Otorong'ong'o
Platinum Member
- Aug 17, 2011
- 39,523
- 30,053
Walikaa kimya wapi...?? Wakina Niwemugizi mpaka passport zao zilichukuliwa wakarudishiwa mama alipoingia madarakani..Kipind yupo magufuli yalifanyika zaidi ya haya, hao wakina lisu na lema mpka wakakimbia nchi mikutano wakazuiwa, ila hao wote walikaa kimya kwasababu mfanyaji alikuwa mtu wa upande wa dini yao.
Hapa mkuu unatetea udini tu hakuna kingineBasi kama kitabu kitakatifu hicho kinasema hivyo (ulivyo andika hapa); mimi nasema hakitofautiani kwa vyovyote na "vikaratasi" vyetu (Katiba) inayohimiza kuilinda Tanzania kwa gharama yoyote.
Kwa hiyo huyo asiyekubaliana na hicho kitabu ulicho kitaja wewe; asisingizie "udini", katiba yetu siyo ya dini yoyote.
Haya ya "udini" mnayoyaweka mbele wakati maovu yanayokemewa mnayafumbia macho; ni wazi tu kwamba hiyo ni mbinu tu ya kujificha katika udini unaowasumbua wenyewe.Kipind yupo magufuli yalifanyika zaidi ya haya, hao wakina lisu na lema mpka wakakimbia nchi mikutano wakazuiwa, ila hao wote walikaa kimya kwasababu mfanyaji alikuwa mtu wa upande wa dini yao.
Umeandika ujinga tuKipind yupo magufuli yalifanyika zaidi ya haya, hao wakina lisu na lema mpka wakakimbia nchi mikutano wakazuiwa, ila hao wote walikaa kimya kwasababu mfanyaji alikuwa mtu wa upande wa dini yao.
Umeelewa nilicho andika lakini?Hapa mkuu unatetea udini tu hakuna kingine
Inawezekana sijaelewa. Ngoja nitarudia kusoma KalamuUmeelewa nilicho andika lakini?
Lakini kama umeelewa kivyako; ngoja nikufahamishe kama hujui. Mimi dini yangu ya kwanza ni Tanzania. Kama Mungu wenu anapingana na Tanzania, huyo Mungu mimi simtambui. Umeelewa?
Kanisa Katoliki lilikataa kupokea Kanisa alilojijengea Magufulu nyumbani kwake huko chato...Poleee sana kwa kujitoa ufaham. Kanisa katoliki lilitoa maonyo sana, ndio kisa cha magufuli kuanza kuhoji uraia wa askofu
Na kwa record catholic halikukaa kimya lilimuonya magufuli multiple times, labda kama huna kumbukumbu
Wewe unaumwa au hukufuatilia. Kanisa katoliki siyo maboya kama ulivyo wewe unayeleta hisia za kidini, kanisa katoliki kama kawaida yao walikemea sana mambo ya utekaji hata kipindi cha Magufuli walitoa nyaraka za kutosha kukemea maovu wala hawakushambuliwa.Kipindi hiki hata hao viongozi wa dini wameanza kushambuliwa. We ulivyo boya unadhani wanakosoa sababu ya dini? Huoni yanayoendelea au ni sawa tu?Kipind yupo magufuli yalifanyika zaidi ya haya, hao wakina lisu na lema mpka wakakimbia nchi mikutano wakazuiwa, ila hao wote walikaa kimya kwasababu mfanyaji alikuwa mtu wa upande wa dini yao.
Baada ya hapo akafaKipind yupo magufuli yalifanyika zaidi ya haya, hao wakina lisu na lema mpka wakakimbia nchi mikutano wakazuiwa, ila hao wote walikaa kimya kwasababu mfanyaji alikuwa mtu wa upande wa dini yao.
Sasa kama hapakuwepo na "onyo" tafsiri yako ni nini; kwamba kwa kuwa aliyenajisi uchaguzi huo alikuwa mtu wa dini yao hawakuona sababu ya kutoa onyo?Una onyo lolote la mwaka 2020? Hasa baada ya uchaguzi wa kishindo?
Unasema kweli; alijijengea kanisa?Kanisa Katoliki lilikataa kupokea Kanisa alilojijengea Magufulu nyumbani kwake huko chato...
Hujui...??Unasema kweli; alijijengea kanisa?
Kwani wao wanachoka kuua?Sijui watateka na.kuua wangapi maana watu ndio kwanza wanazidi kupaza sauti.
Asee ni mambo ya aibu tupuWatu Mungu Tupo kwenye mfungo ,Muhimu kwa nchi
Ukisema hivyo unakosea, kwasababu hata malasusa wa kkt yupo upande wa samia, kibao kauliwa naserikali ya nani wakati ni muislam, lisu ni mkristo lakini alipigwa risasi na uongozi unaosimamamiwa na mkristoKipind yupo magufuli yalifanyika zaidi ya haya, hao wakina lisu na lema mpka wakakimbia nchi mikutano wakazuiwa, ila hao wote walikaa kimya kwasababu mfanyaji alikuwa mtu wa upande wa dini yao.
Watu wanaoongozwa na udini kuliko kweli ndio wanatuharibia nchi. Hawezi kuwa na kumbukumbu maana dini imempumbaza. Wakoloni na warabu walituweza sana kutuletea dini. Africa mtu aliyepaliwa na dini ni mjinga kuliko mnyama wa mwituni.Poleee sana kwa kujitoa ufaham. Kanisa katoliki lilitoa maonyo sana, ndio kisa cha magufuli kuanza kuhoji uraia wa askofu
Na kwa record catholic halikukaa kimya lilimuonya magufuli multiple times, labda kama huna kumbukumbu
Sawa nionyeshe tamko la TEC baada ya lisu kupigwa risasi, nionyeshe tamko la TEC baada ya mbowe kupewa kesi ya ugaidi, nionyeshe tamko la TEC kupotea kwa ben saa 8 , nionyeshe tamko la TEC wafanya biashara kubambikiwa kesi za uhujumi uchumi kipind cha magufuliUkisema hivyo unakosea, kwasababu hata malasusa wa kkt yupo upande wa samia, kibao kauliwa naserikali ya nani wakati ni muislam, lisu ni mkristo lakini alipigwa risasi na uongozi unaosimamamiwa na mkristo
🤔 🤔 🤔 💭Kipind yupo magufuli yalifanyika zaidi ya haya, hao wakina lisu na lema mpka wakakimbia nchi mikutano wakazuiwa, ila hao wote walikaa kimya kwasababu mfanyaji alikuwa mtu wa upande wa dini yao,
Sawa nionyeshe tamko la TEC baada ya lisu kupigwa risasi, nionyeshe tamko la TEC baada ya mbowe kupewa kesi ya ugaidi, nionyeshe tamko la TEC kupotea kwa ben saa 8 , nionyeshe tamko la TEC wafanya biashara kubambikiwa kesi za uhujumi uchumi kipind cha magufuli, nionyeshe tamko la TEC magufuli kuzuia mikutano ya kisiasa, bado tu hamuamin kuwa hao maaskofu wanaendeshwa na chuki za kidini?
Kamwe hawawezi kuua kila mtuSijui watateka na.kuua wangapi maana watu ndio kwanza wanazidi kupaza sauti.
Hapana kabisa walisema bila kuogopa na hakuwa kabisa upande wao sema alikuwa bingwa wa shoo za kujionesha yupo now ila aliwashughulikia balaa tena kisawa sawa ila laana ndiyo hiyo utawala wake haukudumu. Hata huu utawala quote me hauendi mbali kabisa. Inawezekana kabisa Tanzania inaenda kuwa vizuri zaidi kwa kuroot out tawala mbayaKipind yupo magufuli yalifanyika zaidi ya haya, hao wakina lisu na lema mpka wakakimbia nchi mikutano wakazuiwa, ila hao wote walikaa kimya kwasababu mfanyaji alikuwa mtu wa upande wa dini yao,
Sawa nionyeshe tamko la TEC baada ya lisu kupigwa risasi, nionyeshe tamko la TEC baada ya mbowe kupewa kesi ya ugaidi, nionyeshe tamko la TEC kupotea kwa ben saa 8 , nionyeshe tamko la TEC wafanya biashara kubambikiwa kesi za uhujumi uchumi kipind cha magufuli, nionyeshe tamko la TEC magufuli kuzuia mikutano ya kisiasa, bado tu hamuamin kuwa hao maaskofu wanaendeshwa na chuki za kidini?