Ni ujumbe wa kanisa Katoliki kwa Rais Samia na serikali yake?

Fika mahala usitake kila mtu akujue una akili mbofu halafu usimlinganishe Magufuli na mambo ya kijinga ishu ya dini haihusiani hapa kamwe huwezi kumlinganisha magufuli na lolote katika historia ya Nchi hii
Sawa haya leta waraka wa TEC kupigwa risasi lisu
 
Poleee sana kwa kujitoa ufaham. Kanisa katoliki lilitoa maonyo sana, ndio kisa cha magufuli kuanza kuhoji uraia wa askofu

Na kwa record catholic halikukaa kimya lilimuonya magufuli multiple times, labda kama huna kumbukumbu
Huyo bwege ni wa mnyazimung hawezi kuelewa
 
Wewe ulikuwa hufuatilii siasa umesahau hadi kuna mapadri waliitwa sio watanzania ? Kwenye ukatoliki hakuna unafiki ,unafiki na udini mbaki nao nyie wafuasi wa mtume marehemu
Leta waraka walioutoa wewe unaefuatilia siasa, shida nn?
 

Wewe ulikuwa nchi gani wakati TEC wakitoa matamko? Au ni usahaulifu?

Anyway, kwa hiyo unataka kusema kuwa uovu wa Magufuli unabariki wa sasa?
 

Jamaa ana ubongo wa kuku. Kuku ukimfukuza baada ya dakika mbili kisha sahau anarudi palepale. Anaishi kwa mazoea.

Amesahau wakati akina Makonda wanatukana mpaka Kadinari Pengo....!!
 
Siku kikinuka kama mnavyotaka hilo dera lako la upadre utaliona zito
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…