021, TEC ilitoa waraka uliosisitiza ukweli wa ugonjwa wa COVID-19 na kuwataka waamini na wananchi kuchukua tahadhari na kufuata ushauri wa wataalamu wa afya. Huu ulikuwa mwendelezo wa msimamo wao tofauti na ule wa serikali ya awamu ya tano iliyokuwa ikionekana kupuuza ukali wa janga hilo.
By then gov ilikuwa ikikazans na kujifukiza na kupotezea ugonjwa huo, hapa waliingia kwenye mgogoro na jpm
Na pia Katika kipindi cha baada ya 2020, TEC imekuwa ikitoa wito wa kuimarisha demokrasia, utawala wa sheria na kuheshimu haki za binadamu. Kumekuwa na maonyo kuhusu hali ya kisiasa, uhuru wa kukusanyika na kujieleza, na umuhimu wa uchaguzi huru na wa haki.
Hali hii ilipelekea askofu mmoja (namuhifadhi), kuanza kuhojiwa uraia wake, japo katika dakika za mwisho alimrudishia pasport na kuomba msamaha
Weka hapa hizo nyaraka
Alafu twende katika uhalisia wa hizo nyaraka za TEC katika utekelezaji wake
Asante
Kipind yupo magufuli yalifanyika zaidi ya haya, hao wakina lisu na lema mpka wakakimbia nchi mikutano wakazuiwa, ila hao wote walikaa kimya kwasababu mfanyaji alikuwa mtu wa upande wa dini yao.
Akili zako hazitoshi kujiongoza hata wewe mwenyeweKipind yupo magufuli yalifanyika zaidi ya haya, hao wakina lisu na lema mpka wakakimbia nchi mikutano wakazuiwa, ila hao wote walikaa kimya kwasababu mfanyaji alikuwa mtu wa upande wa dini yao.
Sio kweli acha mahaba wewe, hao unaosema walikaa kimya ndio waliokuwa wanamsema Magufuli mpaka wengini baadhi ya maaskofu walipewa kesi za uraia.Kipind yupo magufuli yalifanyika zaidi ya haya, hao wakina lisu na lema mpka wakakimbia nchi mikutano wakazuiwa, ila hao wote walikaa kimya kwasababu mfanyaji alikuwa mtu wa upande wa dini yao.
Anazo sana ila anajitoa ufahamu kwa sababu ya mahaba tuPoleee sana kwa kujitoa ufaham. Kanisa katoliki lilitoa maonyo sana, ndio kisa cha magufuli kuanza kuhoji uraia wa askofu
Na kwa record catholic halikukaa kimya lilimuonya magufuli multiple times, labda kama huna kumbukumbu
Basi kama kitabu kitakatifu hicho kinasema hivyo (ulivyo andika hapa); mimi nasema hakitofautiani kwa vyovyote na "vikaratasi" vyetu (Katiba) inayohimiza kuilinda Tanzania kwa gharama yoyote.Biblia inasema muwe wa kweli na wakutetea haki hadi Kufa
Acha porojo za kidini wewe. Viongozi watende kwa HAKI bila kujali dini zaoKipind yupo magufuli yalifanyika zaidi ya haya, hao wakina lisu na lema mpka wakakimbia nchi mikutano wakazuiwa, ila hao wote walikaa kimya kwasababu mfanyaji alikuwa mtu wa upande wa dini yao.